mbona hamjadili picha za ngono mnazotumiana kwenye hizo Whats app ama hizo ni sawa.?
Kadri muda unavyokwenda binadamu anakosa utu kwa spidi ya kutisha.Juzi Kuna mtu kanitumia picha za yule kijana WA Arusha,aliyekula ubongo WA mtoto,pamoja na picha ya ubongo huo.Jana picha za viungo vya binadamu Kule Bunju,zimesambaa kwa Kasi Sana.
Zinatumwa na bavicha, vijana wasiokuwa na kazi wa chadema!!
Kwanini kuwa na namba ya mtu anayekuumiza?
umenijibia huyo -----
Mandla JR vipi ndugu yangu mbona unaanzisha mjadala wako wa ushabiki wa ccm na chuki yako ya kijinga kwa Chadema hata bika kuelewa hoja iliyowekwa mezani. Mtoa hoja anazungumzia usambazaji wa picha kwa kutumia whatsap ambazo zina athari kijamii. Sasa wewe sijui umeathiriwa na siasa, unaona kila jambo baya inafanywa na chadema? Ukiendelea na mtizamo huo utakuwa mwehu kabisa. Jitahidi kuwa nutral bwana, huzi siasa zisikufanye uchukie kila mwanajamii, pia huo upande unaoutetea hawakujui hata jina, we fanya yako jitahidi kuwa raia mwema.
Back to topic; ni kweli hii tabia imekuwa kubwa sasa wakati mwingine mtu anakutumia picha zingine za matusi hadi unaogopa kufungua karibu na watu. Tujitahidi jamani kujidhibiti wenyewe. Hii kazi ya kutoa taarifa ni taaluma za watu, wanahabari waliosomea wanajua wachuje nini na watujulishe nini. Sasa sikuhizi kwasababu ya mitandao ya jamii kila mtu anajifanya mwanahabari. Mtaharibu jamii kwa mikono yenu, chujeni taarifa.
mbona hamjadili picha za ngono mnazotumiana kwenye hizo Whats app ama hizo ni sawa.?
mbona hamjadili picha za ngono mnazotumiana kwenye hizo Whats app ama hizo ni sawa.?
Fanya kama nifanyavyo mie. Waambie hao watumaji kwamba hupendi picha za aina fulani (ziweke wazi), hivyo wasikutumie. Kama bado wanaendelea, simply block akaunti zao ili usizione kamwe!
whatsapp haijaweka limitation ya picha/video za kushea so walaumu wao,siye utuwache tujiachie
USERNAME yako tu inaonesha upo ktk kundi gani la akili
mi nimetumiwa za yule wa kukatwa ma shoka dah.....