Hahahaha, nilisema utarudi hata baada ya kuaga na kusema "I'm out"Maujinga tu.
Unafahamu kitu kinaitwa "framework"?
Unajua kwamba chochote unachokubali kipo au hakipo ni lazima utumie "framework" fulani?
Unajua kwamba bila "framework" hata wewe mwenyewe huwezi kukubali au kukataa kwamba upo?
Kwa sababu chochote utakachosema kinapingika?
Unajua kwamba agostic kwa kweli anatakiwa asipumue? Kwa sababu anatakiwa asijue kama akipumua atapumua cyanide itakayomuua hapo hapo ama la.
Unajua kwamba kitendo kwamba unapumua kinaonesha kwamba u agnostic wako unatumia framework fulani ya reference ili usi paralyze na kufariki kwa kuogopa kupumua?
Unajua unaweza kutumia framework hiyo hiyo kuchunguza suala la uwepo wa Mungu?
Nilidhani utaishia kuwa utatumia hiyo framework kuchunguza kutokuwepo kwa Mungu na kutafuta evidence ya kutokuwepo kwake? Sasa Unasema Mungu hayupo alafu evidence ya kutokuwepo kwake ni kuwa Maneno yeke yanajicontradict. Sasa Huoni Inabidi Ukubali Mungu Yupo ndio useme Maneno yake yanajicontradictUnafahamu kitu kinaitwa "framework"?
Unajua kwamba chochote unachokubali kipo au hakipo ni lazima utumie "framework" fulani?
Unajua kwamba bila "framework" hata wewe mwenyewe huwezi kukubali au kukataa kwamba upo?
Kwa sababu chochote utakachosema kinapingika?
Unajua kwamba agostic kwa kweli anatakiwa asipumue? Kwa sababu anatakiwa asijue kama akipumua atapumua cyanide itakayomuua hapo hapo ama la.
Unajua kwamba kitendo kwamba unapumua kinaonesha kwamba u agnostic wako unatumia framework fulani ya reference ili usi paralyze na kufariki kwa kuogopa kupumua?
Unajua unaweza kutumia framework hiyo hiyo kuchunguza suala la uwepo wa Mungu?
Pembetatu iliyo diara haipo katika Euclidean geometry.Nilidhani utaishia kuwa utatumia hiyo framework kuchunguza kutokuwepo kwa Mungu na kutafuta evidence ya kutokuwepo kwake? Sasa Unasema Mungu hayupo alafu evidence ya kutokuwepo kwake ni kuwa Maneno yeke yanajicontradict. Sasa Huoni Inabidi Ukubali Mungu Yupo ndio useme Maneno yake yanajicontradict
Pembetatu iliyo diara haipo katika Euclidean geometry.
Hilo halima maana ya kwamba siwezi kusema habari za pembetatu ambayo ni duara zinaji contradict.
Mungubwako ni kama pembetatu ambayo pia ni duara hapo hapo katika Euclidean geometry.
Anatajika, lakini hayupo kwa sababu idea ya kuwepo kwake inajipinga yenyewe.
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo bado.Hiki ulichokileta ni Analytical proof katika syntheic subjects. synthetic a priori.
Gödel’s Incompleteness Theorem says:
“Anything you can draw a circle around cannot explain itself without referring to something outside the circle – something you have to assume but cannot prove.” Pia mathematics yenyewe huwezi kupiga hatua moja bila Assumptions na Imaginations. Hii inanifanya nikuoshangae kidogo kuamini assuptions za mathematics huku ukitupilia mbali
Kumbuka " Kutokuwepo kwa Ushahidi, sio ushahidi wa Kutokuwepo"
kumekubali mfano wako uliouleta wa huyo mgiriki ni irrevant na unfit for this discussionHujathibitisha kwamba Mungu yupo bado.
How irrelevant and unfit? Can you be specific? Umesoma post zote zilizofikia hapo na zote zilizopita hapo?kumekubali mfano wako uliouleta wa huyo mgiriki ni irrevant na unfit for this discussion
Framework gani?Kwa hiyo ukitumia framework hiyo hiyo kuchunguza suala la uwepo wa mungu ndo utapata jibu au majibu sahihi kuhusu uwepo wake?
Then you are an agnostic only because you choose to view your position with a crude lens, a finer microscope will reveal that you are either an atheist or a theist.
Framework gani?
That does not contradict my proposition.No.
I am an agnostic precisely because of my multidimensional microscope that has 100 million times finer resolution than the current IBM nanoMRI microscope!
Its results are inconclusive.
That does not contradict my proposition.
Sijataja specific framework yoyote zaidi ya kutaja framework.Rejea bandiko lako namba 1219.
Framework niliyoitaja hapo ni framework uloizungumzia wewe kwenye hilo bandiko.
Wewe wasema Mungu hayupo,halafu wasema Mungu ndio kaumba bacteria,virus,volcano,huyu amvaye hayupo kaumba vipi hivi vitu na hayupo..
Kwa hiyo wanadamu ndio wanaumba bacteria, virus, na kusababisha volcanic eruptions? This is not your place. You can just stay a spectator...
My proposition did not concern itself with specific numbers or measurements.How does it not?
Sijataja specific framework yoyote zaidi ya kutaja framework.
Sasa wewe unapotaja framework, unakusudia framework gani specifically?
Unajua unaweza kutumia framework hiyo hiyo kuchunguza suala la uwepo wa Mungu?
Kwa hiyo ukitumia framework hiyo hiyo kuchunguza suala la uwepo wa mungu ndo utapata jibu au majibu sahihi kuhusu uwepo wake?
Yes.Duh!
Naona umeshindwa kufuatilia vizuri mtiririko wa majibizano yangu na yako.
Sina hakika ni kwa nini. Huenda ni kwa sababu labda unawajibu theists na agnostickwa wakati mmoja.
Kwenye bandiko lako namba 1219, kwenye sentensi ya mwisho uliandika hivi:
Ndo nami nikakunukuu na kukuuliza hivi:
Does it make sense now?