What would you do??.....Run or Finish???

Boflo hii picha imenipa asubuhi nzuri, nimecheka kweli..vituko kweli!!

Hapo ni simba kuahirisha zoezi, he he!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo tembo kuingilia starehe za watu inahu? Masikhara pembeni..........simba shughuli anaiweza Boflo oooooooooooooo inabidi ufungue training college aisee!
 
Last edited by a moderator:
Itakuwa iguno na kashkash za hao simba ndo zilimtoa tembo kichakan......au atakua aliku anapiga chabo uzalendo ukamshinda
 
Hapo kama ni mimi namalizia tu huyo Tembo hana madhara,Tembo aliyekudhamiria huwa anakuja huku mkonga wake kaukunja kuelekea kwenye mdomo wake na ukimuona anakujia hivyo ujue zako zimefika..........
 
nakimbia halafu likishapita na maguvu yake naanza tena kumtekenya mamsapu kwani tayari nilimwacha anasubiria utamu.
 
Back
Top Bottom