bissmark marktosh
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 233
- 47
Adolf hitler awahi kihudhuria mashindano ya olympic yaliyofanyika nchini mwake wakati ule ukuta wa kutenganisha ujerumani mashariki na mangaribi ulikuwepo hali na ungana na mto hoja ni kwamba adolf atabakia kuwa na chuki na hakuwapenda ngozi nyeusi ni pale raia wake alipokuwa na mtu mweusi kwenye mashindano ya mbio fupi huwezi kuamini mbele ya watu maelfu chini ya utawala wakinazi yule raia wa ujerumani alishindwa kwa kishindo baada ya hitler kuona vile alitoka nnje ya uwanja na kuishia kwa aibu hiyo ni dalili gani kuwa aliwachuki tu waisrael,waarabu?au pia na waafrika kwa kitendo kile alichoonyesha?hitler na manazi ukienda ujerumani wanatuita skin head unajua maana yake niulize nitakupa jibu na pale ujeruman kuna maeneo hupaswi kutembea mtu mweusi ila hata world cup ilivyofanyikia kwa walijidai wakari ila watu weusi walipewa tahazari kutoZuru baadhii ya maeneo flani.kingine nilichogundua ukienda ujerumani kukaa kwa shughuli yoyote pale kama kijana lazima uoe bibi msichana wa kijerumani wanapenda sana vijana weusi kwao hawaoleki tena.