'Who created God' is an Illogical Question!

Na mimi nimekuuliza. Imani yenu itakuwaje sahihi kabla ya kuthibitishwa?

Nikisema nakuja nyumbani kwako, nikiwa na imani kwamba upo nyumbani, nikafika na kukuta haupo nyumbani umeenda shamba, imani yangu kwamba upo nyumbani ilikuwa sahihi?

Kwa nini ufikiri imani yenu itakuwa sahihi hadi Mungu atakapoonekana wakati imani yenu ina contradiction?

UHURU JR usikubali kugeuzwa geuzwa kama chapati wewe!!! .....Rudia tena kusoma comment ya mwanzo ya Kiranga hapo juu then tafakari halafu mjibu!!

Ohh!
Behaviourist njoo huku Kiranga anasema ukishathibitisha huwezi kuamini tena wakati wewe unasema unatakiwa kuamini baada ya kuthibitisha.
 
Iweje yale uyatakayo wewe ndiyo yawe perfection?
We are perfect ila tunazidiana concentration ya kitu.... vile vile interest pia inachangia. On the pitch messi ni hatari sana ila ya darasani mtupu. Si kwamba hana akili but hajali...au msingi mbovu.
 
Ohh!
Behaviourist njoo huku Kiranga anasema ukishathibitisha huwezi kuamini tena wakati wewe unasema unatakiwa kuamini baada ya kuthibitisha.
Kuamini maana yake nini?

Tuanzie hapo kwanza.

Hutakiwi kukubali kitu kwamba ni cha kweli kabla ya kuthibitisha, ingawa unaweza kuamini kitu chenye mantiki kabla ya kukithibitisha kama mimi ninavyoamini jua litachomoza kesho.
 
List ya nini?
Options ambazo unadhani zinaweza kuchukua nafasi ya Intelligent designer or a Casual agent who transcend Space and time(Hap ndipo scientist walipokwamia ukijumlisha hadi ethiests scientists ). Mimi nampa Mungu na Huo ndio Ukweli.
 
Iweje yale uyatakayo wewe ndiyo yawe perfection?
Kwa sababu imperfection zilizopo zina hasara kwa maisha ya watu.

Wewe huoni jinsi ambavyo matetemeko ya nchi na hurricanes zinavyouwa watu na kuharibu vitu vilivyotafutwa kwa gharama kubwa? hizo siyo imperfection za kuumbwa kwa dunia?
 
UHURU JR usikubali kugeuzwa geuzwa kama chapati wewe!!! .....Rudia tena kusoma comment ya mwanzo ya Kiranga hapo juu then tafakari halafu mjibu!!
Huyu jamaa nashindwa kuelewa kwamba ni mjinga haelewi au ni muhuni tu anaelewa halafu anang'ang'ania kujifanya mjinga.
 
Options ambazo unadhani zinaweza kuchukua nafasi ya Intelligent designer or a Casual agent who transcend Space and time(Hap ndipo scientist walipokwamia ukijumlisha hadi ethiests scientists ). Mimi nampa Mungu na Huo ndio Ukweli.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Kwa nini Mungu aniumbe nikiwa limited na time, space and matter?
Wewe hauko limited ya Space and time tu. Kwanza Unakuwa limited na Gravitational force. Ukijitahidi ukatengeneza apolo utaishia kuzurula mwezini, Ukijitahidi kidogo uttapata nafasi ya kwenda kwa members wa milk way galax napo ni kwa kutumia mitambo sio physically maana uko limited kwenye solar System na hata kuani tu huwezi kwenda.
Sasa Mimi ninaongelea space ambayo hata diameter yake ni haina namba ya kibinadamu. Nikisema TRILLIONS OF LIGHTYEARS bado hata galax ya milk way sijaivuka. na kuna billions of galaxies. What to you want beyond space. Enjoy that Which God gave you including your Mind freedom
 
Habari zenu wana JF. Leo nataka niwaletee ukweli ambao wapinga mungu kama Kiranga huwa hawauelewi. Swali hilo ni hili.

Swali: Je, kama Mungu yupo, nani alimuumba Mungu? (Au ametokea wapi?)

Jibu: Mungu ana sifa ya kutokuwa na mwanzo wala mwisho, hivyo hilo swali halina mantiki. Pia tufanye kuwa Mungu ameumbwa, kwa hiyo logic ni kuwa aliyemuumba naye anatakiwa awe ameumbwa, na kuendelea. Hivyo ni wazi kuwa kutakuwa na miungu infinity kitu ambacho ni Illogical. Hivyo namaliza kwa kusema kuwa, Swali la Who Created God is an illogical question.
mkuu,nini kinakufanya useme hana mwisho?
 
Siyo yanadhaniwa kuwa na contradiction.

Yana contradiction ambazo hujaziondoa.
Unazoona Contradictions ni ukomo wa uelewa wetu(Stimulates learning and indepth study of the word of God). Ila katikati ya Ukomo huo ambmao umewekwa ili neno lake lisikukinai uishi ukijifunza hadi unakufa, ZInatosha kukufanya uwe Mtu salama mwenye mahusiano bora na Muumba wako.
 
Wewe hauko limited ya Space and time tu. Kwanza Unakuwa limited na Gravitational force. Ukijitahidi ukatengeneza apolo utaishia kuzurula mwezini, Ukijitahidi kidogo uttapata nafasi ya kwenda kwa members wa milk way galax napo ni kwa kutumia mitambo sio physically maana uko limited kwenye solar System na hata kuani tu huwezi kwenda.
Sasa Mimi ninaongelea space ambayo hata diameter yake ni haina namba ya kibinadamu. Nikisema TRILLIONS OF LIGHTYEARS bado hata galax ya milk way sijaivuka. na kuna billions of galaxies. What to you want beyond space. Enjoy that Which God gave you including your Mind freedom
Wewe unaleta information nyingi ambazo ni useless.Hayo maelezo yako unahisi yamejibu swali langu?
 
UHURU JR usikubali kugeuzwa geuzwa kama chapati wewe!!! .....Rudia tena kusoma comment ya mwanzo ya Kiranga hapo juu then tafakari halafu mjibu!!
Hapo Kiranga alikuwa anazungumzia usahihi wa imani na ni baada ya kuamini jambo,hivyo uthibitisho utahitajika ili kujua usahihi wa imani baada ya kwisha amini hilo jambo.

Ila wewe unasema kabla ya kuamini jambo unatakiwa uthibitishe kwanza.

Hebu muweke sawa kwanza Kiranga.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Unazoona Contradictions ni ukomo wa uelewa wetu(Stimulates learning and indepth study of the word of God). Ila katikati ya Ukomo huo ambmao umewekwa ili neno lake lisikukinai uishi ukijifunza hadi unakufa, ZInatosha kukufanya uwe Mtu salama mwenye mahusiano bora na Muumba wako.
Hiyo habari ni "Deus ex machina".

Wachungaji wakiulizwa maswali magumu kuhusu Mungu wasiyoweza kuyajibu wana jibu rahisi kama lako.

Wanasema "God works in mysterious ways".

Kwa mfano huo naweza kukuambia kwamba kuna pembetatu ambalo pia ni duara katika Euclidean Geometry, wewe huwezi kulijua kwa sababu tu ya ukomo wa uelewa wako.

Utathibitishaje kwamba pembetatu duara hilo halipo?
 
Kwa sababu imperfection zilizopo zina hasara kwa maisha ya watu.

Wewe huoni jinsi ambavyo matetemeko ya nchi na hurricanes zinavyouwa watu na kuharibu vitu vilivyotafutwa kwa gharama kubwa? hizo siyo imperfection za kuumbwa kwa dunia?
Iweje yale uyatakayo wewe ndiyo yawe Perfection? Hivi ndiyo nilivyouliza.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Hapo Kiranga alikuwa anazungumzia usahihi wa imani na ni baada ya kuamini jambo,hivyo uthibitisho utahitajika ili kujua usahihi wa imani baada ya kwisha amini hilo jambo.

Ila wewe unasema kabla ya kuamini jambo unatakiwa uthibitishe kwanza.

Hebu muweke sawa kwanza Kiranga.

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Kiranga ameshajibu swali lako hapa chini mkuu!!........siyo vizuri mimi kujaza server za JF wakati umeshajibiwa!

Back
Top Bottom