Mungu ni roho. You cannot see him by your eyes, unless he decides to do so like for the case of Jesus. Mbona wapo watu wamewahi muona yesu in visions, dreams etc.
That is a non sequitur.Wewe unaweza kutengeneza nini? Njiti ya kiberiti?
Nah i suggest upitie tena
There's a quote inasema "Repetition increases impression"
Soma the points za watu ambao unakubaliana nao kuhusu the God in the Bible
And ntakupa link ya upande wa pili.
Ukija tutadiscuss your issue na ile ya Kiranga
God is holy.. Shetani alikuwa malaika mzuri tu tena kuzidi wote. Pride na uasi kama unavyofanya wewe ndo kulikomfanya awe shetan.. You cannot be the same as God.Kweli kabisa. Halafu zikishatajwa neema zake, zitajeni maovu yake mana kama angemteketeza shetani in the first place basi amani ingekuwamo toka mwanzo wa adam mpaka sasa .
You can post whatever you want.The Book is accessible to everyone,
anyone can be a scholar, even I
anybody can study it, i repeat,
Anybody
But to make things easier i will put up those links so that you may know what has been studied on those issues you raised
Are you in or out?
You want to stay with you side of the argument that you posted or you wanna see the other side as well before you make a conclusion, like an open minded person would?
Kwa nini unataka kuniamini?Spirit, soul and body.. Mkuu Nisaidie kujua hii misamiati hapo juu...ili nikuelewe.. Na ikiwezekana nikuamini...
Ushahidi wa kimantiki kwamba Mungu -in the above clearly stated context- hayupo ni contradiction.Nimekuomba uniwekee huo unaouita wewe kuwa ni 'ushahidi wa kimantiki'. Vipi, hukuona au umesahau tu?
Halafu, hili si ni suala la imani?
Kwamba mtu unaamini tu kuwa mungu yupo.
Toka lini mambo ya imani yakahitaji ushahidi? Imani na ushahidi wapi na wapi?
Ndiyo, mtu unaweza kuamini kitu au jambo fulani bila ya kuwa na ushahidi na hicho kitu au hilo jambo likawepo kweli au likawa halipo.
Nadhani hata kwenye suala la mungu napo ni vivyo hivyo.
Kama Yesu ndiye aliyekuwa Mungu, Je alikuwa akimzungumzia nani aliposema ''Baba yangu''?....Na kwa nini Mungu alisali?Mbona alishakuja duniani...yesu kristo..
Ushahidi wa kimantiki kwamba Mungu -in the above clearly stated context- hayupo ni contradiction.
Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kuwa kaumba ulimwengu unaoruhusu mabaya kutokea kama huu wetu.
That is like having a triangle that is also a circle in Euclidean geometry.
A self contradicting impossibility.
God is holy.. Shetani alikuwa malaika mzuri tu tena kuzidi wote. Pride na uasi kama unavyofanya wewe ndo kulikomfanya awe shetan.. You cannot be the same as God.
You seemingly don't have a clue of what I said, do you?First of all can you answer my question?
Why would God's book need scholars?
In fact, why would God need a book anyway?
Couldn't he insert some memory in our heads from birth, each in their own language, and save us from all the translation and verification?
Why didn't he do that?
Is it because God does not exist and these books are manmade?
Mungu hawezi kuji contradict mwenyewe.Sasa anayeji contradict ni nani?
Mungu mwenyewe au watu wanaomzungumzia mungu?
Mungu hawezi kuji contradict mwenyewe.
Kwa sababu hayupo.
Hiyo idea ya kuwapo kwa Mungu inaji contradict yenyewe.
You seemingly don't have a clue of what I said, do you?First of all can you answer my question?
Why would God's book need scholars?
In fact, why would God need a book anyway?
Couldn't he insert some memory in our heads from birth, each in their own language, and save us from all the translation and verification?
Why didn't he do that?
Is it because God does not exist and these books are manmade?
I need to know u speak out of spirit.. Soul or body..Kwa nini unataka kuniamini?
Spirit=The non-physical part of a person which is a seat of emotions and character.This regarded as surviving after the death of the body, often manifested as a ghost, a supernatural being.
Soul=The spiritual or immaterial part of a human regarded as immortal.
Body=The physical structure, including the bones, flesh, and organs of a person or an animal(ref. Oxford dictionary-tenth Edition)
The source will be punished severely multiple times over human beingsJapokuwa shetani alikuwa mzuri Mungu hakujua ambacho kingetokea?
Then why aruhusu all of this sufferings na wanadamu kuchomwa moto while we are not the source of evils? Why the source ndio iwe punished?
Nadhan hatutaelewana . Kwanza kabisa mimi sijifananishi na Mungu halafu kwa uelewa wako Hivi unadhani Mungu hakujua kwamba siku mojq shetani atakuja kubadilika toka mwanzo? Yani, kipindi ile anamsifu (shetan anasifiwa) , Mungu hakujua atabadilika? Kama hakujua "Sawa" ila suala la mjuzi wa yote (omniscient) na alpha & omega (omnipresent) tutakataa kwamba Mungu ana qualities hizi.God is holy.. Shetani alikuwa malaika mzuri tu tena kuzidi wote. Pride na uasi kama unavyofanya wewe ndo kulikomfanya awe shetan.. You cannot be the same as God.
I totally disagree with you, I think there are good and logical reasons for someone to be believe in God.I have said time and time again that a God who is omnipotent, omniscient and omni benevolent could not have existed nd created this universe which permits evil.
The logic of that proposition has more holes than Swiss cheese.
The truth table of that story looks the same as that of a bad novel that employs a "deus ex machina" device for the resolution.
God does not exist, if he existed, there would be no doubt that he exists.
Nadhan hatutaelewana . Kwanza kabisa mimi sijifananishi na Mungu halafu kwa uelewa wako Hivi unadhani Mungu hakujua kwamba siku mojq shetani atakuja kubadilika toka mwanzo? Yani, kipindi ile anamsifu (shetan anasifiwa) , Mungu hakujua atabadilika? Kama hakujua "Sawa" ila suala la mjuzi wa yote (omniscient) na alpha & omega (omnipresent) tutakataa kwamba Mungu ana qualities hizi.
Na kama alijua mbona hakufanya kitu kuokoa jahazi (kumuokoa shetan asibadilike na kuwa mwovu)?
Huoni kwamba angezuia hili (shetan asiasi) , basi tungeongelea story nyingine ya kusifu Umungu wake?
Hata ingekuwa hivyo bado tatizo lingekuwa palepale kuna ambao wangetaka kuamini na ambao wasingetaka kuamini kama alivyo sasa.Ingekuwa ni dalili ya wazi kiasi kwamba ubishi kwamba Mungu hayupo ungekuwa more illogical kuliko ubishi kwamba Farao aliyejenga mapiramidi na kuandika habari zake humo hakuwahi kuwepo.
Kwa nini Mungu hakuweka ushahidi kama huo?
Kwa nini hakufanya kila siku tuwe tinaona aya ya biblia aliyoichagua itokee angani kwa nyota kujipanga?
Angefanya hivyo nisingebisha biblia ni kitabu cha Mungu. Lakini kwa sasa naona kimeandikwa na watu tu.