WhatsApp Groups za wake zetu hutuvua nguo wanaume

WhatsApp Groups za wake zetu hutuvua nguo wanaume

Ukiwa na mda wa ziada wa kupoteza madhara yake ndo haya alafu utakuta uyo kungwi ata bwana hana maana keshaharibu.
Siri za ndani ni za ndani ukishare na wenzio wenye akili watakuenjoy ila vilaza watafuraia.
Undeni magroup ya kujiendeleza haya ya umbea na kusutana hamfiki mbali
 
Magroup ya wassap kwa wake ni jipu lingine, Magufuli alitazame hili nalo.
 
Hahaha. Mnaweweseka tu. Wanawake huwa wanasifiana uongo hatari! Infact unaweza kujisikia aibu jinsi ambavyo mkeo anakusifia huko na huna hata nusu ya hizo sifa. Ndio mwanzo wa kujiskia kama mkeo anakuchora
Ya kweli hayo?
 
Nimeamini msemo mmoja hivi nliambiwa kuwa mwalimu wa mwanamke ni kipofuu

Lakini tusilaumu sana kuanzishawa hizo group zao sababu wanaume nao tunakuja huku kuwaanika wanawake ,na wanavuliwa nguo humu ndani hadi wanakoma utaskia:
-hajui kitu kitandani yulee
-kila siku naelea tuuu
-wanawake wafupi hawajui kitu kazi bwawaa
-wanawake wa kichaga hawajui mapenzi kazi kwao ni cash tu ,

NA WAO WAKAAMUA WAANZISHE KIJUKWAA CHAO CHA KUWACHAMBA WANAUME

-YANI UKIWA UNA MAELEWANO NA MAZURI NA MKE WAKO AU MMAMA YEYOTE OMBA AKU ADD KWA SIKU MOJA TUU ,NDO UTAJUA KUWA YALIYOMO YAMO UTAOMBA ULEFT

AM DONE
Sasa dume ukiliadd huko itakuwaje? Napata ukakasi.
 
Akili za wanawake ni ajabu sana. Unaweza kukuta wasichana au wanawake wote wapo uchi chumbani lakini huwezi kukuta wanaume namna hiyo. Kama wanaweza kuwa uchi chumbani kwanini wasianike siri za ndoa zao nje.

Hasa si ndio mwanzo wa kusagana hapoo???
 
Kumekuwa na haka katabia ka wake za watu kuwa katika groups za WhatsApp. Group hizi hujitambulisha kama za wanafunzi wa zamani, mapishi, kufundana, maombi, 'vikoba' n.k. Baadhi ya makundi yana viingilio hadi 50,000/= huku administrator akiwa kama kungwi.

Wanawake wamekuwa wakifunguka namna ya kuridhisha mabwana zao na pia kutoa udhaifu kedekede wa wenza wao kama kutowafikisha kileleni, dushe dogo, n.k. Kila ukifanya kitu na mkeo basi mwenzako ana post.

Jamaa yangu juzi kanyaka simu ya mfanyakazi mwenzake wa kike, akajua udhaifu wa mumewe. Hakupata shida ya kumtokea na kumvua nguo. Yaani ni aibu.

Hapo kwenye nyekundu nahisi panakuhusu wewe mwenyewe, ok akili za mbayu wayu!
 
Back
Top Bottom