'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

Jamani hizi mada zenu za kumdhihaki Mungu mi zinaniudhi sana, hebu mwacheni Mungu wetu kwa nini mnamsakama kila wakati..
hebu zitajeni neema zake alizowabariki, acheni kumdhihaki Mungu, Mungu ni MKUU, ASIFIWAYE NA ANATUKUZWA KILA SIKU
Jukwaa hili siyo size yako. The only platform you can fit in to present and discuss your simple ideas frm your simple brain is FESIBUKU
 
Habari zenu wana JF. Leo nataka niwaletee ukweli ambao wapinga mungu kama Kiranga huwa hawauelewi. Swali hilo ni hili.

Swali: Je, kama Mungu yupo, nani alimuumba Mungu? (Au ametokea wapi?)

Jibu: Mungu ana sifa ya kutokuwa na mwanzo wala mwisho, hivyo hilo swali halina mantiki. Pia tufanye kuwa Mungu ameumbwa, kwa hiyo logic ni kuwa aliyemuumba naye anatakiwa awe ameumbwa, na kuendelea. Hivyo ni wazi kuwa kutakuwa na miungu infinity kitu ambacho ni Illogical. Hivyo namaliza kwa kusema kuwa, Swali la Who Created God is an illogical question.

We sasa huko unapokwenda sio nia sahihi ya kuhoji daah unamkosea Mungu sana we subiri akuite ndio utapata majibu yote tu usijali
 
5922ecf7e03dea6879b778fcb015c6c1.jpeg
 
Before discussing the notion of Who Created God,
We better first come to a conclusion of an important concept of,
Who Created Man.

This is a good starting point, on my point of view.

Because those who believe that, Man is a creature who exist just by chance,
they have to stay away from this discussion,
here i mean, i am worried that, they will come with a simple answer that, even God doesn't exist, or He may be existed by chance too.

We need great think tanks here, who have an idea of the source of Man,
Who therefore, may continue finding out about the root of The Allmighty God.

I Love Kiswahili.
 
Kujaribu huhoji uwezo na kutokuwepo kwa Mwenyezi MUNGU ni kujaribu kujitafutia ma-balaa ambayo yanaweza kusababisha nuksi na laana kwa kizazi chako chote - Laana imepitishwa kizazi cha tatu hadi cha nne.

Fanya yako, usiguse wala kuhoji uwezo wa Mwenyezi MUNGU ewe binadamu uliyeumbwa kwa udogo. acha kabisa chezea mengine ila si Mwenyezi MUNGU.

Kama una masikio na usikie, usije kusema kwamba hatukukuonya - Elimu yako hii ndogo ya duniani ni kwa faida yako usitumie eti kuhoji uwepo na uwezo wa Mwenyezi Mungu - Binadamu kwa Mwenyezi MUNGU si kitu wewe.

Mitume wote walipiga magoti kwa Mwenyezi MUNGU akiwamo MUSSA na ELIA, itakuwa wewe kiumbe dhaifu na mwenye dhambi?? Tubu ewe mwanadamu, umeshatenda kosa mbele ya uso wa Mungu wako.
 
Mimi najua tu Mungu yupo maana kuna wakati mambo yangu huwa yamekaza kweli..yaani vyuma vimekaza hasa..halaf from no where napata msaada/solution ya hilo jambo.Mind you..from no where.Hapo huwa nasema hakika Mungu yupo.
 
Ubishi huu ni mrefu kwa sababu tunabishania kitu ambacho hakipo.

Kwa sababu kitu kilichopo ni rahisi sana kuthibitisha kipo.

Kitu ambacho hakipo huwezi kuthibitisha kwamba kipo au hakipo kirahisi.

Ukweli kwamba kuthibitisha kwamba Mungu yupo au hayupo ni kitu kigumu unaonesha Mungu hayupo.

Angekuwepo ingekuwa rahisi sana kuthibitisha yupo bila ubishi.

Na kwa jinsi anavyopenda sifa kama mlivyomuandika kwenye vitabu vyenu, angepanga nyota ziandike angani kwamba Mungu yupo hivyo binadamu wote aminini Mungu yupo.

The fact kwamba hakufanya hivyo na anapenda sifa sana ni contradiction inayoonesha hayupo.

Kwenye hivo vitabu ametaja alama zake....

Sitaki kuchangia sana kwenye hii mada.... Ila hapo ulipozungumzia sifa ndipo pamenifanya nijidai kupost.
Kwa akili yako ya kibaandamu, ungesema ili Mungu ijulikane kama yupo basi angezipanga nyota zikaandika, KIRANGA MIMI NIPO NA NAKUONA. Kwa sababu angezipanga zikasema MUNGU YUPO ungekuja kukataa pia kwa sababu hakipo vile unavotaka.

Anajidai na kujisifu kwenye vitabu vyake kuhusu creations zake.

Si lazima kwenye Plate number ya Gari iandikwe Yussuf Manji ndio ujue kama yake.
Kumiliki, kuwa nayo muda wote anaohitaji, hakuna anaeweza kumzuia kutumia hio gari wala kumdai, amenunua kwa pesa zake bila kusaidiwa, pia ni katika dalili za kuwa hio gari ni ya kwake. Kwaio sio lazima Mungu akuandikie kwenye nyota kuwa NIPO ndio uamini......
 
He doesn't need to be needed
He wants to be needed
It's his desire
He desires for man to acknowledge him,
he desires for man to realize that he is not perfect in himself
He desires for man to see God the way God is, as all powerful, all mighty

That doesn't mean God would be any less if man doesn't acknowledge him
As a matter of fact based on Bible history, God once destroyed the world with a flood because they didn't acknowledge, respect God
That to me doesn't sound like he's needy,
It sounds like God made humans a certain way and he desires them to relate to him in a certain way
Unamaanisha alimshindwa shetani au hamuwezi Shetani?
 
Kweli kabisa. Halafu zikishatajwa neema zake, zitajeni maovu yake mana kama angemteketeza shetani in the first place basi amani ingekuwamo toka mwanzo wa adam mpaka sasa .
Unamaanisha alishindwa kumuangamiza Shetani au??
 
Yes, because you exist! God is the Creator so long we see you it proves that the one created you exists
This seems to be illogical argument one could ever make.
If you say that God exists because I exist, it follows necessarily that if I were not existing God would not have exist.
 
Some of the answers you will never get because you are not GOD. However naweza nikasema kuwa Mungu hufanya vitu logically ingawa hafungwi na logical. Yeye ndiye muasisi wa logic ambayo tunaijua sisi. ( Mungu ni yeye yule Jana, Leo na hata milele).

(Ikumbukwe kuwa kila kitu katika ulimwengu ni logical, we just see some of them illogical because we can't comprehend them using our normal brains).

I knw you will start to ask me questions like 'Can God create pembetatu duara'? I will answer as follow;

Out of our normal logic, its impossible, but, as God is not limited with logic, then we may conclude that God can do anything even things we can not imagine .

You may also ask this question, "Can God create a triangle for which sum of angles are greater than 180°? Then I answer as follows;
1. Degrees is a human invention. Therefore, if a man wanted the triangle to have 1000°, they would do it.
2. In more than two dimensions, (I.e. for example in three dimensions) triangles may have more than 180° logically.

To sum up, our God exist outside our known dimensions and knowledge and therefore, we can not clearly describe his power, authority, and capability. We have to accept him, honour him, worship him, believe him, glorify him, and trust him.

Moreover, we have to ask him to give us the knowledge of him.

To sum up, nataka watu kama Kiranga wa confess kwanza kuwa suala ya Who Created God is illogical question, kwa hiyo sitarajii mtu kuuliza maswali kama ya ' Nani kamuumba Mungu? Au Mungu katoka wapi? Hiyo ni kwa sababu Mungu hajatoka popote. Yupo milele, hana MWANZO, hana MWISHO!
To ask the question whether God exists or not is stark non-sense as far as language is concerned. Wittsgenstein said Our language is our world.
In your responses it seems you lack deep theoretical understanding of things. If you are claim that there are no answers to some question why not just admit it.
You said to ask who created God is illogical but this presupposes the Existence of such being and you seem to escape the toughest question here whether God exist in reality?
 
We can see God's power in everything we see. If fact Kiranga you don't know what God wants. God want you to TRUST him. You can not see God without first to TRUST him. God want you to do good deeds even when you can't feel him in your surrounding.

I ask you one thing. Can you prove if demons exist? If you cant, then how do you explain demonic possessions?

Trust me, even science failed completely to explain how and why people get possessed with demons! They will never explain scientifically because it is not a scientific fact, its a spiritual fact.

So, God is a spiritual fact, dwelling in an immaterial place, so you can't scientifically prove him for the same reasons as applied in demonic possessions.

But we all know that demons exist by looking the effects they do, in our environment.

Got me?
This defies basic logic let me point out some logic flaws from you assertion
How can we see God in everything, it seem tautological claim without any substance to it.
It is illogical to say you can see something if you trust such thing, the fact of seeing does not need trust if something really exist and not just a creation of one's mind why would you need to trust to see such thing?
How can you feel the existence of God? This wrong use of language.
Do you mean that since demons exist, then God exist necessarily? It is a fallacious claim. Whether demon exist or not is just another debate for another day. Do you mean that if demons do not exist then God also don't exist, what a logical fallacy is that.
how God is a spiritual fact? This is misuse of the word fact. So your claim is a mere non sense.
God dwelling in immaterial place, how can a place be immaterial?the fact that you have said it is a place, it must be material limited in term of space and time. This is contradiction of terms. My brother Don't try to get out language and justify the unjustifiable.
 
People are so wonderful. They don't believe in God but yet they BELIEVE in evolution.

Can you tell me any evidence for evolution? The answer is NO. So, evolution is a belief and not a science just as the way we believe in God.

If you want to know the secrets of God its better you approach him in prayers. We can not know everything. Our brains are finite and have limits.

In Yeremia 33: 3, God says "Niite, nami nitakuitikia, nami nitakuonesha mambo makubwa (kama ya uumbaji na future), magumu (kama uumbaji na spiritual truths, usiyoyajua (In fact we don't know many).
they are overwhelming evidence of Evolution. Evolution is a historic fact just like the fact the Holocaust. Prayer to God is just illusion.
 
Give me one evidence of evolution which encompass change of one kind of organism to another kind.

Then tell me why we don't have intermediate creatures. I.e. Sokwe-mtu, au paka-mjusi etc.
this show how illiterate you are on evolution
 
Friend
Evolution is a theory not a FACT,
It's a possible explanation
For you to prove that evolution you would need to be there to observe a given species from a time it started as a certain life form to how it changed to another

All there is to it is possible explanations by certain men and some connections that can support the explanation


Association doesnt necessarily mean Causation

And as a matter of fact many scientists are adopting Creation as a more plausible explanation as compared to evolution and what not
it is
I operate from both a faith-based framework and logical framework.
To me they can perfectly co-exist
Faith and Logic or reason are two things pointing to different direction. there is no way they can work together. you ca either use faith or reason.
 
A horse a cow and a deer all eat the same staff-grass
Yet a deer excretes little pellets, while a cow turns out a flat patty, but a horse producess clamps. What do you suppose that is?
If you have no idea.
Do you really feel qualified to discuss about the existence of God, heaven, he'll or life after death when you don't know shit?
 
Back
Top Bottom