mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
Mamndenyi mamkwe..u mzima wewe?
wala usiwataje watakaosababisha mwamko wa hasira..sio nzuri kwa afya
wala usiwataje watakaosababisha mwamko wa hasira..sio nzuri kwa afya
- Nina majina maalum kama Kaizer, KakaKiiza, Pdidy heshima kwenu sana.
- Nina majina mengi mno yakutaja hapa; upande wa wanaume looooh na wengi ni mabest zangu
chama............- Wale wa chama cha zamani wapo @Zubedayo_Mchuzi na Bujibuji,
- Ukija wadada/akinamama loooh. Ni wengi hasa walionipora wanaume; kama Kongosho, Madame B Lady doctor, AmKATRINA,
- Heshima kwenu sana kwa michango yenu Heaven on Earth, miss strong, AshaDii, snowhite, ladyfurahia,
- Wengi nawaheshimu sana kama The secretary
- Wale wakamwana wangu kama mimisa, shansarie,
- Wakwe zangu kama Nicas Mtei
- Mlezi wa binti yangu Arushaone (acha ubahili)
- Mtoto wa kuzaa mwenyewe kiwatengu
- Mfadhili wangu mkuu Bishanga
- Rafiki yangu Mtambuzi, MziziMkavu, asakuta same
- Walionipa talaka sipendi kuwataja kwa kuwa nitapata hasira.
Kwenye orodha yangu hapo juu ningependa sana
kuona likitoka jina moja la JF Celebrity
Last edited by a moderator: