kinyoba
JF-Expert Member
- Jun 2, 2011
- 1,267
- 720
mbona hamjadili picha za ngono mnazotumiana kwenye hizo Whats app ama hizo ni sawa.?
wabongo wanavopenda ngono utasikia anakuambia hauna video nyingine ya ngono unifoadie?
mbona hamjadili picha za ngono mnazotumiana kwenye hizo Whats app ama hizo ni sawa.?
Ndio maana nikasema wengine huwa tunafowadi bila hata kufikiria kama huyo unaemtumia atajiskiaje? Yaani ni kama tabia tu imejengeka kwamba ukifowadiwa kitu na wewe unafowadi fasta.. Na mara nyingi picha hizi tuna fowadiwa na watu wetu wa karibu tu ambao hatuwezi kufuta namba zao..
hizo za ngono kwao hazina madhara kwani zinatishambona hamjadili picha za ngono mnazotumiana kwenye hizo Whats app ama hizo ni sawa.?
Kweli zinaudhi sana,lakini nimepata somo kuwa hata madaktari wetu na manesi wa sasa wanakiuka sana maadili...picha ya huyo aliyechomwa na sururu inaonekana kabisa imepigwa ndani ya chumba cha upasuaji,sasa ni nani amezipiga kama sio madaktari/nesi?
mi nimetumiwa za yule wa kukatwa ma shoka dah.....
Hiyo ya shoka limezama ni balaa
Kuna grupu flani la wadau waliohitimu shule flani toka mkoa wa hayati wanatumiana mapicha ya hatari kwa mfano jana binti mmoja wa grupu lile katuma picha ya mtu kakitwa shoka la kichwa, muda mfupi baadaye kijana mmoja akatuma picha ya mwanamke ametega makalio kuonyesha sehemu za siri zilizounguzwa.
mbona hamjadili picha za ngono mnazotumiana kwenye hizo Whats app ama hizo ni sawa.?
Mi sijathubutu kufungua
mbona hamjadili picha za ngono mnazotumiana kwenye hizo Whats app ama hizo ni sawa.?
Hizo picha zinakukera wewe tu ndugu,sisi wenzenu lazima tuangalie watu wanavyochinjwa na kukatwa shoka IN ALLAH'S NAME!
Mkuu una point nzuri
Hiyo ya shoka limezama ni balaa
Mi sijathubutu kufungua
mi nimetumiwa za yule wa kukatwa ma shoka dah.....
Yaani mda huu niko hapa nadumisha uzi, huku kuna mtu kanitumia sijui za mwanaume singida kakata kata familia yake yote vipande vipande.. arghhh..!