Naona unataka kutoka nduki sasa , nakuona tu mimi sio selebrite banaa mimi ni mpiga kura na nishapigia kura hao niliowa-mention hapo juu ingawa wapo wengi mno kiasi kwamba natamani kuwamention wote bahati mbaya majina yao kichwani sijaya kremu vizuri ni mpaka nirudi kuchungulia kwenye post zao. You are among of them JF celebrities .
​hi dady!!aisee wala usiogope huo ni muziki wa shemeji tu, bado hajatia timu sister angu Mrembo by Nature...halafu bado ma-princess wangu niwapendao sweetlady, charminglady, Passion Lady, WiseLady...bado na hawa Lady doctor na ladyfurahia
Thank you for mentioning my name , remember I am still learning too so I do not deserve it ,let me take my position as a mpiga kura. Have a nice weekend and may God bless you abundantly , let him fulfill the desire of your heart.
Be blessed and enjoy your weekend. Nimekuelewa ngoja tuwatafute wakongwe .Ablessed
Nakushukuru kwa kutambua uwepo wangu ndani ya jf, ingawa kwa kweli kabisa sisitahili sifa hiyo hiyo ya jf Celebrity, mimi ni mchanga sana hapa jf, hizo sifa nadhani zina wenyewe.
Akina Lara 1, Paloma, ladyfurahia,Mtambuzi[MENTION]Mentor[/MENTION], Himidini na wengine wengi tu siwezi kuwamaliza.
​hi dady!!
Thank you for mentioning my name , remember I am still learning too so I do not deserve it ,let me take my position as a mpiga kura. Have a nice weekend and may God bless you abundantly , let him fulfill the desire of your heart.
Mke wa ujana wangu, nani kakuambia utoe siri za chumbani kwetu?nipo my dear shemeji Mwita Maranya, wivu wa Asprin tu ndio haswaaaaaa wanifanya niadimike, muda wote anataka game, wanadai anazeeka, kumbe walaaaaaa kila uchao anarudi ujanani, naenjoyje mie???
​mic u too dady,hi to mamy Maeskron!!Hello daughter...dady misses you!
Nipo mama ila ni mambo ya maisha ndo yananifanya niingie jamvini kwa kuiba iba.
Ila usijali kwani nikiwa free naweza kuja na kusoma soma post za watu, japo inakuwa ngumu kujibu wote kwani nakuta notification nyingi ila usijali bado tuko pamoja.
View attachment 109956
Pacha salama?
Pacha salama?
missed you sana kabisa
Welcome back my twin lol nilikumisijePacha salama?
missed you sana kabisa
Kweli nimefurahi mno lkn sikunyong'onyea bwana.Pacha wako atakuwa amefurahi sana kukuona maana alinyong'onyea ππ kupita kiasi. Mie niko bomba sana namshukuru Mungu.
h haaaaaaaaaaaaa, ashangilie tu kwa muda huu ambao nipo.....Pacha wako atakuwa amefurahi sana kukuona maana alinyong'onyea ππ kupita kiasi. Mie niko bomba sana namshukuru Mungu.