'Who created God' is an Illogical Question!

"Sahihi pale hadi pale" maana yake nini?

Unaniambia mimi niweke maneno yangu sawa wakati wewe ulichoandika hakieleweki?
Nilitaka kusema imani yao pia itakuwa sahihi hadi pale mungu atakapo onekana?
 
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 
Mkuu ziko vizuri kabisa.
PIa theory ya evolution haina mahusuano na dating ila inatumia dating kufanya comparisons sometimes.
1: There is no evolution if we disregard the concept of time Ndio maana wenzetu wakudi nyuma kwenye EARTH IN TIME AND SPACE, ni Kama uamue kufanya Hesabu za Logarithm bila FOUR FIGURE. Creation accounts for Thousands of years but evolution is hidden in millions of time kwa vipimo vinavyotiliwa shaka kila kukicha nitakupa assignment moja Unielezee baadae kama mtaalamu wa archeology.

2: Usijiminye sana kwenye hako kablanch kamoja maana Yenyewe kama yenyewe dunia ya wanasayansi inakoswa nguvu ya kusimama peke yake. Maana Huwezi kuzungumzia Orgin of species bila kurudi nyuma na kujua where was that species na how did the mother of those species origineted. Yaani unataka kujua Kuhusu Chungwa huku unakimbia kuzungumzia Mchungwa. Ni rahisi kupotoka na kupotoshwa. Na hii inakuwa hivi kwa sababu hadi Darwin na acient evolutionst wanakufa hivi vinavyozungumziwa ikiwemo field ya Geneology ilikuwa haijulikani wala haipo. Ndio maana Pro darwin na Pro-evolutionsts baada ya kugundua hili Walibidi watafute jinsi ya Uipa back up hii theory na vitu hivi unavyovikwepa.
Ukimfufua darwin kesho atakimbia na Kuchoma moto vyote alivyovizungumzia kama akiwa mkweli. Ili kuweka ionekane ina logic they could not escape embedding their theory in Billions of unproven years.

3:Nampa sana points Darwin kwa kuita kazi yake "Origin of Species" lakini wapinzani ndio wanaosema amezungumzia origin of life na kuanza kumpinga bila kusoma kazi yake.

Kile ambacho darwin hakukijua Huwezi kujenga Hoja na Theory kwa kuangalia PHYSIOLOGICAL MAKE UP OF SPECIES. WHAT YOU LOOK LIKE IS NOT THE RESULT OF EXTERNAL INFLUENCE BUT THE GENEALOGY IN YOU CELL MITOCHONDRIA. Hadi anakufa hakujua hilo. Wewe ulivyo, Kipepeo mweusi au mwekundu au brown kuamini kuwa yuko hivyo kwa kumuona nje ni sayansi ya zamani na imeshaachwa/outdated by your fellow Evolutionists. Kuna Bilogical Evolutionists mmoja baada ya kugundua hilo akasema Tulikuwa tunafuata Vitu ambavyo havipo. Tunampongeza Darwin kwa kufikiri Ila Tunamkataa kwa kutaka kureplace evolution na Creation.

HAYO YALIKUWA MAONI YANGU: Tuendelee
What is the theory of evolution.
Ni paradigm inayotazama historia ya viumbe katika dunia kutoka katika mageuzi yanayofanyika taratibu na kupelekea kutokea kwa aina nyingine ya kiumbe
.

Mabadiliko hayo Yanawezaje Kuzungumziwa Kama SUALA LA MUDA UTALIKWEPA. NI Busara kujadili kiumbe kubadilika bila kujadili kiumbe mwenyewe. Yaani kama Movie unaanzia Part 2. Utasema starring ni Mtoto Mtu kwa sababu umemuona Part 2 kumbe part 01 Alikwa ni Mzazi na alikuwa ila kwa sababu hujamuona unawezaje kumake scientific conclusions on what is seen and not what make that organism look the way it is.
Hii changamoto kidogo mkuu nipe madini
 
Nilitaka kusema imani yao pia itakuwa sahihi hadi pale mungu atakapo onekana?
Imani yao nani?

Mungu kuonekana maana yake nini?

Tushaona kwamba kuonekana kitu haina maana kipo.

Nimetoa mfano wa mirage jangwani.

Ushawahi kusikia habari ya mirage?
 
Kinachoulizwa(kwa maana waulizaji ni wengi,wanaouliza).Ikiwa muulizaji ni mmoja na na ni kitu hakijawahi kuulizwa,wala hakuna anayeamini kuwepo hicho kitu,muulizaji ataonekana uelewa wake mdogo.Kama wewe unayeuliza rangi ya mwimbo wa Taifa.
 
Kwa hiyo si kweli kwamba kila kinachoulizwa kipo.
 
Tofautisha ya kinachoulizwa(waulizaji ni wengi) na anachouliza(muulizaji ni mmoja).
Wengi ni wangapi?

Kama Mungu yupo, halafu watu wote wa dunia wakaamini hayupo, mtu mmoja tu akaamini Mungu yupo, Mungu atakuwepo au hatakuwepo?
 
Wengi ni wangapi?

Kama Mungu yupo, halafu watu wote wa dunia wakaamini hayupo, mtu mmoja tu akaamini Mungu yupo, Mungu atakuwepo au hatakuwepo?
Usitoe mfano ambao haupo,toka dunia ianze,haijawahi na wala haitatokea kuwako mtu mmoja tu ndio anayeamini uwepo wa Mungu..Mifano yako yote unayotoa ni kinyume na uhalisia.
 
Usitoe mfano ambao haupo,toka dunia ianze,haijawahi na wala haitatokea kuwako mtu mmoja tu ndio anayeamini uwepo wa Mungu..Mifano yako yote unayotoa ni kinyume na uhalisia.
The feeble minded are challenged by abstraction.

Mungu asiyethibitishika unayemsema yupo hujajua kwamba yuko kinyume na uhalisia?
 
By logical examination.

Your God is plagued by contradictions that show he cannot exist.
What is purported to be a contradiction is not necessarily a contradiction.
If you think about it,you can see contradiction .
 
What is purported to be a contradiction is not necessarily a contradiction.
If you think about it,you can see contradiction .
You have not proved that.

Why did an omnipotent, omniscient and omni benevolent God create a universe in which evil is possible while he could have created a universe in which evil is not possible?
 
Can you prove God exists?
Why should someone try to prove to you something you are not believing exists? Either way he will try to prove it in a way you are not used to (Religious) or the one you are used to (Historical and Scientific) And Still you won't agree...
 
One should try to prove something because it is unproven.

It should be proven in any way that is logically consistent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…