'Who created God' is an Illogical Question!

How do you know that that is not malarkey?
 
I can not dismiss something because of lack of vivid proof... Because even scientist would stop searching for black holes if they were that dismisseve
That's true.

On the other hand, you should not say that something which has a clear and unresolved contradiction exists.
 
That's true.

On the other hand, you should not say that something which has a clear and unresolved contradiction exists.
Contradiction also does not mean something doesn't exist...in search for light (the truth) contradiction is inevitable and you must finish that journey...its easy to remove God from the equation because of the path you have taken but then what..in end you will came across another problem proof of your own consciousness, how can you prove its you and not some else
 
Hehe..ok umeeleza vizuri.

Imewezekana kutoa sababu za kuamini kuchomoza kwa jua ila imeshindikana kuthibitisha hicho unachokiamini.

Nia yangu ni kujua tofauti ya sababu ya kuamini na kuthibitisha unachoamini,sasa unaonaje ukatoa mfano mwengine ambao itawezekana kuthibitisha?
 
Naamini kwamba utasoma hii post. Uthibitisho wake utakuja utakapoijibu kwa kuinukuu.
 
Naamini kwamba utasoma hii post. Uthibitisho wake utakuja utakapoijibu kwa kuinukuu.
Sasa mimi kujibu kwa kunukuu post yako inathibitisha nini katika hiyo imani na endapo sitojibu kwa kunukuu italeta maana gani katika imani yako?

Halafu imani yako hii inatofauti gani na imani yako ya kuchomoza jua?
 
Na ubishi wa mungu yupo au hayupo nao unamalizwa vp?
 
Mungu yupo

 
You have not proved God exists.
 
Basi hoja yako ya kusema kuwa kuamini mungu kunaleta ustaarabu haina nguvu.
Hivi unanielewa lakin??? Binadamu akimfanyia jambo baya binadamu mwenzake ni kwamba anapata dhambi...ila kuku akifanya mabaya kwa kuku mwenzake huu utaratibu haiko applied kwao wala kwa viumbe vingine??? Je ni kwamba viumbe hivyo haviumii?? Havina nervous system??? Je kuna consistency...?? Mkiulizwa mnadai mnatumia akili za kufikiria sasa mimi na wewe tukiwa hatufikiri tungekuwa na tofauti gani na mtoto mchanga. Kuna vitu viwili kwenye maisha ya binadamu ni very powerful navyo ni arithmetic nd logic... mtu anaepossess vitu hivyo kwa kiwango cha juu zaidi.... he/she must be genius. it whether u tell a lie or truth.... any statement u made it either ni kweli au si kweli (this is what we call logic). Whatever u compute either kwa kukuambia nimezaliwa mwaka gani then ukaderive my age au nimekukopa kiasi cha sh 100k nikarejesha 80k...ili uweze kujua kilichosalia basi hapo una apply kitu kinaitwa mahesabu(arithmetic). Do u see how strong those two attributes are???
Hapo nakuachiwa swali najua nimeshakuuliza mengi hapo juu, mfano mtu amekupa statement ambayo kwa kutumia reasoning yako umeshindwa kujua kama ni kweli au si kweli nd u have to make decision. mfano unamwambia mtu ambae hajawahi kuiona bahari kwamba asilimia 75 ya dunia yetu ni maji, je akuamini kwa kumwambia tu au afanyeje ili ajue umesema ukweli?? Maendeleo ya kiteknolojia unayoyaona sasa yametokana na tafiti na zilikuwa na base ambayo ni vitabu vya dini.... mfano wale waliosema dunia iko stationary at the center na vingine vyote including jua vinaizunguka. Kama watu wangetuliza pumb* zao chini alafu wakawa na hoja kama za kwako ukweli ungeonekana ni huo kwa vile ukiwa hapa duniani hivyo ndivyo inavyoonekana....
 
If we can't comprehend and we cnt get some answers.... nyinyi haya majibu imeyapata wapi na mmecomprehend vipi??? Things that u don't better u leave them aside.... and they are real so many things we don't know and yet we never care about them...kila binadamu anachoice ya kuchagua aishi vipi... ndio maana mwingine ni mama lishe mwingine daktari, mwingine hana shughuli ya kufanya... mwingine anajua mahesabu, mwingine lugha, etc. Mbona kwenye suala hili mnataka tuwe kitu kimoja??? Binadamu vile ana choice ya kuamini au kutokuamni.... unajua ukiona neno (default) huwa unapata picha gani??? Mfano by default binadamu without any aid ya kitu kingine kama ndege,parachute etc.. hawezi kupaa angani... (so ana choice ya kupaa kama mwewe). So Mungu anawekaje choices mbili kwa kiumbe chake (either amuamin au asimuamini) alafu zote zinawezekana, moja ni njia sahii na nyingine si njia sahihi... na hii atakuhukumu nayo... moto wa milele. Ndio hivi vigumu kucomprehend kweli??? Hivi angeshindwa kutufanyia kwamba kuamini yupo ni inevitable ingeshindikana??? Kwanin ameamua kutujaribu wakati ni alpha na omega... ni kwanin atuache tutende maovu na anajua kila nafsi anayoitengeneza itatenda nini hata kabla haijazaliwa??? Why asitupeleke kwenye sehemu ya mwisho kabla ya kuyaishi maisha hayo??? Kutokana na nguvu aliyonayo anajua hatima ya kila kitu kilichoishi, kinachoishi na kitakachoishi pamoja na visivyoishi... na hata hivyo ovu linapotendeka ana uwezo wa kulitolea hukumu on spot... if he could have done that... dunia hii ingekuwa salama na amani tele na ingekuwa ina high security... Marekani asingeonea mataifa madogo na wala, wanaojitoa muhanga wasingefanya hivyo kwani isingewezekana.... kama nina uwezo wa kufikir nin kosa langu kuhoji na maswali hayo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…