Ndugu yangu nadhani umekosea kidogo hapo juu.Mungu sio kiumbe? He is a Being that why akatuumba kwa mfano wake(Nukuu ya kidini).
Kama Assumption yangu haina uzito wowote,
basi na assumption yako ya dunia imeumbwa na mungu haina uzito wowote
Evolution si kitu cha siku moja ujue, lakini ni kitu endelevu. Ukiweza kuishi mpaka miaka elfu 50 ijayo ni ngumu kukuta watu wa miaka hiyo wana characters kama zetu kwenye kila kitu.If i may ask,
is evolution a continuous process?
Mbona haiendelei, what happened?
Why don't we see other species continually changing and adapting to different life forms?
Kwani mkuu bible nayo si ni mawazo ya watu binafsi waliishi zamani ila wewe ndo una waamini!!?Mimi nna reference, my reference is the bible
Na it is reference inayotumika na millions tunapomuongelea Mungu
Wewe assumption yako umeitoa kichwani mwako, i.e mawazo yako binafsi ambayo wewe peke yako ndiyo unayabeba, wewe peke yako ndiyo unayafahamu na wewe peke yako ndiyo unayaacknowledge kuwa ni sahihi
God's book should have no contradiction at all.Kiranga
I found answer for the first contradiction
There's a principle in the bible that any contradiction that is within the scripture is cleared out using the bible itself
Scripture is used to provide explain scriptures. That is why we rely on more than one sentence because we read the bible as a whole to get a clear picture and these tiny bits come together and bring forth a collective message
I am way too tired to type long passages now
What i will do
I will look up these explanations and if i believe/think the same i will post them Alright?
Unatumiaje reference iliyojaa utata namna hiyo?Mimi nna reference, my reference is the bible
Na it is reference inayotumika na millions tunapomuongelea Mungu
Wewe assumption yako umeitoa kichwani mwako, i.e mawazo yako binafsi ambayo wewe peke yako ndiyo unayabeba, wewe peke yako ndiyo unayafahamu na wewe peke yako ndiyo unayaacknowledge kuwa ni sahihi kulingana na utashi wako
You see my point there?
Evolution si kitu cha siku moja ujue, lakini ni kitu endelevu. Ukiweza kuishi mpaka miaka elfu 50 ijayo ni ngumu kukuta watu wa miaka hiyo wana characters kama zetu kwenye kila kitu.
Dunia ina miaka takriban bilion 4 na nusu, hakuna binadamu ambaye aliishi akajikuta moja kwa majo yuko tofaut na wengine, mfano homo habils aliish miaka takriban milion 3 iliyo pita, kuna homo nienderthal aliishi miaka elfu 40 iliyo pita, kwa hiyo ili kutokea evolutuon huchukua makumi elfu na mamilion ya miaka, mabadiliko huwa ni madogo madogo mno kwa viumbe hao kujiona
Evolution ipo kwa viumbe wengi tuu, ndio maana simba na chui na dubu wote evolution yao inatokea kwenye jamii ya paka.
Yaan ukiisoma evolution bila kuweka bias inaeleweka mkuu
Basically hizo ni sheria zako on how Mungu alitakiwa aumbe ulimwengu
Mimi naona mapepo yana faida yake
Just as how adversities are important for something to grow
Hizo ni assumptions zako mkuuKwani mkuu bible nayo si ni mawazo ya watu binafsi waliishi zamani ila wewe ndo una waamini!!?
Si walikaa binadamu kama wewe wakapanga iwepo bible, iwe ina vitabu kadhaa, isomweje!!
Kiranga naona umerudiKwa nini sheria ziwe hizo wakati zingeweza kuwa nzuri zaidi?
Kwa hiyo Mungu kashindwa kuumba ulimwengu ambao hauwezi kuwa na mabaya?
Sijui huo utata unaouzungumzia wewe uko wapi labda?Unatumiaje reference iliyojaa utata namna hiyo?
I have said time and time again that a God who is omnipotent, omniscient and omni benevolent could not have existed nd created this universe which permits evil.I would like to know your position, do you hold that God does not exist?is that your position?
I wanna have a constructive exchange on this timeless question which haunted human minds since the time of antiquity.
God's book should have no contradiction at all.
The fact that you even have a principle to resolve biblical contradictions acknowledge contradictions in the Bible.
This shows there are contradictions in the Bible.
This shows the Bible is not God's book.
Because God does not exist.
If God exists and the Bible is his book, why did God not prevent these contradictions to be in the Bible in the first place?
Isn't the Bible supposed to be his holy book?
Was God sleeping while these contradictions stacked up in the Bible?
Kwa nini sheria ziwe hizo wakati zingeweza kuwa nzuri zaidi?
Kwa hiyo Mungu kashindwa kuumba ulimwengu ambao hauwezi kuwa na mabaya?
Yeah evolution is a theory ndiyo maana inaeleweka, kwa sababu a theory is inajaribu kuelezea phenomnon fulani, lakini it's not a fact(cheki comments zangu huko juu why)
Na analysts wameona kuwa theory hiyo pamoja na kuwa na Strengths zake, lakini ina weaknesses zake za kutosha
Na swali jingine, evolution is a process si ndiyo, inatokea taratibu, ndani ya hii miaka elfu mbili tungetegemea tuone badiliko hata kidogo katika form ya binadamu, just because inachukua muda mrefu hatutegemei binadamu akae hivyo hivyo kwa miaka 50,000 halafu ghafla abadilike, sijui kama unanipata
Ingekuwa ni dalili ya wazi kiasi kwamba ubishi kwamba Mungu hayupo ungekuwa more illogical kuliko ubishi kwamba Farao aliyejenga mapiramidi na kuandika habari zake humo hakuwahi kuwepo.Nimekuuliza kama ingeandikwa mungu yupo katika nyota hiyo ndiyo ingekuwa ni dalili tu ya kufanya watu waamini mungu?
Sheria nzuri based on what?
Definition ya sheria nzuri ipi?
Is it ile ambayo inakupendeza wewe machoni mwako?
But God is not Kiranga, he makes his own rules,
He is sovereign
Wewe unaona ulimwengu kuwa na mabaya is a big deal sana eh?
Why is that?
Vingi nilivo viona umeandika nimeona hujaijua evolution vzuri.
Mkuu ni Scientific theory, siyo theory tuu, na imekuwa tested na ina proof, hii haijaribu tuu bali ina elezea. Weakness zake zinaendelea kuwa proved na watu wanazifanyia kazi.
Sasa miaka 2000 katika evolution ni miaka michache, too few to notice the changes, ni vizazi 40 tuu. Lakini proof ipo kuwa ubongo wa watu wa miaka 4000 iliyo pita ulikuwa mkubwa kidogo kuliko wa sasa, kwa hiyo kwa kuwa Evolution imeprove kuwa sisi na watu wa miaka elfu 40 iliyo pita hatukuwa sawa. Haiwezekani sisi na watu wa miaka elfu 40 ijayo tukawa tuko sawa tuu. Pia kwa kuwa vitu kama mazingira vina change life style zina change na life span zina change binadam wataendelea kuwa tofaut kwa ajili ya kukabiliana na changamoto hizo
Vingi nilivo viona umeandika nimeona hujaijua evolution vzuri.
Mkuu ni Scientific theory, siyo theory tuu, na imekuwa tested na ina proof, hii haijaribu tuu bali ina elezea. Weakness zake zinaendelea kuwa proved na watu wanazifanyia kazi.
Sasa miaka 2000 katika evolution ni miaka michache, too few to notice the changes, ni vizazi 40 tuu. Lakini proof ipo kuwa ubongo wa watu wa miaka 4000 iliyo pita ulikuwa mkubwa kidogo kuliko wa sasa, kwa hiyo kwa kuwa Evolution imeprove kuwa sisi na watu wa miaka elfu 40 iliyo pita hatukuwa sawa. Haiwezekani sisi na watu wa miaka elfu 40 ijayo tukawa tuko sawa tuu. Pia kwa kuwa vitu kama mazingira vina change life style zina change na life span zina change binadam wataendelea kuwa tofaut kwa ajili ya kukabiliana na changamoto hizo
Mi nnacho jua mkuu ni kuwa biblia wali ipanga watu wa Roman Catholic na ndio walio amua itumikeje na iwe ina vitabu 72, halafu hata kina Nastrodomus, Baba Vanga, Rosseau na Jeonrch Heine walitabiri vitu vitakuja kutokea na vina tokea, hata babu yangu aliwah sema vitu vita tokea na vikatokea so hiyo bado haifanyi bible kuwa special mkuuHizo ni assumptions zako mkuu
Soma Bible history,
Walioandika hawakukaa pamoja na kuanza kuandika biblia.
Waandishi wa vitabu vya biblia wapo wengi zaidi ya 40
Wengine kama Musa waliandika zamani sana thousands of years B.C, wengine waliandika decades A.D
Lakini the amazing thing ni kwamba they agree and are coherent.
Prophecy iliyotolewa na nabii wa Mungu 400 B.C inakuja kutimia 40 A.D
Na kuna baadhi ya vitu vinatimia sasa, vilikuwa revealed kwa kupitia manabii wa Mungu zamani
Sheria nzuri inatakiwa kuwa na logical consistency.
Mungu wako ana contradictions za wazi.
Kwa nini Mungu wako kaumba ulimwengu unaoruhusu umasikini, magonjwa, vimbunga etc wakati huo huo tunaambiwa ana uwezo wote ujuzi wote na upendo wote?
That is logically inconsistent, it shows that there is no God. This God idea is just an idea.