If u are talking about him (Kiranga)... he was not created but he was born, but u can ask that question kivingine. (Ndio maana haujawahi kukuta swali unaulizwa hivi, umeumbwa lini bali utaulizwa umezaliwa lini. Na jibu lake utaanza kwa kusema i was born ........ and not i was created........Yes, because you exist! God is the Creator so long we see you it proves that the one created you exists
Kwanza kinatengenezwa ndio kikazunduliwa.Gari hutengenezwa kwanza halafu ndio inazunduliwa.If u are talking about him (Kiranga)... he was not created but he was born, but u can ask that question kivingine. (Ndio maana haujawahi kukuta swali unaulizwa hivi, umeumbwa lini bali utaulizwa umezaliwa lini. Na jibu lake utaanza kwa kusema i was born ........ and not i was created........
Kuna mantiki kuuliza mungu kaumbwa na nani?Kwa logical examination.
Aeleze sababu za kuamini uwepo wa mungu au athibitishe kuwa kweli mungu yupo?Kichaa yeyote anaweza kusema hilo.
Unaweza kuthibitisha?
Kama hujui kitu, kutouliza ndiko hakuna mantiki, kuuliza hakuwezi kuwa hakuna mantiki.Kuna mantiki kuuliza mungu kaumbwa na nani?
Athibitishe kuwepo kwa Mungu.Aeleze sababu za kuamini uwepo wa mungu au athibitishe kuwa kweli mungu yupo?
Wewe hata kuandika Kiswahili una matatizo.Wasioamini Mungu,huamini chochote anachokiona yupo aiyekifanya..Lakini anajishangaa yeye mwenyewe,kwa dunia na viumbe kujitengeneza vyenyewe,akiambiwa Mungu ndio muumbaji anakataa,anajuwa kama anajindanya lakini anajifanya hajui kama anajidanganya.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?Kwanza kinatengenezwa ndio kikazunduliwa.Gari hutengenezwa kwanza halafu ndio inazunduliwa.
Kutengenezwa=kuumbwa
Kuzaliwa=kuzinduliwa
Kinachozaliwa kinaumbwa kwanza ndio kikazaliwa.
Hebu toa mfano wa jambo unaloamini halafu thibitisha ili tujue kuthibitisha katika jambo la imani kuna maanisha nini.Athibitishe kuwepo kwa Mungu.
Huko kusema unaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu,ndio uthibitisho tosha wa kuwa yupo.Kisichokuwepo hakiulizwi uwepo wake.Athibitishe kuwepo kwa Mungu.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Niliamini kwamba nilivyopost hiyo post uliyoijibu, itafika kwenye servers salama, itakuwa saved na wewe utaisoma na kuijibu.Hebu toa mfano wa jambo unaloamini halafu thibitisha ili tujue kuthibitisha katika jambo la imani kuna maanisha nini.
Inahitaji imani tena kubwa sana kuwa EVOLUTIONIST(Refer Evolution is not science but Fictions that hides in Science and Billions of years remains as their God Without this no evolution), lakini Kuaminu Uwezo wa Mungu wa UUMBAJI unahitaji Vyote Imani, Knowledge and science. Maana imani chanzo chake ni kusikia unachokisikia ni knowledge then You use science to prove Hilo. Na hii imekuwa proven from cosmology level to Gemone level.Religion stands upon the FAITH, people worship things that they don't understand clearly or at all. But evolution stands upon the knowledge , evolutionists are continuously seeking to understand how changes within the living things are possible and why.
So have you seen the difference between evolution and religion? Now let get back to the topic, we are debating on the topic that ''Is it possible for GOD to create everything yet him/herself has got no creator?''
Kama kisichokuwepo hakiulizwi uwepo wake, mtu akiniuliza nithibitishe Mungu hayupo maana yake Mungu hayupo then.Huko kusema unaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu,ndio uthibitisho tosha wa kuwa yupo.Kisichokuwepo hakiulizwi uwepo wake.
Kukufikirisha uwepo wa Mungu hakuthibitishi uwepo wa Mungu.Nikiwa nasafiri baharini....na kuitazama ilivyo na kuitafakari bahari ni miongoni mwa mambo ambayo yananifikirisha uwepo wa mwenyezi mungu na uwezo wake.....
Hahahahaaa....whenever their so called God challenged about his/her existence, the use evolution as a shield. But if we keep evolution aside what do they have to sayLet's grant you that what you have said is the truth.
Can you prove God, the omnipotent, the omniscient the omni benevolent exists and is the creator of the universe?
Sasa kwa nini tumwamini Mungu badala ya kumwelewa?Inahitaji imani tena kubwa sana kuwa EVOLUTIONIST(Refer Evolution is not science but Fictions that hides in Science and Billions of years remains as their God Without this no evolution), lakini Kuaminu Uwezo wa Mungu wa UUMBAJI unahitaji Vyote Imani, Knowledge and science. Maana imani chanzo chake ni kusikia unachokisikia ni knowledge then You use science to prove Hilo. Na hii imekuwa proven from cosmology level to Gemone level.
Inawezekana
Nimekuomba jambo unaloamini na si uliloamini kwa sababu mie nitajuaje kama kweli uliamini hivyo.Niliamini kwamba nilivyopost hiyo post uliyoijibu, itafika kwenye servers salama, itakuwa saved na wewe utaisoma na kuijibu.
Nimethibitisha imani yangu uliponijibu.
Sasa hivi naandika tena. Naamini utaona maandiko haya.Nimekuomba jambo unaloamini na si uliloamini kwa sababu mie nitajuaje kama kweli uliamini hivyo.
Na hata hivyo mie kuijibu ndiyo kunathibitisha kwamba?
The universe itself prove it.Let's grant you that what you have said is the truth.
Can you prove God, the omnipotent, the omniscient the omni benevolent exists and is the creator of the universe?