Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
Ana maana sijanyoa nywele chini ya mkono. hahahaaaaaaaaa
hahaa nilikuwa sijachunguza...inabidi uzinyoe fasta kwa kweli.....
Ana maana sijanyoa nywele chini ya mkono. hahahaaaaaaaaa
Something to begin a week with.
Oh yeah.
Aren't you tired as well?
Hhhmm! Am not and cant recall getting tired on that (on or after)... Such a refreshing ting.. usually get pushed aside..Hahahaa!! This dude is a bit physical..cant you see from the sun glasses? OOhhh my!!
We leave the tiredness to ''The lazy a..ss dudes''
Body Language matters.
Siku zote zaidi ya 75% ya mtu akisemacho kipo kwenye lugha yake ya mwili. Bahati mbaya haifundishwi shuleni.
Ukiiwezea, Lugha ya mwili haidanganyi hata chembe.
Afu wewe?
Comingiiiiiiiiiiiiiii.......if you hear a very hard knock, just know its Tz!!
Thank you!!!
badala kuwaambia watu wakupe dili za hela unabaki kuwauliza utumbo usiokuwa na maana.
shame on you. think big#
My dear mmmhh yaani umeongea tungo..., kama nimekuelewa halafu kama sijakuelewa... hebu elezea tena basi nikupate vizuri pls
Duh! hizi statement za kwenye red zinawezafanya nyingine zote zikawa invalid... rekebisha basi kwanza. afu hiyo blue naamini "from" ndo inafit hapo...
Haya turudi kwenye mada, we ukivaa hivo ndo unamaanisha yote uliyoandika hapo, sasa mimi kama mimi ntajuaje? Si wengi wanaovaa glasses hua wanamaana hizo, ulifanya sawa kama ulivofanya kwa huyo jamaa kw akumwambia unahitaji privacy, ila kwa mtu anayekuapproach ukiwa umevaa glass si kuboreka ati kisa hakupi privacy unayohitaji, atajuaje? vaa bango bac limeandikwa "when i wear glasses that means I need privacy"
A pack of condoms, Rizzla, some weed!!
Wewe ndiye uliniambia unapenda kuziona, kama huzipendi basi nakusubiri uzinyoe mwenyewe, pia na hizi za huku nazo zinachoma choma. Wahi kurudi mapema Malkia wangu, mimi nipo njiani...hahaa nilikuwa sijachunguza...inabidi uzinyoe fasta kwa kweli.....
Mkunde Original mi naamini ukiwa dereva unahitaji kuwa na visibility nzuri tu..sasa ile makitu si inapunguza uwezo wako wa kuona vizuri bara barani na pembeni? Kumbe ni kuboost confidence lol.....sasa why akina dada tu...umenotice sio wanaume wengi wanaendesha wameyavaa hayo, ukiacha masharobaro
N.B. Hilo haliondoa uwezekano wa kwamba nilikuona
If u have manners and a little intelligence, and If u really need privacy (and not the show off privacy) the last place u would like to be is in public.
Watu huenda kwenye sehemu zenye mkusanyiko ili wajamiiane(socialize), talk, stories, meet new people and so on.
Sasa wewe bibie kuna wenzio hukaa kama wewe wana sononeko miyoni wanahitaji watu kama huyo kaka na huyo dada wawasemeshe walau siku iende wee waenda jianika hadharani ukitaka "privacy"? Really?
Mimi na huyo hatuonani.Shida ingine huwa naipata hasa mchana ni zile shades za kuzuia jua kwa mbele somehow huwa hazinipi shades ya kutosha hivo miwani huwa inanipa comfo za mwanga na visibility zaidi.
Hahahaaa hapana itakuwa ulimuona Karucee na si mimi looh heheheheee
Eti naskia hilo la downstairs haifikagi mara ya tatu zoezi linaahirishwa watu wanaangalia burning issues at hand kwanza!Wewe ndiye uliniambia unapenda kuziona, kama huzipendi basi nakusubiri uzinyoe mwenyewe, pia na hizi za huku nazo zinachoma choma. Wahi kurudi mapema Malkia wangu, mimi nipo njiani...
Mimi na huyo hatuonani.
Conflict of interest.
Mimi [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=TeamRafiki]#TeamRafiki [/URL] , yeye #TeamBazazi .
cc Tized, Ntuzu, Mndengereko, Mr Rocky.