Whatsapp na picha za kutisha..

Whatsapp na picha za kutisha..

Nadhani kuna haja..yakuwa wazi na njia pekee yakukemea jambo na pengine kuleta uhalisia wa tukio, picha ina nafasi kubwa kuleta uzito wa jambo..sioni tatizo kabisa haja yakukemea jambo hili..nafikir whatsap ni media km nyingine tofauti ni upana wake (converge) na mipaka ya utendaji wake lakini haina tofauti na vyanzo vingine km tv,gazet,radio...mfano juzi nimetumiwa picha ya bwana iliyepigwa shoka kichwani tena kwenye jicho kabisa kwa kosa la kufumaniana....hii inatoa tahadhari kwa wenye tabia hiyo....nk nk.
 
Ule mfuatano wa picha uliotumwa kwenye group lako ndiyo huo huo uliotokea kwenye group letu hili, duh! Mbona kama ndiyo hilo? La wahitimu flani!!!

Nahisi tuko wote halafu admin wetu anapenda kwenda Mbeya eti?
 
Ule mfuatano wa picha uliotumwa kwenye group lako ndiyo huo huo uliotokea kwenye group letu hili, duh! Mbona kama ndiyo hilo? La wahitimu flani!!!

hahaaa hilo hilo la wahitimu flani hivi.... kama nishakujua vile lols
 
hahaaa Skype yaani nikisema hilo group halafu kama tuko wote nahisi nitakuwa verified user kwako..

Hapana mkuu wala usiseme, nimeheshimu uhuru wako mama. Ila lile grupu tuna watu mle wanajifanya wajuaji sana.
 
hahaaaaa mi nafurahimaana natumiwa mipicha ya mapapuchi hatariiiiiii..... sijui nani ananitumia lakini nakula uzee kwa kuangalia mipapuchi ya kila design ...idumu whatsapp

wananchi wa UMOFIA wameanza kuwa wengi humu ndani
 
Wee acha tu. Mimi ndio wananiudhi mpaka mwisho. Wakituma tena ntawablock. Sasa juzi nilikuwa kanisani alafu jamaa wakatuma picha ya ngono kwenye group ya watsapp. Ile nachungulia ka simu kangu nione mpendwa gani kabarikiwa kunitafuta mda ule nikakuta hilo lipicha. Yani hadi upako wooote ukaisha. Wabongo tunahitaji tuition kuhusu kushea news.

Dah....mpendwa
 
Dah utafikir tulikuw pamoja nimetoka kugombana mtu muda cyo mrefu yeye kaz yak kunitumia mapicha kama hayo muda wote hadi kinyes kimewekwa kwa bakul na limao muda wa lanch
 
Siku hizi tatu jamani watu wanatutumia picha za kutisha mpaka tunaogopa kulala jamani maana mara kapigwa shoka mara kachomwa kwa bibi yani angalieni na aina za picha na matukio????
 
hizo ndio side effect za social network the technic of the devil to mislead the world na bado wengine utasikia wanakufa na presha kisa whatsap
 
Siku hizi tatu jamani watu wanatutumia picha za kutisha mpaka tunaogopa kulala jamani maana mara kapigwa shoka mara kachomwa kwa bibi yani angalieni na aina za picha na matukio????

Pole mdau dawa ni kujitoa au kumblock anayekutumia au kumzuia asitume kwa kumweleza kua hutaki.
 
Back
Top Bottom