When I wear sunglasses this is what I mean...

When I wear sunglasses this is what I mean...

Si sinziagi!! lol. Never ever!!

Hiyo ya msibani ni kuziba mimacho iliyovimba kwa kulia.

Hiyo ya stealing glances at good looking men hujaipenda? Yummy Yummy.

Hongera kwa kutokuwa na ugonjwa wa kusinzia, napenda sana hiyo ya kumuangalia mtu kwa kuibia ila ukiwa ndani ya glasses wala hajui kama unamtizama au la. Maana cute man akijua unamtazama sana basi anajipandisha chati na kuanza kukufanyia mikogo, dawa kumuwekea sun glasses kisha unamfaidi kwa raha zako utakavyo na unaishia kucheka tuu
 
stop lying and confess...ull b one of the best..
1393947_467778719999114_399840927_n.jpg
ha ha haha ha ha ha aya bana
 
Hongera kwa kutokuwa na ugonjwa wa kusinzia, napenda sana hiyo ya kumuangalia mtu kwa kuibia ila ukiwa ndani ya glasses wala hajui kama unamtizama au la. Maana cute man akijua unamtazama sana basi anajipandisha chati na kuanza kukufanyia mikogo, dawa kumuwekea sun glasses kisha unamfaidi kwa raha zako utakavyo na unaishia kucheka tuu

That big body, the damage those arms can do...... Mi napendaga kuangalia hapa kiunoni. Oh mie Karucee.

Eh!!

Hii hali ya hewa isinifanyie nichakachue sredi bureeeee.
 
That big body, the damage those arms can do...... Mi napendaga kuangalia hapa kiunoni. Oh mie Karucee.

Eh!!

Hii hali ya hewa isinifanyie nichakachue sredi bureeeee.

Hhahahahaaa I can't you!!!! heheheheheeeeeee
Kiunoni kuna nini? maungo au mauno??

Mie nakodoleaga kifua, mikono kama anaongea huwa nasikiliza sauti na kuangalia koo lake, I love that then huwa nazama in deep thoughs...........
 
a star is the one who fights to be known, then wears black glasses so as not to be recognized...

are you a star?

nop am just me, loving myself, sometimes don't need to be recognized even by shostees
Sometimes nakuwaga mtu wa mstari wa mbele sasa kuna mda unaweka glasses kuondoa pin point especialy in public areas.
 
Asante best kunisaidia kusema, pokea vyupa viwili vya maji ya gold aina yoyote ila unayopendelea, kama hutumii hayo basi hata maji ya machungwa karibu.
Mchana mwema.
Wewe mtoto una hatari maana hapa mate yameruka kama nimeona embe bichi. Ahsante kwa ofa hata kama ni kwa bluetooth.
 
When I am hungover

hahahahaaaa kuna watu wakiwa na hangover huwa wanarembua macho sasa nakuelewa ukivaa sun glasses kuficha huo urembuo na wengine macho yanakuwa mekunduu hivo wakivaa wanaondoa soo
 
i wear glasses to hide my small-chineselike-eyes! I hate it when pips tell me i got small eyes!!
 
nop am just me, loving myself, sometimes don't need to be recognized even by shostees
Sometimes nakuwaga mtu wa mstari wa mbele sasa kuna mda unaweka glasses kuondoa pin point especialy in public areas.

i thought its just for eyes protection from sun rays?

kumbe hutaki tukujuwe vizuri eenh!
 
Hivi dunia ya leo bado kuna watu wanaweka hela kwenye wallet!

mmmhh where else? au ndo electronic cash? kwa bongo inasumbua sana hasa ukiwa unataka kufanya matumizi. Maana electronic cash unafika supermarket au hotel pos machine mbovu au offline wakati ukiwa na dolari zako unalipia na kupata huduma fasta.
Am curious to know where else is used more than wallet nimshauri beibe wangu nae asijekuwa kaachwa nyuma, pls elaborate.
 
i thought its just for eyes protection from sun rays?

kumbe hutaki tukujuwe vizuri eenh!

I said apart from protecting eyes from sun rays what else, to me that is one of the reasons, and all that I mentioned above
 
hahahahaaaa kuna watu wakiwa na hangover huwa wanarembua macho sasa nakuelewa ukivaa sun glasses kuficha huo urembuo na wengine macho yanakuwa mekunduu hivo wakivaa wanaondoa soo

Mimi macho yangu yanakuaga madogo halafu huwa nakosa nguvu ya kupaka make up kwa hiyo sunglasses zinanisaidiaga nikiamka na mipombe yangu
 
Back
Top Bottom