'Who created God' is an Illogical Question!

Tajiri ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
 
Wasioamini uwepo wa Mungu,huwa pia hawajiamini,kama wanachoamini ni kweli au sio kweli.
Umeikana Quran leo.

Wewe pia humuamini Mungu maana umeikana dini yako Uislami na kitabu chake cha Quran.
 
Mungu mara kaumba dunia ba vitu vyake kaona vimependeza.

Mara Mungu kachukizwa kaleta gharika.

Mungu hajui anakwenda au anarudi. Mungu anayejua yote ataghairi vipi mipango yake?
 
Umetetea hoja yako vizuri mno... Ila sasa hapo kwenye dunia yenye majanga kuna utata..

Bado watakuja na swali lao la kila siku... Kwanini majanga yawepo wakati ingewezekana kabisa yasiwepo ilihali yanaharibu Maisha ya viumbe wapendwa wa Mungu...
Hawawezi kujibubswali hili.

Kwa sababu jibu la kweli linaonesha hiyo Mungu wao hayupo.

Watu karibu elfu moja wamekufa Haiti huko kwenye Hurricane Matthew.

Muda si mrefu uliopita tetemeko limepiga Kagera na kuua watu.

Kwa nini huyu Mungu mkatili hivi tunaambiwa ana uoendo wote?

Alivyoumba ulimwengu kwa nini hakuzuia majanha kama haya?
 
Ngoja Kiranga aje atoe majibu hapa.... Tokea nimeanza kuangalia post zake sijawahi kuona akipigwa KO...
Kwa nini mtu aseme hakuna morality nje ya Biblia?

Biblia inabariki utumwa.

Kuna sheria za kiutu tu zinakataza utumwa.

Kati ya Biblia na hizi sheria za kiutu tu, wapi kuna morality?
 
Mungu hawezi kufanya chochote nje ya stories.

Kwa sababu hayupo.
Kiranga una uwezo wa kufanya chochote kile kama ukiamua na kuituma akili yako lazima jambo ulitakalo ulifanikishe.
Mungu ni roho ndani yako.
 
Kama nina mapepo huo ni ushahidi zaidi kwamba Mungu hayupo.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hatakiwi kuumba ulimwengu ambao unaruhusu mapepo kuwaingia viumbe wake wengine.

That is a contradiction.
Kiranga huishi kunishangaza, unatambua uwepo wa mapepo na attributes zao zote. Lakini unashindwa kutambua uwepo wa Mungu alioko ndani yako. Poor you.
 
God isn't a physical being...
I'm just reminding you.
God is spirit
 
God is an infinite and eternal
being, without form or place, without issue or
similitude, present to our most secret
thoughts, existing by the necessity of his own
nature, and deriving from himself all moral
and intellectual perfection.
Well said simplemind...
mwambiage kiranga akuelewe.
God is spirit. God isn't a physical being kama akili ya kiranga itakavyo
 
Umeshindwa kujibu hoja ya kuthibitisha ubaya uko vipi.Unaruka ruka,wewe huamini kama Mungu yupo,vipi useme ana kitabu,asiyekuwepo anakuwaje na kitabu.
Ndio nikasema,msioamini Mungu hayupo,mnajidanganya,hamuwezi kujenga hoja,mpaka mtumie hoja za Mungu,Mungu mnayesema hayupo.
Uko nusu nusu,mara useme Mungu hayupo,mara unatafuta hoja kutoka kwa huyo Mungu ambaye hayupo.
Sema huna jibu,usione aibu.
 
We ndiye unayehama mada, unaniuliza habari za upendo wakati hoja yetu ni ukamilifu.
Ili Mungu awe Mkamilifu lazima awe na upendo, nilipotaka unipe ushahidi wa ukamilifu, wewe ulinipa mfano wa tajiri ambaye wote tulikubaliana kuwa hana upendo.Basi hata Mungu hawezi kuwa mkamilifu kama hana upendo.
 
Naona umeamua ku drop neno kamilifu umeamua kutumia tulivu kukwepa same moral implications. Hahahaaaa!
Ni kitu kile kile, ukamilifu wa dunia iliyoumbwa na Mungu ni pale dunia inapokuwa tulivu bila ya kusumbuliwa na majanga asilia.
 
Naona wanambwela tu, eti Mungu alituumba kwa kutumia udongo.

Je wanyama wengine na mimea iliumbwa kwa kutumia material yepi?
Msioamini uwepo wa Mungu,hmna hoja za kujijenga mpaka mtumie maneno ya Mungu,ambaye mwasema hayupo.Vipi ambaye hayupo,utumie hoja zake kujijenga.
 
Ni kitu kile kile, ukamilifu wa dunia iliyoumbwa na Mungu ni pale dunia inapokuwa tulivu bila ya kusumbuliwa na majanga asilia.
Ikiwa wayaita majanga,una ushahidi gani kama hayo majanga yamesababishwa na nini mpaka yakawa asilia.
 
Kukosa logic na kuwepo kwa mikanganyiko kwenye jambo fulani ni dalili ya kwanza kuwa hilo jambo ni la uongo.

Tumia logic ama chochote uwezacho, ila utoe jibu lenye logic.Simba na Kondoo hawana haja ya kudai logic kwa maana ni irrational animals.

Kwa hiyo majanga siyo kitu kibaya? kwa hiyo tetemeko la Kagera na Hurricane ya Haiti yalikuwa mambo ya kusherehekea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…