Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,438
- 100,717
hahahhaaaa twende kwa category bhana ili na wengine wapate, kwa mambo yetu yale mi nampa yule binti wa Kichaga anayeiongea kama vile amemeza betrii, anachonga kweli kweli, sijui hata kama ana mume, anaitwa sijui Laura moja au nani sijui vile......
The idea is great musee yangu, upande wa dini ningempendekeza Mamndenyi huyu mimi huwa napenda kumuita Mama Mchungaji, I feel her kwenye mambo ya kiroho ile mbaya, mimi no sweat hata mkinipa u-celebrity wa kupiga kelele haisumbui kivile

Last edited by a moderator: