Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Logic is the study of correct and incorrect reasoning. Logicians want to understand what makes good reasoning good and what makes bad reasoning bad. Understanding this helps us to avoid making mistakes in our own reasoning, and it allows us to evaluate the reasoning of others. It makes us better thinkers.Hivi ni maana ya mantiki (logic) ?
Wewe unayetoa uthibitisho,wakiamini hicho kitabu?Uthibitisho wangu natakabkuutoa katika kitabu cha Quran.
Unakiamini au hukiamini?
Uthibitisho wangu natakabkuutoa katika kitabu cha Quran.
Unakiamini au hukiamini?
Toa uthibitisho kwenye nyenzo unayoiyamini wewe,usitoe kwenye nyenzo usiyoiyamini.Uthibitisho wangu natakabkuutoa katika kitabu cha Quran.
Unakiamini au hukiamini?
Lakini habari zenye contradiction hazipo logical..
Madai ambayo ni logical yanakuwa yanaingia akilini.
Yanakubaliana na kanuni za kimantiki.
Kwa mfano...
--The law of the excluded middle
--Harmonious Major premise, minor premise, and conclusion
--Validity of syllogism
--Soundness of syllogism
Yaani, sio ndoto za mchana.
Kwenye habari ya kwamba kuna mabaya hapa duniani nakubaliana nacho.Wewe unayetoa uthibitisho,wakiamini hicho kitabu?
Sikubaliani na hitimisho lako wala flow ya arguments.Jibu: Mungu ana sifa ya kutokuwa na mwanzo wala mwisho, hivyo hilo swali halina mantiki. Pia tufanye kuwa Mungu ameumbwa, kwa hiyo logic ni kuwa aliyemuumba naye anatakiwa awe ameumbwa, na kuendelea. Hivyo ni wazi kuwa kutakuwa na miungu infinity kitu ambacho ni Illogical. Hivyo namaliza kwa kusema kuwa, Swali la Who Created God is an illogical question.
Nisiyoiamini katika nini?Toa uthibitisho kwenye nyenzo unayoiyamini wewe,usitoe kwenye nyenzo usiyoiyamini.
Ndio nikakuambia,hakuna asiyemuamini Mungu,mnajidanganya tu,iweje Mungu humuamini, kama yupo,lakini kitabu ukitumie.Kwenye habari ya kwamba kuna mabaya hapa duniani nakubaliana nacho.
Wewe unaamini Quran?
Nani kakwambia namuamini Mungu?Ndio nikakuambia,hakuna asiyemuamini Mungu,mnajidanganya tu,iweje Mungu humuamini, kama yupo,lakini kitabu ukitumie.
leta hicho unachodhani kinaweza kuwa mbadala wa Mungu katika balancing and fineturning of dark force for galaxes and bodies to keep on existing.Why do you think there is an intelligent being?
Why a being and nothing else?
Kama ni hivyo basi hujanijibu kuwa endapo nitakuwa siwezi kuthibitisha itakuaje? Maana maelezo yamejikita kwenye contradition tu.Hapana.
Hujanielewa kama kawaida yako.
Nimekwambia unaamini kitu ambacho huwezi kukithibitisha na chenye contradiction.
Hivi ni vitu viwili tofauti.
Sina tatizo sana na mtu anayeamini kitu ambacho hawezi kukithibitisha. Kimsingi vitu vyote ambavyo tunakubali vitatokea katika muda ujao ni vitu tunavyoamini bila kuwa na uwezo wa kuvithibitisha. Muda ndio unatusaidia kuthibitisha. Hivyo mimi ninapoamini jua litachomoza kesho naamini kitu ambacho leo siwezi kukithibitisha. Nitaweza kukithibitisha kesho.
Hilo sina tatizo nalo. Hata mimi kuna vitu ambavyo naamini ambavyo siwezi kuvithibitisha kama hilo la jua kuchomoza kesho.
Lakini hilo halina contradiction. Mtu akisema "naamini jua litachomoza kesho" hakuna contradiction yoyote katika imani hiyo. In fact imani hiyo ina msingi mzuri tu katika rekodi ya jua kuchomoza kila siku bila kushindwa kuchomoza hata siku moja katika maisha yake yote huyu mtu.
Ila mtu anaposema "naamini kuna Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ambaye alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani kutokea, lakini hakuumba ulimwengu huo akaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea" habari hii ina contradiction.
Contradiction ni mambo mawili yanayojipinga.
Kusema "naamini jua litachomoza kesho" hakuna mambo mawili yanayojipinga.
Kusema "naamini kuna Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote aliyekuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani lakini kaumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana" kuna contradiction.
Upande mmoja Mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba dunia ambayo mabaya hayawezekani, upande wa pili Mungu huyu anaamua kuumba dunia ambayo mabaya yanawezekana. Kwa nini? Mungu anajipinga mwenyewe huyu.
Kama ana uwezo wote na upendo wote, kwa nini hajaumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Alitaka kuumba ulimwengu huo lakini akashindwa tu?
Kama alitaka na akashindwa tu, ni kweli ana uwezo wote?
Ama aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani ila hakutaka tu?
Kama aliweza na hakutaka tu, je ni kweli ana upendo wote?
Je ni kweli Mungu huyu yupo au ni hadithi za watu tu?
Unaweza kuthibitisha yupo na kuondoa contradiction hii?
Wewe usiyeiyamini Qur'an,utatumiaje Qur'an ndio nyenzo yako.Nisiyoiamini katika nini?
Wewe unaiamini Quran au huiamini?
Muislamu kukataa kujibu swali hili ni kukataa kwamba anaiamini Quran.
The bible is full of contradictions. Why do you believe it is the word of God?leta hicho unachodhani kinaweza kuwa mbadala wa Mungu katika balancing and fineturning of dark force for galaxes and bodies to keep on existing.
ethiests physicians dyson,kleban na susskind katika kituo cha natural news concluded * arranging cosmos as we think it is arranged would require a miracle.*
na kumalizia *unkonwn agent (beyond time and space) intervened in the evolution of cosmos for the reason of its own*
13/8/2002.
mimi sihitaji mizunguko hilo wao wanatumia trillions of money mimi natumia dakika tatu kusoma mwanzo 1:1 kuwa Mungu aliumba Muda(in the begining) akaumba na space(heavens) akaumba na matter (earth).
vyote hivi vinategemeana na lazima viumbwe kwa pamoja. ukiumba Muda bila space hiyo space utaiweka wapi? ukiumba space bila Muda ni wakati gani utaiweka hiyo space?
Siyo endapo huwezi kuthibitisha.Kama ni hivyo basi hujanijibu kuwa endapo nitakuwa siwezi kuthibitisha itakuaje? Maana maelezo yamejikita kwenye contradition tu.
Kwa "immanent critique".Wewe usiyeiyamini Qur'an,utatumiaje Qur'an ndio nyenzo yako.
Kwa hiyo inawezekana?That statement is always qualified that one cannot prove something does not exist outside of a logical context.
We can prove certain mathematical equations do not have solutions.
Mathematics operates on logic.
What is wrong with contradictions?The bible is full of contradictions. Why do you believe it is the word of God?
Jibu swali,wacha kujigonga gonga,toa uthibitisho wa uwepo wa mabaya.Kwa "immanent critique".
Unajua "immanent critique" ni nini?
Unaikana Quran?