utafiti ule umefanywa kwa watu 2500 tu kwa hiyo siyo sample nzuri bana hajui statistics, na data compilation inabidi akasome jinsi ya kuandaa mean{harmonic,weighted,geometric na average mean} then ndio arudi na REDET yake
Mimi simshangai Bana wala swahiba wake Mukandala. Labda mtaniona mkabila lakini kabila lao hawa jamaa ndivyo walivyo. Nimesoma nao sekondari na vyuoni, nimekuwa nao JKT, baadhi yao ni marafiki zangu wakubwa, naishi na kunywa nao mitaani, nilikaribia kuoa kule, nimefanya nao kazi,.....Hivyo ndivyo walivyo. Ni watu kujipendekeza, wanafiki kwa sana, wambea sana tu, hawana vifua na wako tayari kulisema lolote wanaloona litakuwa na manufaa kwao.
Baba_Enock,WildCard:
Huwezi kuwa na rafiki mkubwa ambaye wakati huohuo ni mnafiki na mbea sana! Labda ulikuwa na maana nyingine!
Pia haya maneno uliyotumia "hawa jamaa ndivyo walivyo" ni too general to be true (nimekosa neno la kiswahili sahihi)!
Mimi simshangai Bana wala swahiba wake Mukandala. Labda mtaniona mkabila lakini kabila lao hawa jamaa ndivyo walivyo. Nimesoma nao sekondari na vyuoni, nimekuwa nao JKT, baadhi yao ni marafiki zangu wakubwa, naishi na kunywa nao mitaani, nilikaribia kuoa kule, nimefanya nao kazi,.....Hivyo ndivyo walivyo. Ni watu kujipendekeza, wanafiki kwa sana, wambea sana tu, hawana vifua na wako tayari kulisema lolote wanaloona litakuwa na manufaa kwao.
Chunguza tu kauli, misimamo na matendo yao mmoja baada ya mwingine. Umekisoma kile kitabu cha Prince Bagenda juu ya JK?WilCard, sikubaliani na hii generalization. Nina uhakika hata wewe huwezi kutoa sifa kama hizo kwa watu kama Prof. Baregu, Dr. Lwaitama, Prince Bagenda, nk.
Who is Benson Bana...
Kwa nje namuona kama kinara mpya wa wahadhiri vibaraka Tanzania...
Anayetafuta vyeo kwa kuidhalilisha taaluma yake...
Anayewatii mabwana zake kwa kudhalilisha tasnia nzima ya utafiti Tanzania...
Msomi bandia, anayedhililisha demokrasia Tanzania...
Kwa wale wanaomfahamu zaidi tabia na Historia yake, naomba wamuelezee "Dk." Benson Bana...
Chadema kazi mnayo kweli kweli. Kila mtu anayekwenda kinyume na nyie ni kibaraka.
Ni ufinyu wa mawazo kumuita Dk. Bana ni kibaraka na msomi bandia kwa kuwa tu eti taasisi anayoiongoza ya REDET haijasema kuwa Dk. Slaa atakuwa Rais.
Kwenu Professa baregu ndio wa maana na msomi kwa kuwa tu yeye ni mwana-CHADEMA.
Mimi siku zote nawaambia ndiyo maana CHADEMA haiwezi kuongoza nchio hii milele. Kamwe CHADEMA haitaweza kushika madaraka ya nchi hii. Ipo siku CCM inaweza kuondolewa madarakani lakini siyo na CHADEMA. Upinzani wa kweli utatoka CCM.
Mwita sample ya 2500 ni sample nzuri tu na ndo inayotumika na researchers wengi wanaotaka kujua 'nationwide agenda'...kwenye research unaruhusiwa kuchukua sample ya 5-10% ya popn. Hiyo walochukua ni approximately 6% so its allowed kisomi na sampling method walotumia pia concures with research methodology. Point to urgue labda hawaja-report data za ukweli..
Kuna mhe. mmoja amesema at least 6% percent. Kwa kuwa mimi siyo statician na kwa sababu hawakusema wanahoji wapiga kura bali wanachi, tunajua kuwa watanzania tuko kama Mil 30+. Kwa mahesabu ya haraka ni kama watu Mil. 1.8Yah wengi wanahasira. Hebu jamani tuseme ukweli kabisa;
1. Ili watu turidhike na matokeo na kupunguza margin of error tunahitaji sample size ya kiasi gani?
Ni kweli sample size inavyokuwa ndogo zaidi margin of error inakuwa kubwa.
2. Hiyo sample tunayoipigia kelele hapa tunataka ichukuliwe wapi na kwa design gani?
3. Research nyingi pia zinaathiriwa na muda na financing. Hili limekaaje?
Maana watu tunalalamika lakini hatuna soln.
Hivi mtu anawezaje kuwa Lecturer of the most prestigious university in the country wakati hana hata ka-'karatasi' walau kamoja kwene journal za kimataifa? Huu si ndio uchuro?
Natumaini swali lako halimlengi Benson Bana. Fungua ukurasa wa google scholar kisha utafute kwa kutumia jina la Benson Bana utaziona kazi na machapisho yake katika international peer reviewed journals.
Lakini bado sikubaliani na utafiti wake wa kichakachuaji alioutoa kwenye hiyo REDET yake, hauna hata chembe ya sayansi ndani yake. Hata kama ni "kumtumikia kafiri upate mradi wako", naona hapa Dr Bana ameamua kuwa kafiri kabisa wa kitaaluma.