What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

Dah!Ila kama wafuasi wa Chadema ndo wa stahili hii ambao hatutaki kuambiwa ukweli au ushauri ni hatari.Lets think green and analyse things critically.Haiwezekani tupende kusifiwa tu,hii inaweza ikatugharimu sana mbeleni.Tuwe na political tolerance!!!!
kwani DSM kuna majimbo mawili tu? Mbona Huku kigamboni Hali ni mbaya lakini wanazi wa ccm kila kukicha ni ubungo na kawe?
 
Wakati mwingine wabunge huwa mnawalaumu bure. Wananchi wenyewe hawana ari ya maendeleo kwa hiyo hata mbunge akiwa na mzuka vipi unazimika tu kutokana na jinsi jamii ilivyorelax kwenye dimbwi la umasikini...
du! ZeMarcopolo utakuwa umebadilika sana siamini Kama haya maandishi yametoka kwenye keyboard yako mkuu big up!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
nendeni KINONDONI STUDIO MTAMKUTA PALE SALOON, yupo muda wote.


LOL..
ANAJIREMBA REMBA SASA AMTAKE NANI??HANA MUME HADI LEO
SISI TUNATAKA UWAJIBIKAJI TUUUH,,
KAMA ANAPATIKANA MIDA YOTE NITAMPITIA WKEND HII TWENZETU JAHAZI MODERN TAARABU TUKANYOOSHE VIDOLE JUU..!
:smile: :smile:
 
kwani dsm kuna majimbo mawili tu? Mbona huku kigamboni hali ni mbaya lakini wanazi wa ccm kila kukicha ni ubungo na kawe?


we vipi??
Sasa tuirkebishe ccm sisi ya nini?
Tushaichoka na tunaiacha ijifie
inayostahili kukosolewa ni cdm ili ijipange vyema
wewe hutaki hilo,,sasa unataka chadema isikosolewe??
Punguza mihemko hiyo ndugu...
 
Mbona Bungeni ni mzungumzaji mzuri anayetetea haki za wanyonge ambao ni pamoja na wakazi wa Jimbo la Kawe.
 
du! ZeMarcopolo utakuwa umebadilika sana siamini Kama haya maandishi yametoka kwenye keyboard yako mkuu big up!!!!!!!!!!

Mkuu wakati mwingine tatizo liko kwenye kuielewa misingi ya falsafa ya mtu husika. Kimsingi wote tuna lengo moja, ila tunaweza kutofautiana kwenye jinsi ya kulifikia hilo lengo.
 
Big nooooooooooo halima mdeee ni mbunge wa kwanza mwanamke tanzania ambaye amekua na hoja za kutetea si tu jimbo lake bali umma wa watanzania nzima. Kwa 2015 kawe na halima wetuuuuuuuuuuuuuuu,


wewe janeth rithe na kundi lako tumewasoma kitambooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
we vipi??
Sasa tuirkebishe ccm sisi ya nini?
Tushaichoka na tunaiacha ijifie
inayostahili kukosolewa ni cdm ili ijipange vyema
wewe hutaki hilo,,sasa unataka chadema isikosolewe??
Punguza mihemko hiyo ndugu...

Hamna kitu hapo, ni majitaka tu.

Tumewashtukia. Serikali imekuwa ya kioga. Serikali inaogopa watu wanaoikosoa sana bungeni. Wanaogopa kuzidi kupoteza umaarufu kwa wananchi wa kawaida. Halima Mdee amekuwa tishio ndio anapigwa vita.

Wabunge wanaolala bungeni wapo wengi:




kusinzia-1.jpg


mhkomba.jpg

Hawa kwa kadri ya serikali yetu ndio wabunge wazuri, kwa kuwa hawawapi 'kero' ya kuwauliza mambo magumu, na kudai kuwawajibisha watendaji wabovu.

Hawa huwezi kuona wanafunguliwa threads za kuwaambia wanaua chama.

Kadri mnavyomwandama Mdee ndivyo tunazidi kumkubali.
 
Wewe ulieandika hii si mkazi wa kawe nini? Huku kwetu tegeta mdeeeeeeeee amekuja zaidi ya mara saba kurejesha taarifa ya maendeleo na kusikiliza shida na kero zetu

hata baada ya diwani wa kunduchi kutuuza ,kwa kutaka kubomoa maduka yetu mtaa wa kanisa katoliki mbunge wetu mdee alikuja na kutatua tatizo. Wewe ni ccm magamba
 
Toka mdee amechukua jimbo amekuta jimbo hakuna kitu,sasa kawe mji mipya,maji yanapelekwa nenda leo kaone utakuta mabomba yanawekwa pale. Mikocheni mlimani tv road ina lami sasa, na daraja limejengwa mikocheni kupunguza foleni kama unatokea kwa mzee wetu nyerere, hata hivyo mbezi juu sakuveda halima mdee kafanya vikao na wakazi juu ya maji aliambatana na dawasco, mbweni yetu maji yamefika,wazo juu jeshini sasa wana umeme mambo ya mdee wetu,bunju umeme umepelekwa,madarasa mengi yamejengwa under mdee kama vile kunduchi,makongo barabara ya lami imejengwa tayari na mambo mengine mengi. Hata ukimpigia simu kwa matatizo ya jamii anakuja kwani wewe ndugu yetu wa wapi wewe?
 
Najua atakuja kusoma hapa, post hiyo imemkumbusha wajibu wake, na wajibu wa wabunge wote wa Tanzania. RUDINI kwa wananchi waliowachagua.
 
Namkubali mdee anapiga kazi, na kama makosa ni ya kawaida ambayo anayo kila binaadam, na ninachokiona kuna kajiwivu kdogo kinajitokeza na ule mfumo dume unajitokeza, na kama kweli haya unayosema c uwende kwenye ofisi ya jimbo ukatoe malalamiko yako? Hvi mbona sioni humu malalamiko ya majimbo ya ccm yakilalamikiwa au wao wanafanya vzuri?
 
Mtoa mada una agenda ya kukifisha CDM na sio kukisaidia. Kwa ufupi sana:
  • Ofisi ya Mbunge iko kwenye Ofisi za Serikali ya Mkoa husika. Hii ni kwa mujibu wa taratibu za kiutawala.
  • Kazi ya kujenga ofisi za chama ni jukumu la chama kwa ujumla na sio Mbunge.
  • Mbunge lazima awe na watu wachache wa kumshauri, hawa ni kama Think Tank yake na pia wanasaidia kumueleza yanayojiri jimboni.
  • Halima Mdee ni Mbunge wa Kawe na mmoja ya wabinge wa Kitaifa kama alivyo JJ Mnyika. Jitihada zao tunaziona na haitaji kushawishiwa.
  • Halima Mdee hata akigombea jimbo jingine la Tanzania ni anaweza kutoa ushindani mkubwa na kushinda pia. (Tukiachilia mbali yale majimbo yenye unyanyapaa dhidi ya wanawake).
  • Wana Dar es Salaam ni mashaidi wabunge wanaosikika Dar ni Mdee na Mnyika, pia kidogo na Dr. Ndugulile wa Kigamboni kutokana na matatizo ya jimbo lake.

Halima Mdee, Mungu akubariki katika utumishi wako.
 
Hivi bado hajapata nanhiinoo? maana alisema anatamani kuwa na mtoto , usikute yupo busy kutafuta mtoto jamani tusi muandame sana!!!! najuta kumchangua huyu mdada japo anatoka chama changu lakini hatufai
 
Wakati mwingine wabunge huwa mnawalaumu bure. Wananchi wenyewe hawana ari ya maendeleo kwa hiyo hata mbunge akiwa na mzuka vipi unazimika tu kutokana na jinsi jamii ilivyorelax kwenye dimbwi la umasikini...

Siamini kama ni wewe!
 
Back
Top Bottom