Binti Kimanzi
Member
- Sep 20, 2010
- 10
- 1
mh, Bana anahitaji msaada wa haraka kwenye uhandishi wa CV........
mh, Bana anahitaji msaada wa haraka kwenye uhandishi wa CV........
Zamani tulikuwa tunajua Chuo kikuu ni mahali wanapopatikana watu walioshiba hekima na busara yaani wanafanya vitu baada ya kusoma vitu vingi. Sasa pamegeuka mahali pa waganga njaa. Hivi wale waliomgomea mwinyi wakati ule wa cost sharering wako wapi siku hizi.
Mimi ni miongoni mwao ambao Mwinyi aliturudisha nyumbani mwaka 1990 na mwaka 1992. kutufukuza kwake hakujanifanye niache kusema na kupigania ukweli na moto ni ule ule. Lakini wenzetu wengine wamekwisha tugeuka nao wanakula na mafisadi.Zamani tulikuwa tunajua Chuo kikuu ni mahali wanapopatikana watu walioshiba hekima na busara yaani wanafanya vitu baada ya kusoma vitu vingi. Sasa pamegeuka mahali pa waganga njaa. Hivi wale waliomgomea mwinyi wakati ule wa cost sharering wako wapi siku hizi.
Hii ya JF haipo bias??? Unaweza ukawa na sample hata ya watu 100,000 na bado ikawa bias. Selection ya sample ndio inamatter. Ingawa sample ndogo zaidi inakuwa na margin of error kubwaHata polling ya JF imemshinda. Yeye anasample ya watu 2500 wakati JF zaidi ya watu 8000 wameshapiga kura kwenye poll.
Ushauri wa Bule kwa Bana angechukua takwimu za JF angeandika ripoti nzuri sana
Yaani wewe umechomekea huto tumisamiati ili watu waelewe nini? Duh JF kwakweli kuna watu!! Yaani katika approach za research na wewe umeona uandike hivyo.utafiti ule umefanywa kwa watu 2500 tu kwa hiyo siyo sample nzuri bana hajui statistics, na data compilation inabidi akasome jinsi ya kuandaa mean{harmonic,weighted,geometric na average mean} then ndio arudi na REDET yake
Mr "Banwa" kama ndiyo hivyo, basi hii ya JF ina afadhali sanaaaaaa kwani ina 'sampo saizi' zaidi ya watu ulfu nane dunia nzima!!!! wakati ya bwana Banwa ina watu2600tu!!!!!
Anabanwa yule.....
Kwa nje namuona kama kinara mpya wa wahadhiri vibaraka Tanzania...
Anayetafuta vyeo kwa kuidhalilisha taaluma yake...
Anayewatii mabwana zake kwa kudhalilisha tasnia nzima ya utafiti Tanzania...
Msomi bandia, anayedhililisha demokrasia Tanzania...
Kwa wale wanaomfahamu zaidi tabia na Historia yake, naomba wamuelezee "Dk." Benson Bana...
Mr "Banwa" kama ndiyo hivyo, basi hii ya JF ina afadhali sanaaaaaa kwani ina 'sampo saizi' zaidi ya watu ulfu nane dunia nzima!!!! wakati ya bwana Banwa ina watu2600tu!!!!!
Anabanwa yule.....
Kumbe mtu mwenyewe elimu yake msingi amesoma kwenye shule ya walemavu wakusikia(viziwi) kwenye shule ya Mugeza (School for the Deaf)
mwaka 1969 na hii shule imefunguliwa na kanisa miaka ya 1980, wakati yeye anasema amemalizia hapo masomo ya shule ya msingi,hapa nimepata shida kidogo kuelewa..
Naomba msome hii CV yake na msome na historia ya hii shule ya Mugeza,link yake hii hapa chini
Mugeza School for the Deaf
nakacho jiuliza huyu bw ni kiziwi? na kama siyo aliweza vipi kusoma shule ya viziwi?
Kwa nje namuona kama kinara mpya wa wahadhiri vibaraka Tanzania...
Anayetafuta vyeo kwa kuidhalilisha taaluma yake...
Anayewatii mabwana zake kwa kudhalilisha tasnia nzima ya utafiti Tanzania...
Msomi bandia, anayedhililisha demokrasia Tanzania...
Kwa wale wanaomfahamu zaidi tabia na Historia yake, naomba wamuelezee "Dk." Benson Bana...
Mzee, with all due respect, I beg to differ. I am not a statistician, however, the little I know tells me that you need to define your sampling UNIT (the smallest population element where the measurements are going to be made) before you conduct your research. In this case, it is an individual person eligible for voting (more precisely also registered for voting and a higher probability of casting a vote!). The list of these units forms what is called a sampling frame. If the population is homogeniousy distributed (e.g. same age, education level, marital status, gender, etc, etc) a random sample of these units is adequate to be a representative sample. The question of how many units, is determined by the level of confidence (conventionally accepted at 95%, 99%, or 99.9%), variation (variance or Standard deviation) and the level of precision desired (OR acceptable error margin) conventionally kept at 0.05. THIS IS WHEN YOU USE A SINGLE STAGE SAMPLING.
In the citizen newspaper, the REDET sampling strategy involved a multistage (3-stage) sampling with 26 regions, 52 districts, 102 villages, 2,600 people interviewed! This is not a homogeneous population anymore. For this design, they needed to includein the formular, the design effect (3 stage stratification) and a factor called the intraclass correlation (ICC) which quantifies the extent of between-group variation (or within group homogeneity). The rough estimate I made suggests the they needed at least 91,800 units for this polls. Mind you, I have not included the possible confounding affects of such factors as age, education level, marital status, gender, etc.