wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,735
- 3,202
KambaNaam, ulijua ni nini?
KambaNaam, ulijua ni nini?
Hivi Nini kinafanya mtu umpost marehemu status?Hivi ndivyo ilivyo Whatsapp status yangu kimaudhui
Dini (Mahubiri, nyimbo, Aya za biblia n.k)-50%
Mpira-20%
Matukio(ndoa, birthdays, misiba n.k)-20%
Fursa za uchumi,biashara-5%
Memes, Quotes-5%
leo nimeanza kukupenda mapema sana, mpaka ifike jioni nadhan utakua umeniburudisha mnoSindano
Na misketi mirefu imetepeta kama condom ilotumikaNa simu zao vimeweka makava mapana yenye Midori Dori
yangu 100% - Hardcore porn ( ebony )Hivi ndivyo ilivyo Whatsapp status yangu kimaudhui
Dini (Mahubiri, nyimbo, Aya za biblia n.k)-50%
Mpira-20%
Matukio(ndoa, birthdays, misiba n.k)-20%
Fursa za uchumi,biashara-5%
Memes, Quotes-5%
Taifa linahitaji sana watu kama ninyiyangu 100% - Hardcore porn ( ebony )
even profile pic !Mine 0% 😁
😄😄😄😅Ndo maana nimesema watoto, vile vinavo barehe, vinavomgombea CHIDY na JIMMY, vinavoitana BFF, vinavovaa MISENDO MIPANA YENYE MANYOYA NA MIDORI YA MBWA MBELE.
duuh !Hivi Nini kinafanya mtu umpost marehemu status?
Upo kama mm 100%Nawapenda sana wapost memes… me kama
Mtu haweki memes au bible verses ajue sifunguagi status yake 😀
Mpaka nikupost birthday status… aloooo wee jipige kifua mara 3. Maana ntakuwa nakupenda sanaa 💕
Huu ni uwendawazimu, ety RIP mjomba 🗑️Hivi Nini kinafanya mtu umpost marehemu status?
Samia vipi humiweki status?Hivi ndivyo ilivyo Whatsapp status yangu kimaudhui
Dini (Mahubiri, nyimbo, Aya za biblia n.k)-50%
Mpira-20%
Matukio(ndoa, birthdays, misiba n.k)-20%
Fursa za uchumi,biashara-5%
Memes, Quotes-5%
Kuna jamaa aliandika anaumwa, anahisi kichefuchefu kmmmkee nikafuta Namba hapo hapoVinaandikaga nani aninunulie chips au nani yuko online anipigie video call😁
🤣🤣🤣🤣 Sema hakyamunguMiezi michache tu iliopita ndio nimegundua kuwa status sio ile DP kwenye whatsapp yangu.
Hahaha RR jamaniMiezi michache tu iliopita ndio nimegundua kuwa status sio ile DP kwenye whatsapp yangu.
Sása mtu akisikia kichefuchefu asiseme jameni 😁Kuna jamaa aliandika anaumwa, anahisi kichefuchefu kmmmkee nikafuta Namba hapo hapo
Hata mimi mchumbao hauwezi kuni post.?Nawapenda sana wapost memes… me kama
Mtu haweki memes au bible verses ajue sifunguagi status yake 😀
Mpaka nikupost birthday status… aloooo wee jipige kifua mara 3. Maana ntakuwa nakupenda sanaa 💕