Kwa sasa nasubiri proof ya Truth table ambayo ndio msahafu wako. Kama hauwezi ku prove Msahafu wako mwenyewe, ya nini kurukia kwa Mungu? Mimi nilishasema siwezi kumpima Mungu, mbona huelewi?Wewe unayeona vipimo ni kitu muhimu unaweza kumpima Mungu?
Knock yourself out then brogasgas tunajitahidi kuwaonyesha hawa jamaa kuwa dini yao ya hakuna Mungu ni dini kama zingine. Wanaiamini tu bila ushahidi wowote. Tunawasaidia pia wengine wasiangukie katika mtego wa ukana Mungu!
Huwezi kutaka proof kutoka kwangu tu wakatibwewe hata maswalibyangu hujibu.Kwa sasa nasubiri proof ya Truth table ambayo ndio msahafu wako. Kama hauwezi ku prove Msahafu wako mwenyewe, ya nini kurukia kwa Mungu? Mimi nilishasema siwezi kumpima Mungu, mbona huelewi?
Wewe sasa tuletee Proof za Truth Table ambayo ndio authority yako!
Unakataa Mungu wenu hana contradictions?Knock yourself out then bro
Last time I went on arguing with these guys
He kept saying there are contradictions, contradictions
Nikamwambia let's sit together tuone side zote mbili. Side inayosema hizo ni contradictions na side inayosema hizo siyo contradictions, ila with further analysis of scriptures zinazungumzia kitu kimoja sema it needs diligent and integration ya scriptures kuelewa
Unajua akanijibuje
"Nimeshawahi soma vyote hivyo,kuna contradictions, contradictions"
Nikamwambia, assume basi mimi nipo wrong, wewe upo right tukasome wote. May be nikagain something
"Hamna kuna contradictions contradictions. God can't have contradictions"
Huyu ndio mtu anayetumia logic jamani. Highest level of logic there is lol.
He exemplifies the behavior of a scientist very well.
And solves things scientifically
Based on one side of the argument
Baada ya hapo nikaamua niachane na kureason naye, it's a waste of time.
When judgement day comes the record will show i did what i could.
There are a million other people out there who need this message, itawaokoa
This guy doesn't need it.
He's got it all figured out
BrotherUnakataa Mungu wenu hana contradictions?
But you are discussing the matter with me right now!Brother
I did rest my case kwako wewe the other time
Ulishaniuliza this question a number of times and i gave you my answer
Na nilishakwambia kwambia kuwa if unataka kudiscuss this with me, there's a route to follow, we analyze both sides of the argument
You refused to go that road and now i have decided not to discuss these matters with you anymore unless you change your mind and decide to study these things with me
No I'm notBut you are discussing the matter with me right now!
Oh yes you are.You just replied to say that you are not discussing with me.No I'm not
I quoted the other guy
Oh yes you are.You just replied to say that you are not discussing with me.
That is a discussion.
Wewe njoo na proof ya kwamba Mungu yupo kwanza, huwezi kunitaka mimi nijibu maswali yako tu wakati wewe hujibu yangu.gasgas
Noted. Kwa sasa ngoja tusubiri jamaa aje na proof ya msahafu wake uitwao truth table. Akishindwa kuthibitisha kile ambacho ni authority yake asiendelee kuuliza kuhusu Mungu!
You quoted me too, didn't you?No I'm not
I quoted the other guy
Ngoja tuonegasgas
Noted. Kwa sasa ngoja tusubiri jamaa aje na proof ya msahafu wake uitwao truth table. Akishindwa kuthibitisha kile ambacho ni authority yake asiendelee kuuliza kuhusu Mungu!
Kwa hiyo huna uthibitisho wowote,wenye ithibati,usio kinzana.Kama huna,itakuwa na uthibitisho wako wa Mungu haupo,hauna uthibati usio na ukinzani,wenye kukinzana na upande unaokinzana nao.Uthibitisho wenye uthibati kwakonukoje? Viwango ganinvinatakiwa ili kusema huu ni uthibitisho wenye uthibati ili nijue kablabya kujupa uthibitusho?
Na wewe unaweza kutoa uthibutusho wenye uthibati huo huo kuthibitisha kwamba Mungu yupo?
Your point being?You quoted me too, didn't you?
Uthibitisho wenye ithibati ndio ukoje kwa misingi yako? Na unawezaje kuthibitisha uthibitisho huo ndio madhubuti kabisa?Kwa hiyo huna uthibitisho wowote,wenye ithibati,usio kinzana.Kama huna,itakuwa na uthibitisho wako wa Mungu haupo,hauna uthibati usio na ukinzani,wenye kukinzana na upande unaokinzana nao.
Teh teh teh. Haujaweza kuthibitisha kweli wa Uwepo wa Truth Table. Kwa sababu haipo. Na kwa sababu Truth Table Haipo na ndio inayothibitisha uwepo wa logic kwako, Logic Haipo! Kwa sababu hakuna Logic hauwezi ku prove wala ku disprove chochote. Na kwa sababu hiyo hakuna sababu ya wewe kuuliza swali lolote linalohusu logic mpaka utakapothibitisha kuhusu Truth Table.Mpaka sasa hakuna mtu aliyethibitisha kwamba Mungu muweza yote, mwenye ujuzi wote na uoendo wote yupo.
Kwa sababu hayupo.
Teh teh teh. Haujaweza kuthibitisha kweli wa Uwepo wa Truth Table. Kwa sababu haipo. Na kwa sababu Truth Table Haipo na ndio inayothibitisha uwepo wa logic kwako, Logic Haipo! Kwa sababu hakuna Logic hauwezi ku prove wala ku disprove chochote. Na kwa sababu hiyo hakuna sababu ya wewe kuuliza swali lolote linalohusu logic mpaka utakapothibitisha kuhusu Truth Table.
Case Closed!