Whatsapp na picha za kutisha..

Whatsapp na picha za kutisha..

Inakera...na inaboa sana..vzur kama umeliona hilo
 
Inategemea na jinsi unavyojiweka kwao. Kwangu mimi huwa hawanitumii hata iweje kwasababu siwatumii.

Kama unawatumia its obvious watakutumia
 
Kama wameweza kupiga za huyu ndani ya chumba cha upasuaji,watashindwa nini kupiga picha za mama akijifunfua?

Muda si mrefu tutaanza kutumiwa huko watsapp video za akina mama wakijifungua.
 
shemeji umewahi kukumbana na hizo picha???

Nazipata sana shemeji na leo nimetumiwa moja ya mtoto kacharangwa mapanga na mzazi wake huko singida. Imebidi nipoteze muda kutoa somo kwa aliyenitumia, sijui kaelewa....!!
 
Nazipata sana shemeji na leo nimetumiwa moja ya mtoto kacharangwa mapanga na mzazi wake huko singida. Imebidi nipoteze muda kutoa somo kwa aliyenitumia, sijui kaelewa....!!

hii itakua badala ya watu kuokoa tukio wenyewe wanakua busy kupiga picha wazitume kwenye social network... Ukiona kakutumia tena ujue hajaelewa somo
 
hahaaaaa mi nafurahimaana natumiwa mipicha ya mapapuchi hatariiiiiii..... sijui nani ananitumia lakini nakula uzee kwa kuangalia mipapuchi ya kila design ...idumu whatsapp
 
Inategemea na jinsi unavyojiweka kwao. Kwangu mimi huwa hawanitumii hata iweje kwasababu siwatumii.

Kama unawatumia its obvious watakutumia


Wewe kuna mijitu mengine haina akili
Mie huwa sinaga kawaida ya Ku forward chochote ila unakuta jitu linakurushia ti
 
Si unamwambia tu,
Ndio maana nikasema wengine huwa tunafowadi bila hata kufikiria kama huyo unaemtumia atajiskiaje? Yaani ni kama tabia tu imejengeka kwamba ukifowadiwa kitu na wewe unafowadi fasta.. Na mara nyingi picha hizi tuna fowadiwa na watu wetu wa karibu tu ambao hatuwezi kufuta namba zao..
 
Inakera sana hass wanqpotuma picha za mikutano ya Chama cha cdm aahh
 
Ila humu kuna watu vichwa maji sana yaani ukianagalia post na michango ya mawazo unathubutu kusema vichwa maji sasa mambo ya vyama yanatoka wapi au ndio kutokujielewa au kujitoa ufahamu wapinga maendeleo badilikeni hsa ww uliyeingiza mambo ya vyama hapa
 
Wee acha tu. Mimi ndio wananiudhi mpaka mwisho. Wakituma tena ntawablock. Sasa juzi nilikuwa kanisani alafu jamaa wakatuma picha ya ngono kwenye group ya watsapp. Ile nachungulia ka simu kangu nione mpendwa gani kabarikiwa kunitafuta mda ule nikakuta hilo lipicha. Yani hadi upako wooote ukaisha. Wabongo tunahitaji tuition kuhusu kushea news.
 
Back
Top Bottom