acha fiksi wewe...nani akuige? unless unayotumia (kama unatumia) iko custom made lakini huwezi kudai exclusivity...
sawa lakini i wont reveal my Cologne
ohh haitangazwi kwenye GQ na wala huezi kuiona inatangazwa kwentye TV lakini nishapata female stalkers nikiwear
sawa lakini i wont reveal my Cologne
ohh haitangazwi kwenye GQ na wala huezi kuiona inatangazwa kwentye TV lakini nishapata female stalkers nikiwear
Maybe it's a special blend of BO
mi am wearin CK Into U kwa sasa, sivai perfume sababu ya majina as long inavutia mapua yangu, lakini sipendi zenye harufu kali sana kwani huwa zinanisababishia maumivu makali ya kichwa.......kuna yeyote humu ambaye ana matatizo kama hayo?
Jamani I love perfumes!
As a hobby I collect and have a sizeable collection of very good perfumes.One thing I have noticed is that over time the fragrance changes...it doesnt smell the same again.I consulted experts and was told that they need to be stored in a cool and dark place, and must be used within 4 years!( I have some that are as old as 10 years!)As you know bongo does get very hot most of the time.. may be the only place that gets cool all the time is in the refridgerator.
Are there collectors in here? If so how do u maintain the quality of ur fragrance?
Eti eh? eh wacha nikaamishe zangu coz they are just lying out there.. sasa tuweke kwenye fridge eh... i dont collect but I have 6/7 diff perfumes at a given time so zingine sasa are 3 yrs old etc.....
Mambo yote Bloomingdale's wiki hii kuanzia kesho....nimeshaweka order yangu ya Vintage John Varvatos....custom made hii kwa nyie copycats
ahahaa Nyani Ngabu WEWE....Ngabu acha kamba wewe,kavae mabuti uwahi shift factory!
Bei gani mkuu Pasco na hilo duka mlimani city linaitwaje?1.Calvin Claine CK
2.Paco Rabane 'Paco'
3,Georgio Armani
Asante kwa haka ka threao maana kamesaidia hata kujua jinsia za baadhi yetu baada ya kusikia majina wayapendao.
Jama hivi viharufu vinatibu kwa njia ya 'aroma therapy' ukikasirika ama kama uko kwenye bad mood. Pulizia kigo mkononi ama kwenye hankerchief halafu nusa, utashangaa hasira zinayeyuka. Belive me and try it.
Nb. Kwa Bongo maduka mengi hata yanatoheshimika yanauza fake. Namna ya kutambua ni kusoma ile alama ya authenticty imebandikwa kwa trasparent paper yenye pressed numbers chini ya chupa lazima ieandane na kwenye box. Wengi wanauziwa famba kwa bei ya kifo bila kujua. Kuna duka naliheshimu tuu pale Mlimani City wakaniuzia bila box. Naomba box wanasema ni -last item was on display box halionekani. Anyway nikanunua hivyo hivyo kwa imani Mlimani City ni vitu vya ukweli mtupu. Ni mpaka nilipofika home nikacompare na genuine inayoishia ndipo nikajua nimeliwa japo kaharufu kanafanania.
Kwa mlio nazo kipimo cha genuinity kwa sisi wanaume nikivua shati natundika nyuma ya mlango, kila nikifungua kasweet smell kanasindikiza, na shati hata ikishafuliwa ukichua kuvaa kasweet smell kanakupokea. Chini ya hapo ni famba tuu japo inasaidia. Something is better than nothing.