Who is Benson Bana?

Mling'ang'ania REDET kutoa matokeo ya utafiti wao... Sasa wametoa mnalia kama mapimbi!
 
Mwita sample ya 2500 ni sample nzuri tu na ndo inayotumika na researchers wengi wanaotaka kujua 'nationwide agenda'...kwenye research unaruhusiwa kuchukua sample ya 5-10% ya popn. Hiyo walochukua ni approximately 6% so its allowed kisomi na sampling method walotumia pia concures with research methodology. Point to urgue labda hawaja-report data za ukweli..

Ati na wewe ni msomi? Shame!Watu 2500 ni asilimia 6 ya nini? wapiga kura waliojiandika Tz wapo wangapi? 42,000? HATUDANGANYIKI.
 
Mwita sample ya 2500 ni sample nzuri tu na ndo inayotumika na researchers wengi wanaotaka kujua 'nationwide agenda'...kwenye research unaruhusiwa kuchukua sample ya 5-10% ya popn. Hiyo walochukua ni approximately 6% so its allowed kisomi na sampling method walotumia pia concures with research methodology. Point to urgue labda hawaja-report data za ukweli..

Mr/Ms Skype naomba u-review mahesabu yako au calculator yako. watu 2500 ni asilimia 0.13 tu ya wapiga kura milioni 19 !
 
Mr/Ms Skype naomba u-review mahesabu yako au calculator yako. watu 2500 ni asilimia 0.13 tu ya wapiga kura milioni 19 !
Tatizo sio kwamba hajui arithmetics au kwamba anatumia calculator ya kichina..la! hawa ndo wachakachuaji wenyewe wa CCM wanaowadanganya watz kule vijijini.
 
utafiti ule umefanywa kwa watu 2500 tu kwa hiyo siyo sample nzuri bana hajui statistics, na data compilation inabidi akasome jinsi ya kuandaa mean{harmonic,weighted,geometric na average mean} then ndio arudi na REDET yake

Hivi si sample hii ndiyo iliyotumika na REDET kujua kuwa imani ya watanzania miongoni watu wanaoridhika sana na utendaji wa Kikwete ilishuka kutoka 70% mwaka 2006 hadi 39% mwaka 2008....Na mkashangilia sana????

JAMANI kuweni n uthubutu wa kukubali msio yategemea. Itawasaidia sana kuongeza juhudi na kuboresha mikakati zaidi ya kuendeleza style hii ya kuidanganya, kutukana na kuadharau watu na taaluma zao..... .
 
Wasomi wetu wengi ni wasomi masilahi na wala siyo wasomi wajuvi. JK akianguka kama wengi wetu tunavyotegema REDET watajitetea ya kuwa matokeo yao yaliendelea kubadilika kutokana na Dr. Slaa kukubalika kwenye jamii yetu siku hata siku baada ya wao kutoa maoni yao.

Hata kama ni kuchakachua wenzetu hata aibu hawana. Basi wangesema JK ana asilimia 49 na Dr. Slaa 44 ningesema mmmhh kidogo vichwani hakuna funza lakini sasa.....................ni funza tupu wanawapekecha........................
 
Nilicheka sana wakati mtoa ripoti alipokuwa anawasilisha, akasema matokeo ndio hayo najua watu watabeza, watakashifu (paraphrase) lakini hayo ndio matokeo!

Sehemu hiyo ya kujidefend ndio iliyonipa swali, why all this? Kama you are ok na kazi yako why worry kwamba watu watabeza?...What makes you think like that? Sasa hapo ndipo watu kama FBI wanapoanzia kufanya kazi yao kama ingekuwa nchi ya wenzetu.
 
Tatizo sio kwamba hajui arithmetics au kwamba anatumia calculator ya kichina..la! hawa ndo wachakachuaji wenyewe wa CCM wanaowadanganya watz kule vijijini.

Labda wanawadanganya wengine, lakini siyo baba yangu na maza
 
Wasomi wetu wengi ni wasomi masilahi na wala siyo wasomi wajuvi. JK akianguka kama wengi wetu tunavyotegema REDET watajitetea ya kuwa matokeo yao yaliendelea kubadilika kutokana na Dr. Slaa kukubalika kwenye jamii yetu siku hata siku baada ya wao kutoa maoni yao.

Hata kama ni kuchakachua wenzetu hata aibu hawana. Basi wangesema JK ana asilimia 49 na Dr. Slaa 44 ningesema mmmhh kidogo vichwani hakuna funza lakini sasa.....................ni funza tupu wanawapekecha........................

Moja ya uzuri wa utafiti wa kisayansi Vs wa kishabiki ni kuwa unaweza kuvalidate kwa kutimia njia walizotumia kwa muda wako mwenyewe...

Kwanini badala ya kuendelea kupiga kelele na kudai kuwa utafiti huu ni wa uongo, hamchukui hatua za kufanya utafiti wenu pia kwa kufuata sampling methods kaka za REDET na kuwaumbua??

Nina uhakika mnaweza kupata what you believe a neutral institution ikafanya utafiti kama huu wiki chache zijazo if you are realy interested with the "reality" from the ground???

Ama sivyo endeleeni kushabikia utafiti wa Majira, tanzania daima, Jamiiforum na picha za umati wa kampeni, zitawasaidia kuboresha mikakati yenu na kupata ushindi October 30th..........
 
Bana ni mnafiki Anafanya kazi kwa njaa,lakini hawa woote watajificha nyuso zao.
 
Nilicheka sana wakati mtoa ripoti alipokuwa anawasilisha, akasema matokeo ndio hayo najua watu watabeza, watakashifu (paraphrase) lakini hayo ndio matokeo!

Sehemu hiyo ya kujidefend ndio iliyonipa swali, why all this? Kama you are ok na kazi yako why worry kwamba watu watabeza?...What makes you think like that? Sasa hapo ndipo watu kama FBI wanapoanzia kufanya kazi yao kama ingekuwa nchi ya wenzetu.
hapa tuna usalama wa taifa pekee ambao hauna meno na umeshurutishwa kisheria kufanya kazi chini ya makada wa ccm. Soma sheria yao utagundua wanaripoti kwa waziri ambaye kama ni kilaza hawana jinsi bali kuripoti kwake period.

Hivi mama yetu sophia simba naambiwa yupo bize sana siku hizi. anafanya nini mda huu?
 
Kwa nje namuona kama kinara mpya wa wahadhiri vibaraka Tanzania...

Anayetafuta vyeo kwa kuidhalilisha taaluma yake...

Anayewatii mabwana zake kwa kudhalilisha tasnia nzima ya utafiti Tanzania...

Msomi bandia, anayedhililisha demokrasia Tanzania...

Kwa wale wanaomfahamu zaidi tabia na Historia yake, naomba wamuelezee "Dk." Benson Bana...

BENSON BANA
Benson Bana is a Tanzanian citizen. He holds a PhD from University of Birmingham. He has worked in Tanzania Public Service and as a Human Resource Training and Development Manager in a multinational company before becoming a Lecturer at the Open University of Tanzania. He is currently a lecturer in human resource management, public management and political science at the University of Dar es Salaam and consults and researches in the same areas. He has contributed to the book titled: The Human Factor in Governance: Managing Public Employees in Africa and Asia, New York: Palgrave Macmillan published in November 2006. He has also (with W. McCourt) written an article "Institutions and Governance: Public Staff Management in Tanzania" which has been published in Public Administration and Development journal Volume 26, Issue 5, 21 November, 2006. He participated in the study on "Staff Management and Organizational Performance in Tanzania and Uganda Public Servants Perspectives (With Ole Therkildsen and Per Tidemand). He is currently conducting a study on Ethics Management in the Professional Associations of Tanzania for President's Office, Public Service Management (PO-PSM).

View attachment Bana-CV.pdf

ukisoma hapo juu inaonekana jamaa kamaliza PhD from University of Birmingham, but Cv inaonesha Kaipatia University of Manchestor. Which is which?

http://www.dege.biz/Consultants.html
 
Mwita sample ya 2500 ni sample nzuri tu na ndo inayotumika na researchers wengi wanaotaka kujua 'nationwide agenda'...kwenye research unaruhusiwa kuchukua sample ya 5-10% ya popn. Hiyo walochukua ni approximately 6% so its allowed kisomi na sampling method walotumia pia concures with research methodology. Point to urgue labda hawaja-report data za ukweli..

Mzee, with all due respect, I beg to differ. I am not a statistician, however, the little I know tells me that you need to define your sampling UNIT (the smallest population element where the measurements are going to be made) before you conduct your research. In this case, it is an individual person eligible for voting (more precisely also registered for voting and a higher probability of casting a vote!). The list of these units forms what is called a sampling frame. If the population is homogeniousy distributed (e.g. same age, education level, marital status, gender, etc, etc) a random sample of these units is adequate to be a representative sample. The question of how many units, is determined by the level of confidence (conventionally accepted at 95%, 99%, or 99.9%), variation (variance or Standard deviation) and the level of precision desired (OR acceptable error margin) conventionally kept at 0.05. THIS IS WHEN YOU USE A SINGLE STAGE SAMPLING.

In the citizen newspaper, the REDET sampling strategy involved a multistage (3-stage) sampling with 26 regions, 52 districts, 102 villages, 2,600 people interviewed! This is not a homogeneous population anymore. For this design, they needed to includein the formular, the design effect (3 stage stratification) and a factor called the intraclass correlation (ICC) which quantifies the extent of between-group variation (or within group homogeneity). The rough estimate I made suggests the they needed at least 91,800 units for this polls. Mind you, I have not included the possible confounding affects of such factors as age, education level, marital status, gender, etc.

Conclusion: What the REDET findings tells us NOTHING regarding the comming election and that the study is null and void. At least they should have indicated confidence intervals to try and convince us otherwise.

Cheers
 
Hivi si sample hii ndiyo iliyotumika na REDET kujua kuwa imani ya watanzania miongoni watu wanaoridhika sana na utendaji wa Kikwete ilishuka kutoka 70% mwaka 2006 hadi 39% mwaka 2008....Na mkashangilia sana????

JAMANI kuweni n uthubutu wa kukubali msio yategemea. Itawasaidia sana kuongeza juhudi na kuboresha mikakati zaidi ya kuendeleza style hii ya kuidanganya, kutukana na kuadharau watu na taaluma zao..... .

Mosi, Hoja hapa ni kwamba hiyo sample is not good enough kwa kutumia any scientific basis, huo ndio msumari wa utosini kwenye hii mada..haijalishi huko kipindi cha awali REDET walileta matokeo ya aina gani na yakapokelewa vipi..thats a different and mostly important, irrelevant to say the least.
Pili huwezi ukalinganisha takwimu za jf au majira na takwimu zinazofanyika na serious msomi..of course kama hutaki kuwepo kwene level ya chini kabisa ya ku-accept mediocrity.Kama tunafikia hatua ya kulinganisha tafiti za msomi wa chuo kikuu, na takwimu zisizo rasmi basi kweli mzigo wa ujinga wa mtz wa ku-accept mediocrity una-sky rocketing ...yes sky-high.
 
Kwa nje namuona kama kinara mpya wa wahadhiri vibaraka Tanzania...

Anayetafuta vyeo kwa kuidhalilisha taaluma yake...

Anayewatii mabwana zake kwa kudhalilisha tasnia nzima ya utafiti Tanzania...

Msomi bandia, anayedhililisha demokrasia Tanzania...

Kwa wale wanaomfahamu zaidi tabia na Historia yake, naomba wamuelezee "Dk." Benson Bana...

Kwa msomi kama mimi naangalia viwango vya wasomii wa njii hii na kulia. Kama mtu anayeitwa dokta anaweza kufanya tafiti yenye majibu yanayokinzana na uhalisia basi huyo si msomi. Kwa mfano mtu unaenda Dar unafanya tafiti juu ya ugonjwa wa malaria halafu unakuja na conclusion kwamba ugonjwa wa malaria haupo dar isispokuwa mbu wapo.
nikichunguza utafiti wa Benson Bana ninagundua kuwa alifanya sampling with control, katika demokrasia ya kweli alitakiwa kufanya sampling without control. Kwa hiyo ni kwamba amefanya kitu kuelekeza mawazo yake binafsi na si kuangalia mawazo na maonii ya watu.

miongoni wa wasomi uchwara ni pamoja na Dk. Makongoro mahanga..... yeye alikuja na ajira 1,300,000 za kikwete
Mary Nagu ...... aliwalaghai akina mama mwaka 2005 katika jimboo lake kuwa watasahau kutumia kuni katika shughulii za jikoni.
and the list goes on.....
 
Bana amelala usingizi wa pono, anaota ndoto zake mwenyewe, kuwa Kikwete 71% atashinda,

Hizi ''tafiti'' sasa zinaanza kupoteza maana yaka na ni design ya akina ''Dr'' Bana tu ndo wanaweza kusimama kifua mbele na kujisifia.

Wapiga kura waliojiandikisha ni zaidi ya watu milioni 19, leo unawahoji watu 2,600 tu na unakuja kutangaza matokeo ati Kikwete atashinda au anakubalika kwa 71%. Watafiti mpo wapi mtupatie the ''basics of research?''

Ninaamini matokeo haya hayareflect chochote wala ulweli halisi, na ninawaomba yasiwaumize kichwa wapenda mabadiliko na myapuuze tu kama upupu wa siku zote kutoka kwa vibaraka wa Chama Twawala
 
BENSON BANA
Benson Bana is a Tanzanian citizen. He holds a PhD from University of Birmingham. He has worked in Tanzania Public Service and as a Human Resource Training and Development Manager in a multinational company before becoming a Lecturer at the Open University of Tanzania. He is currently a lecturer in human resource management, public management and political science at the University of Dar es Salaam and consults and researches in the same areas. He has contributed to the book titled: The Human Factor in Governance: Managing Public Employees in Africa and Asia, New York: Palgrave Macmillan published in November 2006. He has also (with W. McCourt) written an article "Institutions and Governance: Public Staff Management in Tanzania" which has been published in Public Administration and Development journal Volume 26, Issue 5, 21 November, 2006. He participated in the study on "Staff Management and Organizational Performance in Tanzania and Uganda Public Servants Perspectives (With Ole Therkildsen and Per Tidemand). He is currently conducting a study on Ethics Management in the Professional Associations of Tanzania for President's Office, Public Service Management (PO-PSM).

View attachment 14975

ukisoma hapo juu inaonekana jamaa kamaliza PhD from University of Birmingham, but Cv inaonesha Kaipatia University of Manchestor. Which is which?

Dege Consult Decentralisation, Public Sector Reforms and Good Governance

anabahati kwenye CV yake hajaweka referees, bila shaka Kwenye Cv Zake zingine utakuta prof. Mukandara, J.k kikwete, Kinana, Yusuph Makamba ndo referees wake!!! sasa wapi na wapi REDET iwe independent??????
 
Sidhani kama alikuwa ana hajui anafanya nini. Kikubwa anachokifanya ni kuandaa mazingira ya kuthibitisha uchakachuwaji wa kura za uchaguzi. Mpaka sasa kupitia Taasisi za Elimu ya juu wamefanya mkakati wa kuchakachua kura 60,000 za wanafunzi wa vyuo vikuu, then wako kwenye hii ya documents za kuthibisha kwamba tangu awali dalili zilikuwa ni ushindi kwa CCM. Nadhani tutaendelea kupata means mbalimbali za kutaka kutujaza matokeo ambayo sio.
 
Back
Top Bottom