Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,954
- 183,561
Wazazi wengi hujitahidi kufanya hivyo na mwisho watoto wengi huishia kuwa kinyume cha matarajio ya wazazi wao
Jamii pia inasaidia kuspoil watoto, japo kuna wazazi pia wanachangia kwa kiasi kikubwa mnoo maana wanalega ktk malezi ya watoto wao. ila mzazi lazima usimame ktk kumjengea mtoto misingi hata akiyumba atarudi tu.