Who is Benson Bana?

Who is Benson Bana?

Mkuu Abdulhalim umesema ukweli mtupu jamaa (Bana) has never publish any article in any of the scientific journal be it international or national. I wonder if he can be promoted to senior lecturer. Basically he can be promote to senor lecturer because he doesn't have any publication. Hii ni kwa sababu wakati wenzanke wanafanya scientific inquiries yeye anatumiwa na jk kuchakachua kura za maoni.

Ukiangalia umri wake ni kwamba amezaliwa 1959 (minus some years baada ya kufoji umri) na sasa ana 51 years hana hata chapisho moja in both local and international journals. He has only 9 years to retire. Do you think he can be promoted to senior lecturer, associate professor and finally full professor? sahau. Huyu jamaa inaonekana ni kihiyo ndo maana hajui hata research methodology. CV yake imejaa uongo mtupu, example anadai machapisho yote ni FORTHCOMING, tell us one which is ready. Kwa sababu any one can write a CV with forthcoming nyingi zisizo na maana.

SHAME ON BANA and MUKANDARA
 
Nyamagaro,

Let me be devil's advocate hapo..jamaa ana pepa kwene international journal. Journal inayoitwa 'Public Administration and Development Journal' mwaka 2006..This can be established.

Lakini nikiangalia the rest kwenye CV yake naona ni kama hadith za kalulu the Hare..
 
Mkuu Abdulhalim paper hii haijawa published

Bana, B. A. (2006). "Institutions and Governance: Public Staff Management in Tanzania" Submitted for publication in Public Administration and Development Journal – Reviewed subject to minor corrections. (With McCourt, W.). NYINGI NI HADITHI ZA FORTHCOMING.

Hizi ni adithi tu usidanganyike. Ki ukweli huyu jamaa kachelewa na ameona pa kutokea ni kumpigia JK debe. Maaana kwa sheria za vyuo vikuu hawezi pata VC he anticipate that JK atampa kuwa mkuu wa chuo chochote. Hana lolote
 
[hiyo picha ingebandikwa katika mababgo ya kampeni ya ccm na isomeke wakubwa na mavx walala hoi wagonjwa na baisikeli,halafu hawa ndio wakipewa fulana na kofia wanasema ccm hoyee
 
Mkuu Abdulhalim paper hii haijawa published

Bana, B. A. (2006). "Institutions and Governance: Public Staff Management in Tanzania" Submitted for publication in Public Administration and Development Journal – Reviewed subject to minor corrections. (With McCourt, W.). NYINGI NI HADITHI ZA FORTHCOMING.

Hizi ni adithi tu usidanganyike. Ki ukweli huyu jamaa kachelewa na ameona pa kutokea ni kumpigia JK debe. Maaana kwa sheria za vyuo vikuu hawezi pata VC he anticipate that JK atampa kuwa mkuu wa chuo chochote. Hana lolote

Yanini kuandikia mate? tafuta doi hii
DOI: 10.1002/pad.423
 
Mkuu Abdulhalim umesema ukweli mtupu jamaa (Bana) has never publish any article in any of the scientific journal be it international or national. I wonder if he can be promoted to senior lecturer. Basically he can be promote to senor lecturer because he doesn't have any publication. Hii ni kwa sababu wakati wenzanke wanafanya scientific inquiries yeye anatumiwa na jk kuchakachua kura za maoni.

Ukiangalia umri wake ni kwamba amezaliwa 1959 (minus some years baada ya kufoji umri) na sasa ana 51 years hana hata chapisho moja in both local and international journals. He has only 9 years to retire. Do you think he can be promoted to senior lecturer, associate professor and finally full professor? sahau. Huyu jamaa inaonekana ni kihiyo ndo maana hajui hata research methodology. CV yake imejaa uongo mtupu, example anadai machapisho yote ni FORTHCOMING, tell us one which is ready. Kwa sababu any one can write a CV with forthcoming nyingi zisizo na maana.

SHAME ON BANA and MUKANDARA

Niliwahi kuuliza nikaambia wanatoka kijiji kimoja na Prof Mukandala na kwamba bana alikuwa mwalimu wa shule ya msingi na kwamba kapanda hadi kufikia level ya phD kwa hiyo kwake ni mafanikio Makubwa. LAKINI ZAIDI NI KWAMBA YEYE NI KWA MASLAHI YAKE TU. KAMA MNA KUMBUKUMBU ALIWAHI PIA KUISEMA(KUWA KINARA WA KUIKOSOA) TASISI YA MWALIMU NYERERE KUWA HAUKUWA WAKATI MUAFAKA KUMSEMA JK KUWA KABANWA NA MAFISADI ILHALI UCHAGUZI UMEKARIBIA! NI YEYE HUYU TENA AMETOA UTAFITI WA AJABU!

ANGALIA HAPA

HabariLeo | Butiku na wenzake wazidi kukosolewa
 
Mzee, with all due respect, I beg to differ. I am not a statistician, however, the little I know tells me that you need to define your sampling UNIT (the smallest population element where the measurements are going to be made) before you conduct your research. In this case, it is an individual person eligible for voting (more precisely also registered for voting and a higher probability of casting a vote!). The list of these units forms what is called a sampling frame. If the population is homogeniousy distributed (e.g. same age, education level, marital status, gender, etc, etc) a random sample of these units is adequate to be a representative sample. The question of how many units, is determined by the level of confidence (conventionally accepted at 95%, 99%, or 99.9%), variation (variance or Standard deviation) and the level of precision desired (OR acceptable error margin) conventionally kept at 0.05. THIS IS WHEN YOU USE A SINGLE STAGE SAMPLING.

In the citizen newspaper, the REDET sampling strategy involved a multistage (3-stage) sampling with 26 regions, 52 districts, 102 villages, 2,600 people interviewed! This is not a homogeneous population anymore. For this design, they needed to includein the formular, the design effect (3 stage stratification) and a factor called the intraclass correlation (ICC) which quantifies the extent of between-group variation (or within group homogeneity). The rough estimate I made suggests the they needed at least 91,800 units for this polls. Mind you, I have not included the possible confounding affects of such factors as age, education level, marital status, gender, etc.

Conclusion: What the REDET findings tells us NOTHING regarding the comming election and that the study is null and void. At least they should have indicated confidence intervals to try and convince us otherwise.

Cheers

Atleast wewe umechambua hoja basesd on utaalamu. Lakini hata hivyo nakushauri uongeze uthubutu wa kuwasilana nao REDET ili wakupe details zaidi za utafiti wao kuliko kuamini katika magazeti ambayo yote kama ilivyo washabiki humu ndani tayari yameshaamua kuegemea upande mmoja. Lakini vilevile don't expect kuwa hata kama REDET wangeonyesha wazi "confedence interval" ambayo wameonyesha wazi katika report yao lakini waandishi wetu wameona kuwa sio issue, ni wazi humu ndani hakuna aliye tayari kufahamu wala kukubali. Kwao wao umuhimu ni kupata matokea wanayoyafikiri na kuyataka wao na si vinginevyo.

Unategemea nini kutoka wanaojiita wasomi na great thinkers ama wanademokrasia ambao wanakimbilia kuwachambua watu badala ya issue ambayo hapa ni matokeo ya maoni ya watanzania? I mean the same people who are ready to condone, whitewash and even defend the most immoral and indecent public exposé by their chosen one in the name of personal matters, now they dare to question personal integrity of an expert. RATIONALITY has gone missing from our national psych...
 
Hivi mtu anawezaje kuwa Lecturer of the most prestigious university in the country wakati hana hata ka-'karatasi' walau kamoja kwene journal za kimataifa? Huu si ndio uchuro?

Inategemea nini maana ya "kimataifa" kwako? Lakini zaidi ya wasomi wenye kuwa na mahusiano na mashirika ama shule za ulaya na marekani ni wasomi wangapi wa kiafrika ambao wanapata nafasi ya kupublish katika hayo majarida mnayoyathamini kama ni ya kimataifa? Hivi jarida litakalochapishwa na UDSM mtaliona kama ni la kimatifa ama hadi litoke Havard na Oxford. Angalieni WAKOMBOZI wetu msije mkawa ni wahanga wa prejudices na ulimbukeni ambao ndio asili kuu za matatizo hayohayo mnayoyodhania kuwa mnayapiga vita.....

By the way, do all so called international journals publish their works online?
 
Tanzania Daima naomba mchape hiyo taarifa ya who is benson ban wasome n watu wengine ambao hawana fursa ya kuingia kwenye internet

Kwa nini iwe Tanzania daima, gazeti la wenye maslahi katika hoja hii na sio wengine?
 
Baada ya kusoma CV nimejiridhisha kuwa hawa ni wale wataalamu wa kukariri na mwisho wa siku hawaelewi kabisa maisha upande wa pili yako je.Bana hawezi kufanya kitu kingine zaidi ya kufundisha na kwenye kufundisha ili apande cheo ni lazima ajipendekeze kwa wakubwa sasa ndiyo nafasi imejitokeza. ndiyo, ee, ndiyo, si mwenzake alifanya hivyo na sasa ni vc wa chuo?

Kwa mawazo haya na upeo huu wa uchambuzi wa mambo bado mnapata guts za kuwalaani watanzania wenzenu ambao nao hutumia upeo wa aina kama hizi kufanya maamuzi ya kupiga kura wanapowachagua hao mnaowaita mafisadi?
 
Inategemea nini maana ya "kimataifa" kwako? Lakini zaidi ya wasomi wenye kuwa na mahusiano na mashirika ama shule za ulaya na marekani ni wasomi wangapi wa kiafrika ambao wanapata nafasi ya kupublish katika hayo majarida mnayoyathamini kama ni ya kimataifa? Hivi jarida litakalochapishwa na UDSM mtaliona kama ni la kimatifa ama hadi litoke Havard na Oxford. Angalieni WAKOMBOZI wetu msije mkawa ni wahanga wa prejudices na ulimbukeni ambao ndio asili kuu za matatizo hayohayo mnayoyodhania kuwa mnayapiga vita.....

By the way, do all so called international journals publish their works online?

Naona unapagawa kwa hoja ndogo tu..majasho yanakutoka huku hujui hata unachorespond..labda kwa kukusaidia tuu.

--International journal, tazama maana ya neno 'international' halafu 'journal' kwene kamusi yako yenye kiingereza..nadhani jibu utalipata kwa kuunganisha hayo maneno mawili.

--Takwimu za wasomi hao unaowaulizia tafuta sources za kuaminika, maana sioni zinahusiana vipi na hoja yangu.

-- Hayo mambo ya UDSM na Havard ni yako na ww ndio uyatolee maelezo na kuonesha ni kwa vipi yanajibu hoja yangu.

-- Hayo mambo ya wakombozi sijui unakoyatoa, again unaeza kuyatolea maelezo maana ni yako, na pia unaeza ukaongezea kwa ushahidi kuongelea ni kwa vipi maoni yangu yanafungamana na wakombozi, prejudices na ulimbukeni

-- Naona suala la International journals limekuchoma sana, sasa sijui huko online ndio sifa ya kuwa international au ?? nways hata hivo sina msaada kukujibu swali lako ambalo halina kichwa wala miguu.

Mpira upo kwako.
 
Ni mmoja wa 'wasomi' waliochoka Kiakili,kilichobaki ni kujikomba kwa watawala.Ni mtu apendaye kula vilivyosazwa(makombo) na watawala.
 
I think na wengine pia wanaweza kuja na data mbadala za kiutafiti kama haturidhishwi na redet au synovate, kulalamika tu haina maana nzuri hiyo kazi tuwaachie wenye upeo giza wa mambo jamani the better way ni kulumbana kwa hoja
 
Pointi ni kwamba ,kila kitu kilipikwa kwenye bana, kilichotokea hakieleweki.Hata Bana haelewi imekuwaje Dr. mzima kutoa madudu.
 
Siku yakitokea mabadiliko ya kweli nchi hii kichwa cha BENSON BANA lazima tukitundike pale jangwani iwe fundisho kwa wasomi wetu wasitusaliti kiasi hiki

Hapana. Sasa ukiambiwa unapanga kumwaga damu ukishinda kura utamlaumu mtu anayesema hivyo? dawa ya watu kama hawa ni kuwaacha hai ili washuhudie ukweli waliokuwa akishiriki kuuficha kwa miaka yote.
 
WilCard, sikubaliani na hii generalization. Nina uhakika hata wewe huwezi kutoa sifa kama hizo kwa watu kama Prof. Baregu, Dr. Lwaitama, Prince Bagenda, nk.

Bila kumsahau Justice LUGAKINGIRA (RIP)
 
Bana kasema yake,kutokana na mtazamo wake na utafiti wake wa data za kutengeneza aangalie sana asije umbuka kwani watanzania wa leo siyo wale watanganyika wa 47!!!!!!!!!!!! asubiri aone mabadiliko ya ajabu katika siasa za leo binadamu hafanyiwi utafiti katika kichwa chake kila mtu wa leo siri yake moyoni sanduku la kura ndiyo mwamuzi hata leo ukiniuliza nitamchagua nani nitakueleza ni yule aliye madarakani si unakumbuka Zimbabwe ilikuwaje,Zambia je,Malawi,Kenya na kwingineko TZ poa tu!
 
Thumb up Mwananchi Communication Ltd (MCL) kupitia mwananchi newspaper!!! wengine ni wehu tu!!!!:bowl:
 
Back
Top Bottom