Mnyabwilo
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 720
- 256
Jamani, habari zenu, habari ya week end!
Hope mko poa, mie bariidaaa mtoto wa kike....
This week end (jana) nimekutana na haya, nilikuwa nimeboreka na issue zangu sasa nikaamua nitome nikapunguze hasira zangu nikirudi home amani iwepo.
Nilienda zangu wet and wild nimeogelea vya kutosha kisha nikakaa kwenye viti nikihitaji utulivu nikapiga glasses zangu tinted na kanywaji kangu pembeni.
Nilikaa vile viti vya kulala.
Baada ya muda akaja mdada mmoja tunafahamiana mtaani akanisabahi ila mie nilikatisha story kwa maana nilihitaji kuwa alone akanote nampotezea nae akasepa.
Alipoondoka nikavaa cap nikaishusha na miwani ikiwepo hivo mtu kunirecognise awe ananijua kweli kweli.
Sijakaa sawa akaja mkaka na maelezo kibao nilichofanya ni kuweka head phones masikioni baada ya kumjibu short kuwa I need privacy ila alinikera.
Hivi mtu ukitumia lugha ya vitendo wengine hawaelewi eeehh!
To me nikivaa sun glasses namaanisha hivi
To you when you were sun glasses apart from protecting your eyes with ultra violent what do you mean?
- I need privacy
- I do not want to see you
- If its greeting, hi is enough no shaking hands
- Am busy
- and so on.......
Karibu kuchangia je huwa unapata usumbufu ambao hukuutarajia?
View attachment 143941
View attachment 143942
Hapo kwenye maneno ya lugha iliyoletwa na maji umeniacha hila mimi nahonaga watu wa kwenye defender za polisi ndio wanavaaaa sijui na wao wanakuwa kwenye tafakari za kupumzisha akili na kupunguza mawazo.......