iii) Moja ya ahadi zake katika kampeni ilikuwa ni kurudi kwa wananchi kila baada muda kupita ili kuelekeza mafanikio na kutoa dira kwa wananchi kwa mambo ambayo bado hayatekelezeka. Hilo halifanyiki na kumekuwa gumzo kubwa kwa wananchi waliomchagua wakimfananisha na mbunge wa ccm aliyepita rita mlaki wakimtofautisha na jambo moja tu kuwa Halima anazungumza bungen wakat rita halikuwa hazungumzi. Pia wananchi wa jimbo la kawe wamekuwa wakisifu utendaji kazi mnyika mbunge ubungo jirani na kawe kwa umahiri wake kujenga chama na kuwatumikia wananchi wake.
Kama mnacheza draft vile.. Mnahama tu.. Mkitoka jimbo la Ubungo mnaenda jimbo la Kawe..! Kuna Kinondoni.. Ilala.. Temeke.. Segerea.. Ukonga na Kigamboni.. Mbona haya hamuyaguci..? Au ndo mnahalalisha usemi wa mti wenye matunda ndio ciku zote unatupiwa mawe..?
nendeni KINONDONI STUDIO MTAMKUTA PALE SALOON, yupo muda wote.
Nyie ndio Mnaotetea uwepo wa funza kwenye vyakulaUnataki watu waamini kuwa unaitakia mema CDM,kwa kuanika hapa unadhani umemsaidia?umechukua hatua gani kumwandikia malalamiko haya?umeshindwa pia kufikisha malalamiko yako kwa uongozi wa juu wa cdm?acha kutumika kijana!
Hakuna haja ya kuzungumzia jimbo ambalo halipo mikononi mwa chadema kwa sasa tunachoangalia ni je haya majimbo ambayo tumeyapata tunayatendea haki?Yatakuwa chachu ya kupewa majimbo zaidi?haiwezekani kufagia kwa jirani wakati kwako kuchafu.Kama mnacheza draft vile.. Mnahama tu.. Mkitoka jimbo la Ubungo mnaenda jimbo la Kawe..! Kuna Kinondoni.. Ilala.. Temeke.. Segerea.. Ukonga na Kigamboni.. Mbona haya hamuyaguci..? Au ndo mnahalalisha usemi wa mti wenye matunda ndio ciku zote unatupiwa mawe..?
Nikupe nini mkuu, Umesama yote! TEMEKE, UKONGA, ILALA NA KINONDONI ni ASALI NA MAZIWA!
Na kama mtoa hoja ni mpenda mageuzi kama anavyo taka watu wote tuamini! Angetafuta njia muafaka ya kumshauri kamanda Mdee ambaye mimi naona anachampa kazi kivitendo. Hoja yake Binafsi inalenga kutatua matatizo ya ARDHI si jimboni kwake peke yaka bali nchi nzima. To me Halima Mdee THINKS BIG!
Yupo katesh huko anahangaika wakati jimboni mwake hali mbaya.Akiwa mjini yeye ni kushinda saluni
Halima mdee ni kamanda mwanamke machachari bungeni hasa kwa uwezo wake wa kujenga hoja na kutetea hoja mbali mbali kwa ujasiri. Lkn kwa wote wanaotakia mema upinzani kuendelea ili uweze kuchukua viti vingi zaidi vya ubunge hatimaye kushika dola watakubaliana na mimi katika kukosoa utendaji mbovu wa viongozi wa upinzan ili wajirekebishe mapema kabla mambo hayajaharibika. Udhaifu wa mdee katika kukiangamiza chama jimbo la kawe ni kama ifuatavyo.
i) Kakumbatia kikundi kidogo cha viongozi wa jimbo ambao wamekumbwa na kashfa kuiba pesa za chama ambayo ilijidhihirisha wazi baada ya Dr slaa kufanya dhiara ya kushtukiza na kubaini kuwa hakuna taarifa ya mapato na matumizi ktk jimbo na kuagiza warudishe pesa zote wallizochukua ndani ya wiki mbili jambo mpaka leo halijatekelezwa.
ii) Pili Halima mdee ni mmoja ya wabunge wanoongoza majimbo makubwa Tanzania lakini ofisi ya chama chake ngazi ya jimbo haileweki kama ni ofisi au banda la fundi viatu huwezi amini hakuna bendera ya chama , hakuna vikao ngazi ya jimbo akiwa kama haulizi na hana muda wa kufuatilia....
iii) Moja ya ahadi zake katika kampeni ilikuwa ni kurudi kwa wananchi kila baada muda kupita ili kuelekeza mafanikio na kutoa dira kwa wananchi kwa mambo ambayo bado hayatekelezeka. Hilo halifanyiki na kumekuwa gumzo kubwa kwa wananchi waliomchagua wakimfananisha na mbunge wa ccm aliyepita rita mlaki wakimtofautisha na jambo moja tu kuwa Halima anazungumza bungen wakat rita halikuwa hazungumzi. Pia wananchi wa jimbo la kawe wamekuwa wakisifu utendaji kazi mnyika mbunge ubungo jirani na kawe kwa umahiri wake kujenga chama na kuwatumikia wananchi wake.
iv) Halima amekuwa na uongozi wa kimakundi jambo ambalo anawavuruga. Kwa Halima hawajui hata viongozi wake wa kata na hana muda hata kujua matawi chama na hata eneo analotoka makongo hakuna ofisi ya chama na hana mpango.
Natambua majukumu ya mbunge ni mengi lakini chama chenye maono ya kushika dola kinaweka mtaji mkubwa katika kupata wanchama na kukiimarisha chama pamoja na kutekeleza ahdi kwa wananchi. Leo jimbo la kawe halina muongozo wa kichama hali iliyopelekea wanachama kujikusanya na kuomba uwepo wa mbunge wao ili kujadili hatima ya chama chao katika jimbo mbunge hakuweza kuonekana bali alichofanya ni kutuma meseji za vijembe kuwa hilo ni kundi dogo limetumwa na ccm ili kumuharibia jimbo lake.
Pia chama kinatakiwa kuchukua hatua haraka pale ambapo wanaona kuna suala linaloua chama linatokana na uzembe wa viongozi kwani swala la kawe makao makuu wanalijua lakini hakuna hatua za haraka zinazochukuliwa bali kuna dana dana kuonesha hali ya kuogopana. Hali kama hii pia itachangia kuua chama. Mdee anatakiwa kuacha kufanya kazi kimakundi , kuongea bungen pekee haitoshi vinginevyo ccm wanajipanga na wamepania ni vizuri kuchukua taadhari mapema 2015 is very near.