WhatsApp Groups za wake zetu hutuvua nguo wanaume

WhatsApp Groups za wake zetu hutuvua nguo wanaume

Ni shughuli pevu mambo yamekua mambo darasa limekua darasa..... Big up kwa wanaoleta feedback kuwa mambo ni poa 😀
Ila ndo wanaume wengine kama unavyoona hawaelewi mpaka video.
Ila tutafika nao mdogo mdogo...
Bado watu 5 tufunge grouo.
Wanawake 2 wanaume 48.....ngoma inogile
 
Haijalishi unatumia id facke or not ya chumbani yanatakiwa yabaki chumbani tu!! Yakitoka ujue una ualakini, tena zingine mwazitoa kwa michepuko na marafiki zenu pia ila hilo hamlioni, akifanya mwanamke mwaja juu km moto wa vifuu!!!

Mioyo ya wanawake inabeba mengi mnoooooo! Mnawazidishia stress hiyo ni njia ya kuzipunguza, "wapendeni" alafu muone km yatawakuta hayo.
Waonekana unaishi planet nyingine
 
Waonekana unaishi planet nyingine

Kwani ni sayari gani waliambiwa "enyi waume wapendeni wake zenu"??? Hiyo WAPENDENI ni pana mnoooo, sasa wapendeni alafu muone kama hizi balaa zitawakuta, yaani tutawatii hadi muogope, so men changes are in yo hands, take actions, nyie si ndio vichwa?? Mkilalamika hivi mjue mmekuwa mikia sasa.
 
Mungu anisaidie tu jamani!
Ila wanangu nitawalelea katika misingi thabiti ya dini,hiyo ndio njia pekee maana hakuna namna nyingine tena.
Wazazi wengi hujitahidi kufanya hivyo na mwisho watoto wengi huishia kuwa kinyume cha matarajio ya wazazi wao
 
Katika hizo groups Targets huwa ni wale dhaifu. Wanaaminishwa kuwa suluhu ipo then baada ya muda wanahamishiwa chamber... mwisho the gentle lady falls an easy prey on some one else's hands. Na wale wanaojiondoa akili major fanya ndiyo vinara wa kusimulia matukio mara nyingi visa hivyo huvitunga tu kwa malengo yao.
Huwa sipendi kabisa kujiunga kwenye hayo magroup na wala sipogo.
 
Back
Top Bottom