Who is Benson Bana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who is Benson Bana?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Oct 8, 2010.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kwa nje namuona kama kinara mpya wa wahadhiri vibaraka Tanzania.

  Anayetafuta vyeo kwa kuidhalilisha taaluma yake.

  Anayewatii mabwana zake kwa kudhalilisha tasnia nzima ya utafiti Tanzania.

  Msomi bandia, anayedhililisha demokrasia Tanzania.

  Kwa wale wanaomfahamu zaidi tabia na Historia yake, naomba wamuelezee "Dk." Benson Bana.
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,648
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280
  ni personal friend wa kikwete na ndiye mshauri wake mkubwa wa kisiasa
   
 3. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kwa kuibeba kwenye tafiti badala ya kuisaidia anaichimbia kaburi CCM.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hv ccm hawajayakataa matokeo ya utafiti huu wa REDET, kama ambavyo walipinga zile tafiti na polls zinginezo?
   
 5. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #5
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Benson Bana, ni aina ya wasomi rojorojo wa Taifa hili, aliesoma na asiesoma mpaka wa tofauti zao huwezi kuziona.
  Bana amelala usingizi wa pono, anaota ndoto zake mwenyewe, kuwa Kikwete 71% atashinda, nasema Kikwete hawezi kupata 60% ya kura zoote , hawezi , wee endelea na Usingizi wako, Tukifika tutakuamsha.
  [​IMG]
   
 6. R

  Rayase Member

  #6
  Oct 8, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hii picha inamaanisha nini? ni mgojwa au usafiri wa kawaida
   
 7. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako Nguvumali.

  Mkuu naomba kutofautiana na wewe kwamba Kikwete hawezi kupata 60%,hii si kweli mkuu wangu Kikwete anaweza kupata 40% hambazo haziwezi kumfanya aendelee kukaa Magogoni.Mwaka 2005 alipata 80% kwasababu wapiga kura wengi hawakujua uwezo wake mwaka 2010 wapiga kura wengi wameshajua uwezo wake.
   
 8. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,501
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  utafiti ule umefanywa kwa watu 2500 tu kwa hiyo siyo sample nzuri bana hajui statistics, na data compilation inabidi akasome jinsi ya kuandaa mean{harmonic,weighted,geometric na average mean} then ndio arudi na REDET yake
   
 9. K

  Kanjunju Member

  #9
  Oct 8, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii noma yaani jk kushinda asilimia hizo kweli?nadhani hawa kina Benson na benadetha ni watafuta vyeo kama Mukandala.benson atakuwa makamu mkuu wa chuo kipya kitakachoanzishwa huko Musoma walikoahidi na Benadetha atapata Shinyanga walikoahidi kama wakishinda.Lakini ukweli ni kuwa wasomi hawa ni uchwara.Tuwe macho na si majungu haya.
   
 10. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakikusikia hao, wamejipanga kama CCM kujibu mashambulizi. Wameanza kujibu hoja za 71% kila kona. Thubutu uulize utajibiwa A4 nzima
   
 11. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Mawaziri wake walimwangusha, watendaji wake wa karibu wamemdanganya mara kadhaa, katibu wke naye pia kwa matamshi yake, na hata Bana atammalizia sasa....!
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Benson Bana, mtu mzima hovyoooooooooooooooooo.
   
 13. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Huu ndio usafiri wa mgonwa mahututi.......na ataenda Km kadhaa katika hali hii. Nahisi maumivu anayoyasikia .....CCM jamani oneni haya!
  Inauma sana. Kama kweli akina Bana walisomeshwa bure na Nyerere ili waje wawatese Watanzania wenzao , basi Mungu atawalipa wao na kizazi chao. Wachakachue tu, ila wajue, hakuna marefu yasiyo na ncha.
   
 14. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #14
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  HAPO HATA MIMI NAKUBALIANANA NAWE, Hhahahaaah ccm bana.
   
 15. Joel

  Joel JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 908
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  huyu jmaaa kusema ukweli hatuwezi kumwita msmi kwa maana msomi wa ukweli hayuko tayari kutumika kwa ajili ya manufaa ya watu wachache au kwa ajili ya manufaa yake binafsi.
  huyu na yeye anatafuta cheo kama alivyofanya mwenzake mkandala
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Ni kibaraka anayeweza kutumwa ku-flash choo baada ya kikwete kumaliza haja zake maliwatoni na akakubali.
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  No. Huyu dk ni bunsen burner inayotumiwa na ccm kwa sasa. Sasa wajue kuwa chadema ni crucible (inayoshikilia vitu vya moto katika experiments).
   
 18. S

  Seekype Member

  #18
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwita sample ya 2500 ni sample nzuri tu na ndo inayotumika na researchers wengi wanaotaka kujua 'nationwide agenda'...kwenye research unaruhusiwa kuchukua sample ya 5-10% ya popn. Hiyo walochukua ni approximately 6% so its allowed kisomi na sampling method walotumia pia concures with research methodology. Point to urgue labda hawaja-report data za ukweli..
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Ni jamaa mmoja yuko pale mlimani, ongea yake kama ana mate mengi mdomoni! nilikuwa namheshimu lakini kwa hili nimemdelete hata kwenye bin!
   
 20. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Dah, mkuu nimekukubali, na mimi pia umenirudisha darasani kidogo.
   
Loading...