When I wear sunglasses this is what I mean...

When I wear sunglasses this is what I mean...

1.When I wear sun glasses it means the sun is too bright and I need to protect my eyes from the harmful effects.

2. When am watching an attractive guy and I don't wanna get caught. Oh la laaaaaaa.

3. Nilivyo na aibu, they save me from falling when people are watching me. Najikaushaaaaaa!!
AAA Karuceeeeeeeeeeeeeeeeeee

1240005_434189720024681_614549016_a.jpg
 
Thats good, ila hapo kwenye kuficha aibu nimependa, what if in public area na unasinzia when your eyes are coverd....
Hivi nimekumbuka kitu, kuvaa sun glasses misibani nayo ikoje? Kisupa staa zaidi au privacy? Hiyo ya kujikinga na ultra violent inakubalika. Thanks mamie
Si sinziagi!! lol. Never ever!!

Hiyo ya msibani ni kuziba mimacho iliyovimba kwa kulia.

Hiyo ya stealing glances at good looking men hujaipenda? Yummy Yummy.
 
Hivi unaakili Kweli wewe badala yakuleta mass za maana unaleta utumbowako humu?
 
badala kuwaambia watu wakupe dili za hela unabaki kuwauliza utumbo usiokuwa na maana.

shame on you. think big#
Sio kila wakati unawaza hela tu, hata kupumzisha akili kwa utani na vitu kama hivi ruksa. Hivi hujui kama mipango na akili ya kutafuta hela huja wakati umepumzika sehemu tulivu?? Au hujausoma vizuri huu uzi??
 
Hapo hana mia!
 
Asante best kunisaidia kusema, pokea vyupa viwili vya maji ya gold aina yoyote ila unayopendelea, kama hutumii hayo basi hata maji ya machungwa karibu.
Mchana mwema.
 
Back
Top Bottom