Naona mnaniacha hoi, kwani mkwere si mtanzania? je anatofautiana vipi na mchagga, mhaya, mmakonde, mfipa, au mzaramo?
Nadhani hapa tunachanganya madarasa, au inamaanisha CCM ni ya wakwere siku hizi? :A S 13:
Kuna ile hoja nyingine iliwadhalilisha akinamamam baada ya mama mary kuchemsha kule Arusha...na watu wakawa wanasema ati wanawake ndivyo walivyo na viongozi wote wa kike wanakuwa wanapewa hizo nyadhifa kwa kiaina aina au (kulala na wakubwa?) vipi sijui.
Nadhani hii ni dhana potofu na haileti maana yeyote katika majadiliano ya ki mantiki! Huu ndiyo unakuwa unyanyasaji wa ki jinsia na kikabila ambao hautatusaidia watanzania hata kidogo!
Ninauhakika kuwa ugumu wa maisha ni wa watanzania wote katika kona zote za taifa, na tunapoanza kuelekezea lawama kabila au jinsia moja hapo ndo tunapoteza mwelekeo na kamwe hatutapata tunachikitaka yaani ukombozi wa mtanzania na kuleta ushindani wa kweli kisiasa!
Aluta!