Mtu-Pori
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 1,308
- 1,514
Ni rahisi kuepuka kupokea picha za aina hiyo, mimi pia huwa zinaniathiri sana. Jana nime deactivate photo automatic download kwenye Whatsapp, na sasa picha yoyote ile itakayotumwa haiingii moja kwa moja hadi niamue kui download. Fungua Whatsapp, press MENU>SETTINGS>CHAT SETTINGS>MEDIA AUTO-DOWNLOAD, ondoa tick kwenye "image" halafu press OK.