When I wear sunglasses this is what I mean...

When I wear sunglasses this is what I mean...

mmmhh where else? au ndo electronic cash? kwa bongo inasumbua sana hasa ukiwa unataka kufanya matumizi. Maana electronic cash unafika supermarket au hotel pos machine mbovu au offline wakati ukiwa na dolari zako unalipia na kupata huduma fasta.
Am curious to know where else is used more than wallet nimshauri beibe wangu nae asijekuwa kaachwa nyuma, pls elaborate.
A pack of condoms, Rizzla, some weed!!
 
Mimi macho yangu yanakuaga madogo halafu huwa nakosa nguvu ya kupaka make up kwa hiyo sunglasses zinanisaidiaga nikiamka na mipombe yangu

poleee, hamna kitu nachukia kama hangover, wish nivumbue pombe ambayo haina hangover kabisa na sio hangover kidogo yaani iwe 0% hangover then I will be a good drinker.
 
hahahahaha grafani una dharau weye huwa unazishika mkononi au
Kama gari ina mafuta ya kutosha. nikiwa na laki moja mfukoni inatosha kabisa, nyingine labda ubomoe kwenye Sim-banking, M-pesa...

Nakumbuka katika pitapita zangu enzi za ujana nilikuwa na kawaida ya kuacha hela kwenye gari kama ikitokea niko na demu ambaye simfahamu vizuri. Ikitokea amenizidi akili sababu ya kilevi basi itakuwa ni kiasi kidogo tu...
 
I noticed you once staring at me. LoL
Karucee, do have great week Buddy. Cheers!!!!
1.When I wear sun glasses it means the sun is too bright and I need to protect my eyes from the harmful effects.

2. When am watching an attractive guy and I don't wanna get caught. Oh la laaaaaaa.

3. Nilivyo na aibu, they save me from falling when people are watching me. Najikaushaaaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
images
 
Mi sijajua wale wanaozivaa na huku wanaendesha magari wanakuwa na maana gani?
Mkunde Original

hahahahahahahhaaaaaa you people!!! uliniona nini this week end??!!!! mmmh hiyo ni tabia yangu sana mmmhhhh!!!
Na hapo huwa nataka mtu akiniona asianze kuniomba lifti au kunisimamisha bila sababu ya msingi. Sababu vioo vya gari langu si tinted so nikipiga tinted nakuwa najiamini sana nikiwa barabarani.
Ila daah ulivoniuliza moyo ukastuka paah!!
 
Kama gari ina mafuta ya kutosha. nikiwa na laki moja mfukoni inatosha kabisa, nyingine labda ubomoe kwenye Sim-banking, M-pesa...

Nakumbuka katika pitapita zangu enzi za ujana nilikuwa na kawaida ya kuacha hela kwenye gari kama ikitokea niko na demu ambaye simfahamu vizuri. Ikitokea amenizidi akili sababu ya kilevi basi itakuwa ni kiasi kidogo tu...

hahahahahaha una akili weye wengine wanakwapuaga hata funguo unakuta gari imesepeshwa
 
I noticed you once staring at me. LoL
Karucee, do have great week Buddy. Cheers!!!!

Well if you caught me, just know that I threw caution to the wind and started ravishing you there and then!!

I ate you whole!!
 
Inaweza kuwa imenona but it aint cash.

Imetuna condoms za kukulabua, *****!!
Hivi Karucee wewe ni "me" au "ke"? Maana kuna hoja nyingi huwa unatoa kama "ke" lakini hii umetoa kama "me", Vipi...
 
Last edited by a moderator:
Body Language matters.

Siku zote zaidi ya 75% ya mtu akisemacho kipo kwenye lugha yake ya mwili. Bahati mbaya haifundishwi shuleni.

Ukiiwezea, Lugha ya mwili haidanganyi hata chembe.

Jamani, habari zenu, habari ya week end!!

  • I need privacy
  • I do not want to see you
  • If its greeting, hi is enough no shaking hands
  • Am busy
  • and so on.......
To you when you were sun glasses apart from protecting your eyes with ultra violent what do you mean??
Karibu kuchangia je huwa unapata usumbufu ambao hukuutarajia?

View attachment 143942
 
hahahahahaha una akili weye wengine wanakwapuaga hata funguo unakuta gari imesepeshwa
Akiiba gari kama sio mzoefu wa kuiba magari atakamatwa mapema sana, na nikimkamata nitadabo pesa iliyokuwemo... ukiona demu ameiba gari badala ya pesa zako ujue umekutana na jambazi zoefu, hilo hata bila ya kumtokea lingekuibia tu.
 
Hahahaaa. Crazy you!!!

Thats why I felt a bit light, I lost some calories you know!!!
Well if you caught me, just know that I threw caution to the wind and started ravishing you there and then!!

I ate you whole!!
 
hahahahahahahhaaaaaa you people!!! uliniona nini this week end??!!!! mmmh hiyo ni tabia yangu sana mmmhhhh!!!
Na hapo huwa nataka mtu akiniona asianze kuniomba lifti au kunisimamisha bila sababu ya msingi. Sababu vioo vya gari langu si tinted so nikipiga tinted nakuwa najiamini sana nikiwa barabarani.
Ila daah ulivoniuliza moyo ukastuka paah!!
Mkunde Original mi naamini ukiwa dereva unahitaji kuwa na visibility nzuri tu..sasa ile makitu si inapunguza uwezo wako wa kuona vizuri bara barani na pembeni? Kumbe ni kuboost confidence lol.....sasa why akina dada tu...umenotice sio wanaume wengi wanaendesha wameyavaa hayo, ukiacha masharobaro

N.B. Hilo haliondoa uwezekano wa kwamba nilikuona
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom