When I wear sunglasses this is what I mean...

When I wear sunglasses this is what I mean...

To me nikivaa sun glasses namaanisha hivi
  • I need privacy
  • I do not want to see you
  • If its greeting, hi is enough no shaking hands
  • Am busy
  • and so on.......
To you when you were sun glasses apart from protecting your eyes with ultra violent what do you mean?

Karibu kuchangia je huwa unapata usumbufu ambao hukuutarajia?

Duh! hizi statement za kwenye red zinawezafanya nyingine zote zikawa invalid... rekebisha basi kwanza. afu hiyo blue naamini "from" ndo inafit hapo...

Haya turudi kwenye mada, we ukivaa hivo ndo unamaanisha yote uliyoandika hapo, sasa mimi kama mimi ntajuaje? Si wengi wanaovaa glasses hua wanamaana hizo, ulifanya sawa kama ulivofanya kwa huyo jamaa kw akumwambia unahitaji privacy, ila kwa mtu anayekuapproach ukiwa umevaa glass si kuboreka ati kisa hakupi privacy unayohitaji, atajuaje? vaa bango bac limeandikwa "when i wear glasses that means I need privacy"
 
hahahahahahahhaaaaaa you people!!! uliniona nini this week end??!!!! mmmh hiyo ni tabia yangu sana mmmhhhh!!!
Na hapo huwa nataka mtu akiniona asianze kuniomba lifti au kunisimamisha bila sababu ya msingi. Sababu vioo vya gari langu si tinted so nikipiga tinted nakuwa najiamini sana nikiwa barabarani.
Ila daah ulivoniuliza moyo ukastuka paah!!
Kumbe ndiyo zenu...
Sisi wanaume tuna moyo wa hurumaaaax2 Tukiwa na motokaaa kinadada twawabebaaa.....
Source: Daudi Kabaka
 
mmmhh where else? au ndo electronic cash? kwa bongo inasumbua sana hasa ukiwa unataka kufanya matumizi. Maana electronic cash unafika supermarket au hotel pos machine mbovu au offline wakati ukiwa na dolari zako unalipia na kupata huduma fasta.
Am curious to know where else is used more than wallet nimshauri beibe wangu nae asijekuwa kaachwa nyuma, pls elaborate.
Umeliona jibu langu mamito? Muone miss neddy atakwambia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom