Who is Benson Bana?

Mzee, with all due respect, I beg to differ. I am not a statistician, however, the little I know tells me that you need to define your sampling UNIT (the smallest population element where the measurements are going to be made) before you conduct your research. In this case, it is an individual person eligible for voting (more precisely also registered for voting and a higher probability of casting a vote!). The list of these units forms what is called a sampling frame. If the population is homogeniousy distributed (e.g. same age, education level, marital status, gender, etc, etc) a random sample of these units is adequate to be a representative sample. The question of how many units, is determined by the level of confidence (conventionally accepted at 95%, 99%, or 99.9%), variation (variance or Standard deviation) and the level of precision desired (OR acceptable error margin) conventionally kept at 0.05. THIS IS WHEN YOU USE A SINGLE STAGE SAMPLING.

In the citizen newspaper, the REDET sampling strategy involved a multistage (3-stage) sampling with 26 regions, 52 districts, 102 villages, 2,600 people interviewed! This is not a homogeneous population anymore. For this design, they needed to include in the formula, the design effect (3 stage stratification) and a factor called the intraclass correlation (ICC) which quantifies the extent of between-group variation (or within group homogeneity). The rough estimate I made suggests the they needed at least 91,800 units for this polls. Mind you, I have not included the possible confounding affects of such factors as age, education level, marital status, gender, etc.

Conclusion: What the REDET findings tells us NOTHING regarding the coming election and that the study is null and void. At least they should have indicated confidence intervals to try and convince us otherwise.

Cheers


Even if REDET would have considered the needed at least 91,800 units for this polls and the indicated confidence and precision, at the end of the day, their data needed to be weighted to accommodate differences across regions or districts. The study is thus null and void.
 
Sijakuelewa vyema una maana walemavu hawawezi kufikiri au kufanya mambo ya maana. I think this is an insult, hoja yako ni ipi hasa?. Tell us issues siyo hisia!!
Sija maanisha hivyo ulivyo dhania, nilicho maanisha ni kwamba,ili kuwaje akasome shule ya viziwi? ambao wanafundishwa kwa style tofauti kwa kutumia vifaa maalumu...
 
Ninachokifahamu kwa huyu Bana ni kuwa alikuwa Mwalimu wa UPE wa shule ya msingi Lugongo, Katoma - Bukoba.
 
Sijakuelewa vyema una maana walemavu hawawezi kufikiri au kufanya mambo ya maana. I think this is an insult, hoja yako ni ipi hasa?. Tell us issues siyo hisia!!
Baba una kichwa kigumu kama nazi..mdau anasema anavyojua shule imefunguliwa 1980, Bunsen burner CV yake anasema alisoma hapo mwaka 1969!

Haya umeelewa?
 
Siwezi kudai kwamba namfahamu Bana sana lakini tulikua wote chuo kikuu tuliingia mwaka mmoja na kumaliza pamoja degree zetu za kwanza mwaka 1992. Yeye na Dr Bernadeta Killian walikua darasa moja na walimaliza pamoja na wote waliomba kubaki chuoni kama walimu, wakati huo kitivo chao kikiwa chini ya Prof Rwekaza Mkandara ambaye ndiye Vice Chancellor wa UDSM kwa sasa, muanzilishi na mwenyekiti wa kwanza wa REDET, bado yeye ndio engine ya REDET hadi leo hii. Kwa bahati mbaya Bana hakubakizwa chuo kikuu badala yake Killian alibaki. Tangu wakati tukiwa chuo wote tulimfahamu Bana kuwa mjikombi. Mahusiano yake na ama walimu wake ama wale wote waliokua katika nafasi za kuweza kumpa maslahi haukua wa kawaida, ubebaji vitabu na mikoba yao ulimpa nafasi ya kuonekana kwa wakubwa lakini wakati huo huo ukimtenganisha na sisi wenzake maana hazikua tabia za kawaida. Sasa ni lini Bana alirudi chuo kikuu na kwa mlango gani hilo ni swala lingine. Bana ameendelea na tabia yakei hiyo, ambayo hata watafiti wengine wazuri walioko kwenye kitenge hicho walishaonya, lakini ni vigumu kufanya lolote kwa sababu mbili. Kwanza ukabili na ukaribu wake na Mkandara, pili utayari wake wa kudhalilisha chochote na yoyote kwa faida yake binafsi, hivyo he is the perfect fit ya kumsaidia Mkandara kuonekana safer. Huyu bwana asingeweza ku qualify hata kwa ualimu wa primary school kwenye ulimwengu wa kistaarabu. Kizuri ni kwamba wanaiua REDET rasmi, naamini vyama vikipeleka malalamiko yaka kwenye nchi za scandinavia ambako ndio walikoanzia kupatiwa funding watashughulikiwa. Nilichofurahi ni kusoma leo wahadhiri mahiri wa vyuo vikuu vingine wakiwashukia hawa mamluki, acha wazidi kupoteza wanafunzi, kizuri ni kwamba hata hao CCM wanajua, huwezi kupata asilimia 70 wakati unazomewa kila kona, kinachosikitisha ni kwamba miaka 5 ya Phd haijawasaidia kitu, kweli kusoma si kukaa shule, hivi sisi watoa kazi za utafiti tutaweza kuwapa kazi watafiti kama hawa huku tukijua matokeo yao hayawezi kutufaa kwenye programming? watabaki wakipewa kazi na CCM tu sisi kama waajiri wengine tukiwemo ma gate keepers wa international development agencies, other donors watanzania wenye uchungu na nchi yetu tumeshakutana kuweka majina haya ya watafiti vihiyo kwenye listi yetu, hatuwezi kutumia tafiti zao wala kazi zao kujenga nchi yetu, kwa nini basi tupoteze hela kuwapa hizo kazi? ngoja tuone hatusemi tu lazima tuanze kuonyesha haya kwa matendo.
 
Benson Bana:

Associate Consultant is a Tanzanian citizen. He is an experienced HRM planner with practical experience from the private sector as well as from university research and lecturing. He holds a PhD from University of Manchester. He worked in Tanzania Public Service and as a Human Resource Training and Development Manager in a multinational company before becoming a Lecturer at the Open University of Tanzania. He is currently a lecturer in Human Resource Management, public management and political science at the University of Dar es Salaam and consults and researches in the same areas. He has contributed to several publications, amongst these a book titled: The Human Factor in Governance: Managing Public Employees in Africa and Asia, New York: Palgrave Macmillan published in November 2006. He has also (with W. McCourt) written an article "Institutions and Governance: Public Staff Management in Tanzania" which has been published in Public Administration and Development journal Volume 26, Issue 5, 21 November, 2006. He recently participated in a study on "Staff Management and Organizational Performance in Tanzania and Uganda Public Servants Perspectives. He has conducted a study on Ethics Management in the Professional Associations of Tanzania for President's Office, Public Service Management (PO-PSM).
 
Ameshaandika makala ngapi za kimataifa tangu apate Ph.D? Nimetafuta kwa profesa wake Dr Willy McCourt na kukuta kuwa profesa huyo hatoi uzito wowowote wa wazi kwa mchango wa kitafiti wa huyu mwanafunzi wake wa zamani Dr. Bana kwa vile haonyeshi chochote alichofanya naye. Tunaweza kuelewa kwa nini profesa huyo hakuonyesha kwenye website yake mchango wa Dr Bana kwenye profile yake binafsi.
 
Mwita sample ya 2500 ni sample nzuri tu na ndo inayotumika na researchers wengi wanaotaka kujua 'nationwide agenda'...kwenye research unaruhusiwa kuchukua sample ya 5-10% ya popn. Hiyo walochukua ni approximately 6% so its allowed kisomi na sampling method walotumia pia concures with research methodology. Point to urgue labda hawaja-report data za ukweli..


Mkuu Skype maoni yametolewa kama maoni ya watanzania wapiga kura wote. Hebu piga mahesabu yako vizuri utuhakikishie kuwa 2500 ni asilimia 6 ya wapiga kura wote. Unapotoa hitimisho kuwa atashinda kwa asilimia zaidi ya sabini, lazima sampling yako itoke kwenye population yote ya wapiga kura na lazima iangalia variation zote kwenye wilaya na makabila.
 
Even if REDET would have considered the needed at least 91,800 units for this polls and the indicated confidence and precision, at the end of the day, their data needed to be weighted to accommodate differences across regions or districts. The study is thus null and void.

I concur with your professional argument. I am a recent graduate and I have been taught the same at school. It is a shame that i went through the same university but my lecturers have gone against what they teach. AIBU YAO MILELE!!!!!
 
Tanzania Daima naomba mchape hiyo taarifa ya who is benson ban wasome n watu wengine ambao hawana fursa ya kuingia kwenye internet
 
Wakuu ripoti ya Redet ni ya kweli tatizo waliwahoji watu waliokuwa wakihudhuria mkutano wa kamati kuu ya CCM.Kwanza hata CCM kupitia kwa Msomali Kinana walishangaa JK kupata 70% badala ya 90% inaonyesha ndani ya CCm upo mgawanyiko mkubwa bwahahaha hahaha.
 
Wakuu ripoti ya Redet ni ya kweli tatizo waliwahoji watu waliokuwa wakihudhuria mkutano wa kamati kuu ya CCM.Kwanza hata CCM kupitia kwa Msomali Kinana walishangaa JK kupata 70% badala ya 90% inaonyesha ndani ya CCm upo mgawanyiko mkubwa bwahahaha hahaha.

Iweje mshauri wa mgombea aseme amefanya utafiti na kuona anayemshauri ndiye bora na magazeti yasihoji hiyo bias?

Naona Dr. Bana anashiriki tu kuweka mazingira ya kuhujumu uchaguzi. Anataka waangalizi toka Ulaya ambao sasa wako Dar wadhani Kikiwete ndiye kipenzi cha Watanzania. Aibu!

JF inatakiwa sasa kuchapisha matokeo ya opinion poll yake kwenye magazeti kama Mwananchi, na ieleze vizuri kwamba hii ni sample ya Watanzania zaidi ya 8,000 walioko Tanzania na sehemu zote duniani
 
JF ni kisimaa cha fikra pevu. Jamani huo utafiti umefanywa kiutaalamu kabisa. Je, iwapo BANA na REDET kwa ujumla wangesema KAMPUNI CHADEMA na SLAA watashinda kwa kishindo mngemshambulia namna hiyo? Kikwete atashinda na huo ndo ukweli aidha mtaupenda au kuuponda. Tatizo la mswahili ni kupenda kusikiliza kinachofurahisha masikioni mwake tu.
 
Mbona vijana wa kijiweni wanasema uchaguzi umeshafanyika ? Eti maboksi mengine mbadala yenye kura kufikia 71% yapo tayari yanasubiri kubadilishwa na ya oktoba 31. Labda ndiko redet walikotoa takwimu?
 
imebidi nilazimike kumjua mtu ambaye anataka kuharibu hata reputations ya wasomi wengine. Du sasa sijamwelewa kabisa angejua anaharibu asingefanya na ni bora angejizungusha tu.
 
Back
Top Bottom