WhatsApp Status yangu

WhatsApp Status yangu

 
Status ukiwa mjinga mjinga unaweza kuexpose maisha yako..... ama mfano ..sijui umejenga, umepata kazi, cheo, n .k !
Pia ni sehemu ya mtu kusoma/kujua ufahamu wako kirahisi kulingana na yale unayoweka !

Kupitia hizo scenario 2 .. mm nimeshaacha kabisa kupost ....kuna watu hata Status zao sifungui kwa sababu najua maudhui nitakayokutana nayo....
Chukua maua yako
 
Nawapenda sana wapost memes… me kama
Mtu haweki memes au bible verses ajue sifunguagi status yake 😀

Mpaka nikupost birthday status… aloooo wee jipige kifua mara 3. Maana ntakuwa nakupenda sanaa 💕
Hapo kwenye birthday, kama mimi. Hadi nikipost watu huwa wanashtuka. 😃 Yan lazima uwe more than special nikupost
 
Hivi ndivyo ilivyo Whatsapp status yangu kimaudhui

Dini (Mahubiri, nyimbo, Aya za biblia n.k)-50%
Mpira-20%

Matukio(ndoa, birthdays, misiba n.k)-20%
Fursa za uchumi,biashara-5%
Memes, Quotes-5%
Dah mpaka status zinaanzishia nyuzi😅😅😅
 
Back
Top Bottom