What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

Tunaona na tunakumbuka mh mdee alivyoachiwa jimbo lilivyokuwa katika migogoro ya ardhi na akatumia nguvu yake ya ziada katika kutatua changamoto hizo ikumbukwe kuwa jimbo la kawe ni moja ya majimbo yaliyokuwa yanaongoza kwa ufisadi wa ardhi lazima mtambue kazi kubwa aliyofanya mbunge wetu katika kutatua tatizo hilo tusiwe watu wa kufuata maneno ya wajinga wachache wenye maslahi binafsi ya kumponda mh mdee
 
naanza kutambua wengi hatujui nini kazi ya mbunge na serikali; mbunge ni kama mwananchi na kazi yake ni kupiga kelele bungeni kuhusu jimbo lake na ndiyo kazi anayofanya mh mdee pamoja na wabunge wote wa CHADEMA na serikali ndiyo inachukua mawazo so mtendaji ni serikali tusilaumu na kuviziana
 
Huku kwetu salasala kwa babu hana msaada wowote kama mbunge, barabara imeharibika ajabu maji hakuna, kila tukimwita ana kula corner. 2015 kura hata moja huku hapati kwa style yake hii
 
Huko salasala mmejipangaje? Diwani wenu ni nani? Changeni hela ya mafuta na posho ya operator serikali ya mtaa iende manispaa itapewa greda (hutolewa kwa zamu) barabara zenu zichongwe. Mkimsubiri mbunge imekula kwenu sana sana yeye huwa anachangia mfuko wenu an anawapa ushauri wa jinsi ya kusonga mbele. Diwani wenu ndiye anapaswa awe mpambanaji no. 1. Halima anapambana na jimbo zima la kawe na mambo ni mengi haswas la kuweka lami barax2 ya Samaki - Mbezi Luois kupitia Goba. Kila mwananchi anapaswa aamke awajibike kwa namna moja au nyingine.
Swala la maji ni salasala na Goba yote... Mbunge tuambie hali ikoje kwani angalau bomba lipite kote maji yatolew kwa mgao.
 
Asante mkuu kwa ushauri mzuri, lakini kwa nini mbunge asije kuwashauri/sikiliza wapiga kura wake? Tatizo la salasala kwa babu ni mifereji kwani wananchi wamejitahidi sana kuchonga barabara na kuweka vifusi lakini zikija mvua zinabomoa kila kitu
 
Jamani ni mawazo mazuri,lakini ina maana dar kuna majimbo mawili tu? Yaani kawe na ubungo? Maana naona hapa jf ni ubungo na kawe kunani wakuu? Kwanini tusijadili kinondoni? Au temeke? Au ilala? Kwa maoni yangu huu ni ubaguzi hautufahi. Waliopo hatuwataki na tunaowataka hatuwaamini.
 
Halima James Mdee facebook page

MIAKA 51 YA UHURU TANZANIA BARA, WAZEE WETU WA HEKIMA TUNA MENGI YA KUJIFUNZA KWAO HUSUSAN HEKIMA, UZALENDO, BUSARA, UWAJIBIKAJI NA HATA MAONYO. WEWE UNAJIFUNZA NINI KWAO HAWA WAZEE NA MIAKA MINGINE 50 IJAYO TUFANYE NINI ILI KUHARAKISHA MAENDELEO YA TAIFA LETU SAMBAMBA NA KUENZI UMOJA NA MSHIKAMANO TULIONAO. WATANZANIA TUNA KILA SABABU YA KUDUMISHA UZALENDO WETU---TUTAFAKARI!!!
MIAKA 51 YA UHURU TANZANIA BARA, WAZEE WETU WA HEKIMA TUNA MENGI YA KUJIFUNZA KWAO HUSUSAN HEKIMA, UZALENDO, BUSARA, UWAJIBIKAJI NA HATA MAONYO. WEWE UNAJIFUNZ
A NINI KWAO HAWA WAZEE NA MIAKA MINGINE 50 IJAYO TUFANYE NINI ILI KUHARAKISHA MAENDELEO YA TAIFA LETU SAMBAMBA NA KUENZI UMOJA NA MSHIKAMANO TULIONAO. WATANZANIA TUNA KILA SABABU YA KUDUMISHA UZALENDO WETU---TUTAFAKARI!!!
 
Kila siku mnataka tumjadili Halima Mdee tu na utendaji wake hapa JF. Kwani hana ofisi? Hamna namba zake za simu? Mnadai barabara Manispaa hamjui ilipo? Mnadai maji DAWASCO si wan ofisi pale BOKO? Mwisho mtadai hamjala siku tatu na Mbunge wenu haonekani.
 
hizi ni porojo tu mlishindwa kuipata hiyo miundo mbinu toka enzi za mwalimu leo ni miaka 51 toka tupate uhuru na hayajafanikiwa,iweje leo ndani ya miaka miwili mtake mtoto avae suti kabla ya nepi yawezekana hajapewa fungu la kutatua matatizo yenu sa yeye azitoe wapi,mbona sijasikia mnadai pesa zilizoliwa na zinazoendelea kuliwa na mafisadi kwa nguvu zote hadharani kama kweli unataka maendeleo ya dhati.blahblahblahblah tu
 
Ndiyo maana tulichagua mbunge wa upinzani tukidhani atakuja na mbinu mbadala! kumbe hovyoooo....
 
Ndiyo maana tulichagua mbunge wa upinzani tukidhani atakuja na mbinu mbadala! kumbe hovyoooo....

kwa hiyo upinzani ndo wanatunza pesa, kumchagua mtu sio kigezo cha kutatua matatizo yako kwa muda unaoutaka wewe, hata kuwe na sera nzuri bila pesa ni bure, wapigieni kelele mawaziri wenukwa sababu naamini ameshawaambia na kupiga kelele mara kibao ila si rahisi kama unavyofikiria wewe utamu wa ngoma ingia ucheze:target:
 
kwa hiyo upinzani ndo wanatunza pesa, kumchagua mtu sio kigezo cha kutatua matatizo yako kwa muda unaoutaka wewe, hata kuwe na sera nzuri bila pesa ni bure, wapigieni kelele mawaziri wenukwa sababu naamini ameshawaambia na kupiga kelele mara kibao ila si rahisi kama unavyofikiria wewe utamu wa ngoma ingia ucheze

Siyo maendeleo yote yanayoletwa na serikani bali hata wananchi wakiongozwa na kiongozi creative wanaweza tatua, mbuge naye anaweza tafuta njia mbadala e.g wafadhili, mfuko wa jimbo etc, please open your mind!
 
Siyo maendeleo yote yanayoletwa na serikani bali hata wananchi wakiongozwa na kiongozi creative wanaweza tatua, mbuge naye anaweza tafuta njia mbadala e.g wafadhili, mfuko wa jimbo etc, please open your mind![/QUOTE]

my mind is open, ila mfumo ndo mbovu kwani wafadhili wangapi wameshaleta pesa zinaliwa ye anaweza tafuta hao wafadhili je hao wa chini yake wamejidhatiti kiuzalendo kuyafikia malengo,hiyo mifuko unayoisema wewe labda huo wa kawe hautashibisha matumbo ya wachache lakini wengine hawataki kuisikia kabsa, hata wewe waweza kuwa creative hapo salasala sio lazima umsubiri Halima Mdee
 
Siyo maendeleo yote yanayoletwa na serikani bali hata wananchi wakiongozwa na kiongozi creative wanaweza tatua, mbuge naye anaweza tafuta njia mbadala e.g wafadhili, mfuko wa jimbo etc, please open your mind!

my mind is open, ila mfumo ndo mbovu kwani wafadhili wangapi wameshaleta pesa zinaliwa ye anaweza tafuta hao wafadhili je hao wa chini yake wamejidhatiti kiuzalendo kuyafikia malengo,hiyo mifuko unayoisema wewe labda huo wa kawe hautashibisha matumbo ya wachache lakini wengine hawataki kuisikia kabsa, hata wewe waweza kuwa creative hapo salasala sio lazima umsubiri Halima Mdee[/QUOTE]

NDIYE MBUNGE WETU NA MATATIZO YETU NI MATATIZO YAKE KAMA MWAKILISHI1 otherwise hana haja ya kuwepo
 
Back
Top Bottom