What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

Life moving like ice on sun shine

to us halima mdee is like our stipping stone

we are like the sheeps waiting for the shiver brought us food from far a way
to insult the beautiful strong lady like halima mdee we questiont you,

to me halima mdee is one of the most famouse, strong and known political young lady since we got our national independence 1961

if halima mdee will mantains her status would be like mama maria nyerere,mama anna mkapa,anna makinda, sophia simba,malawis presdent, michelle obama,hillal clinton,and other many world famous strong womens



kawe yetu sasa inapendeza kwa sababu ya halima mdee-mbunge wetu
 
Halima mdee is still a lovely young strong beautiful political lady with a millions of fans not only in kawe kinondoni but also tanzania.
She is still powerfull,courageous,intelligent and creative member of parliament with strong points to defend the poor tanzanians not only in kawe but tanzania in general.

For those who knows halima mdee like me we are not waiting for someone to come and say about her coz she shines like silver on sune shine,

there is a saying which says that,"wachawi hawapendi mwanga wa jua na taa" so halima is like a torch in deep darkness of wizard, so find your way bwana jfmwaipopo.

Mwapopo go and ask your friends ccm they know her and if we are a live 2015 your going to find your way,halima mdee is still powerfull mp in dodoma.

Barabara ya bahari beach-tegeta nyuki kaweka lami,migogoro ya ardhi kama boko basihaya kasaidia masikini dhidi ya mavamizi mafisadi-huwezi kumpenda kama una roho ya kutu au gamba, jwtz kunduchi kawatuliza walikua wanatia-x nyumba kibaooo za wa-tz wanyonge lakini mdee kasimama kidete nao.

Amekua adui wa mafisadi matajili wengi sana huku kawe kwa sababu ya uwazi na ukweli dhidi ya haki za wanyonge, waulize wazee wa open space zetu wanavyomchukia wewe unatania.

Mwisho ,mh. Halima mdee nakuomba msamehe tu huyu kijana kwani waswahili wanasema mti wenye matunda mazuri ndio hupigwa mawe. Wewe upo pamoja na mamilioni ya walala hoi wakazi wa kawe usihofu huyu kijana katumwa na anatumika vibaya hasomi hata alama za nyakati.
 
Mh.halima mdee amejenga nyumba mbili za walimu na vyoo pale mbweni shuleni, bunju katujengea kalavati kubwa,kachonga mtaro mkubwa bwawa la mpunga-kawe,madaraja ya msasani yote haya mwapopo huoni?unaangalia chama tu,mbunge ana play part yake vizuri ujenzi wa chadema yetu ni mimi na wewe kwani halima mdee ni mwakilishi wa wananchi wote wa kawe both wa chadema as well as ccm,unapaswa kumuonea hata huruma
 
Napendekeza CDM iwe inatoa miongozo kwa wabunge wake na pia kuwe na jinsi ya kuwatathimini na wawe wanatoa ripoti juu ya ahadi zao kuona kama chama kinaweza kusaidia kupigania ahadia amabazo ni kero ni vema kukawa na utaratibu wa kichama jinsia ya kusimamia majimbo na halimashauri zinazoshikiliwa na CDM
 
Viongozi wa juu wamefikishiwa malalamiko lkn kuna dana dana katika kulitatua hili wanatupiana mpira kati ya makao na viongozi wa mkoa. Tusirijibu swala hili kishabiki kama kweli una mapenzi na chadema litafakari ili tuangalie jinsi ya kusaidia maovu yasitukumbe na kutuaribia taswira ya chama vinginevyo kutakuwa hakuna tofaut na ccm na kupoteza iman kwa wananchi ambaao imani kubwa ya kuondokana na umasikin wameelekeza kwa cdn
ETI IDDI AZAN ANASHUGHULIKIA KWELI JIMBO LAKE KULIKO HALIMA. MBONA UKIENDA MANISPAA YA KINONDONI UTAKUTA OFISI ZINAZOFANYA KAZI NI ZA HALIMA NA MNYIKA TU. YA IDD AZAN ALWAYS CLOSED.
tumiwavizuri wewe mwanaume hapa mjini
 
Mind you that halima mdee ndie aliyezindua ofisi ya chama boko basihaya, mfuko wake umefungua ofisi ya chama mbezi juu, mradi wa bonde la mpunga wa mabillions of money under halima mdee,

to her that is a weak political game you are playing coz she have a number of enemies from the rulling party,but still she is stable

2me i know now halima mdee is thinking of how and when mwenge-tegeta bagamoyo road via makongo lugalo will be complited,when all the citizen of wazo jeshini get power especially the poor,when tegeta wazo-kimara road via madale get all weather road, water in all residencial areas but you are talking about to what extent madam bult the party?

Wewe utakuwa si mwanachama wa chadema nina mashaka na uanachama wako,kwani kwa mwanachama wa chadema kawe haongei maneno hayo ya chuki,wivu,ubabaishaji kwa mdada ambaye hata kama hujui kusoma basi hata picha huoni?

Au imekuuma vile alivyong'aa bungeni-dodoma wiki hii ? Ukaona magazeti,tv,mitandaoni jf,fb,twiter basi umchafue kwa jf?

Huku kwetu uswahilini nawasikiaga wa-dada wakisema, eeh eeeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhh kaogeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee???????????? Kama mtu akichambia kisu kama wewe.have good saturday. 17/11/2012

bado tunamhitaji huyu dada na wabunge zaidi wa chadema na ikulu tunaitaka 2015
 
Nikupe nini mkuu, Umesama yote! TEMEKE, UKONGA, ILALA NA KINONDONI ni ASALI NA MAZIWA!
Na kama mtoa hoja ni mpenda mageuzi kama anavyo taka watu wote tuamini! Angetafuta njia muafaka ya kumshauri kamanda Mdee ambaye mimi naona anachampa kazi kivitendo. Hoja yake Binafsi inalenga kutatua matatizo ya ARDHI si jimboni kwake peke yaka bali nchi nzima. To me Halima Mdee THINKS BIG!

mpe nyuma..
 
Kama ni kweli mnyoookeeni wabunge wa chadema wanapaswa kujali wananchi na hasa chama ambacho kinahitaji support yao ili kikue! Sis huku Arusha haturembagi tunataka kazi ya chama ionekane ikifanyika. Lakini ushauri wangu kwenu wanakawe ni huu, kama mnahitaji kuimarisha chama msisubiri mbunge wane endeleeni kukijenga chama bila yeye, atakuja kuwa notice tu maana ushaeishi wenu ukiongezeka hana budi kuwatafuta, sisi arusha ndo tulifanya hivyo mpaka sasa viongozi wana tutambua na kutushirikisha kwenye ujenzi wa chama, jitafuteni wana Kawe kwenye fB, Jf na nje mitandao, msije mkaipoteza Kawe kwa magamba, mdee huenda asije kugombea tena mtajuaje?
 
Hatuwezi kuwa na matatizo na maoni ya watu. Maana katika ushauri au maoni wapo wanaoshauri na kutoa maoni kwa nia njema kbs na wapo wanaotumia njia hiyo hiyo kubomoa. Ni muhimu ni kwamba yaliyo ya msingi na yenye ukweli yatachukuliwa na kufanyiwa kazi, yaani concerns noted and action to be taken.

Lakini kuna sehemu kubwa sana ya maoni haya yaliyotolewa na jfmwaipopo tayari yameshafanyiwa kazi au yanafanyiwa kazi na ngazi husika katika mgawanyo wa majukumu na madaraka ndani ya chama kwa kufuata katiba, kanuni,a taratibu, miongozo na itifaki na maslahi mapana ya umma wa Watanzania wanaoona tumaini lao la kesho kupitia CHADEMA.

Kitu kibaya ni kwamba, sehemu kubwa ya maoni haya haya pia imejaa upotoshaji kwa kutosema ukweli katika maeneo kadha wa kadha, ambayo inawezekana ni kutokana na tatizo kubwa walilonalo watu wengi, kutokujua katiba, kanuni, miongozo, taratibu na itifaki zinazosimamia uendeshaji wa chama kila siku...hasa kwa kuzingatia maamuzi ya vikao.
 
Tatizo la nyie mambwiga wawili akili zenu hamjazipeleka jando........linalosemwa juu ya mdee ni yawezekna kweli.....kawaida ya wabunge kusahau majimbo yao japo yeye najua yuko busy na harakati za kichama zaidi......

Cikiliza wewe poyoyo ambae ubongo wako umechanganyika na kinyeci.. Wabunge wenye kusahau wajibu wao ni wale walioununua ubunge tu..! Mbunge ambae amechaguliwa na wananchi hawezi kuwasahau wapiga kura wake.. Next time kafungulie kinywa chako chooni kunakofanania harufu inayotoka humo..
 
mtoa mada rudi basi utupe ushawishi wako au ndo zilikuwa chuki binafsi kwa bibieeeeeeeee


"umasikini wa fikra ni umasikini mbaya sanaa" j.k.nyerere
 
Barabara anajenga Mdee au serikali?Una haki ya kutoa maoni yako lakin pia una haki ya kumsaidia mbunge wako.Hujatoa taarifa kwa mhusika na kwa chama kwan wale ni wasikivu sana au wewe ni mbwa koko?Alaf hoja yako inanuka alufu ya umbea fulani hivi?kwan ww umejuaje kama Mdee anaendesha uongozi wa kimakundi?au gamba nn maana tatizo hili linawatafuna.CHADEMA NI CHAMA MAKINI NA WANAOKITUMIKIA NI WATU MAKINI.MDEE ANAJUA ANACHOFANYA.
 
Halima Mdee ana masikio pia. Naamini amesikia na kuona michango ya wana jamii forum. Achukue hatua.
 

wewe tunaomba utupe mbunge mmoja wa ccm ambaye anaweza kufananiswa na halima mdee -hoja yako haina mashiko kwetu halima mdee is stii power full super women @ kaiyulankuba
 
Halima Mdee + John Mnyika = Hodari wa kupiga maneno, UFUATILIAJI ni ZERO. Wabunge hawa wameshajijua 2015 hawarudi mjengoni hivyo wanashughulika na mambo yao binafsi kuliko kusikiliza na kufanyia kazi kero za wananchi.

Wananachi wa ubungo wanajuta kumpa kura Mnyika, wa Kawe wanasema afadhali enzi za Rita Mlaki alikuwa msikivu na mfuatiliaji

Kuna haja ya kujifunza maana ya UFUATILIAJI na ili mtu afuatilie kitu kuna hatua gani anatakiwa afuate, nani anaibua kitu kinachotakiwa kufuatiliwa? (je ni Mbunge, Mwananchi au Halmashauri ya mtaa/kijiji au Baraza la maendeleo ya Kata au Baraza la madiwani? au hisia tu zinamtuma mtu mwenyewe? alafu UKIFUATILIA nani ni mtekelezaji? (serikali kuu au halmashauri ya manispaa?)

Sina mchango wa kuchangia zaidi ya kujiuliza labda baadae kidogo nikila nitapata kitu cha uchangia maana nikiwa na njaa huwa nina maswali mengi kuliko vitu vingine
 
ndugu unapotoa taarifa bila kuwa na uchunguzi wowote unakosea tuulize sisi tunaokaa katika jimbo hili la mh mdee na tunaona kazi anayofanya usiwe mpiga kelele wa kutumwa ovyo. tunakubali kazi ya mnyika na mdee kama wabunge wetu makini
 
Back
Top Bottom