What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

Kumekua na kesi ya muda murefu ikiendelea baina ya wanakijiji na wanaodai wamiliki.
Kabla ya kesi hiyo kuisha wala kujua hatima ya kesi hiyo. Kesi imefutwa bila ya wanakijiji kufahamishwa naikatolea amri ya kubomolewa.
Hilo halitoshi kukudhihirishieni kua ni uzandiki tu wafanyika.
Mimi pia ni muadhirika kiwanja changu kilikua na nyumba ndani yake.
1. Nyumba hiyo ilikua na namba za usajili na ilikua imeshaanza kulipia kodi za ardhi tra wilaya ya kinondoni. Si mimi peke yangu nyumba nyingi zilikua na number hizo.. (kwanini seriakl ichukue codi kama mi si mkazi halal ni mvamizi?)
2. Wanatoa sababu kua sisi ni wakimbizi. Wakati wa uchaguzi mkuu viongozi wote wa seriakltoka vyama vyote walifika eneo hilo na kupiga kampeni zao.( wananchi waliokua pale kipindi hiko ndio waliovunjiwa nyumba zao je wakati wa uchaguzi serikal haikujua kua sisi ni wavamiki kama inavyodai na wanavyodai wanaofuata mkumbo bila kujua undani wake?)
3. Serikal ya korea ilikuja kutembelea kijij hiko na kukuta kuna idad kubwa ya wanakijiji na wanafamilia zao, ikaiomba serikal kuthamini miradi ya kijamii kama shule.. Serikal kuona idad ya watu ni wengi na umuhim wa shule ni mkubwa ikawaruhusu wakorea hao kujenga shule.. Shule imejengwa na imekwisha.. Wananchi wamefukuzwa na kuvunjiwa makazi yao. Wakorea wanahoj shule hiyo kwanini mukaturuhusu kujenga? Kama si uzandiki na ujuha inaingia akilini leo kuwaita wananchi wako wakimbizi?
4. Tumenda wilayani wakapuuzia madai yetu.. Tumeenda ikulu tukaambiwa nendeni serikal ya mkoa. Serikal ya mkoa inasema nenden wilayan . Wilayan ndio watendaj wakuu wa vunjavunja hiyo..
Mpaka sasa wanchi wengi wamegeuza shule ya wakorea ndio makazi.

Nawahusia wanao dandia suala hili na kuanza kuropoka kua sisi ni wavamizi.. Watambue kua leo kwangu kesho kwao.. Haki ipo kwa wenye pesa..

"maisha safar ndefu gizan"..

Kama sisi niwavamizi

Kabla hujaaanza kusaidiwa...tuanze na wewee
1.Icho Kiwanja/shamba ulinunua mazingira gani ?
2.Una Documents zozote kutoka Ardhi ?
3.Ulikuwa unAjua kama kulikuwa na Kesi ?
4.Kama wewe Binafsi umechukkua Hatua Gani kwa kupoteza icho kiwanja/Shamba ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nafikiri wengi wanafanya dhihaka na kumkebehi mleta hoja, lakini kwake na wenzie hili ni tukio kubwa limewatokea (unaweza kulinganisha na msiba), sasa anashangazwa na ukimya wa mbunge wake ambaye alitegemea kumuona kwa namna yeyote na hilo lingeweza kuwa kwao ni faraja hata kama hawana haki ya umiliki wa eneo hilo. Ni matumaini yangu ujumbe umemfikia mheshimiwa mbunge na atawatembelea sawa na uhitaji wao.
 
Kumekua na kesi ya muda murefu ikiendelea baina ya wanakijiji na wanaodai wamiliki.
Kabla ya kesi hiyo kuisha wala kujua hatima ya kesi hiyo. Kesi imefutwa bila ya wanakijiji kufahamishwa naikatolea amri ya kubomolewa.
Hilo halitoshi kukudhihirishieni kua ni uzandiki tu wafanyika.
Mimi pia ni muadhirika kiwanja changu kilikua na nyumba ndani yake.
1. Nyumba hiyo ilikua na namba za usajili na ilikua imeshaanza kulipia kodi za ardhi tra wilaya ya kinondoni. Si mimi peke yangu nyumba nyingi zilikua na number hizo.. (kwanini seriakl ichukue codi kama mi si mkazi halal ni mvamizi?)
2. Wanatoa sababu kua sisi ni wakimbizi. Wakati wa uchaguzi mkuu viongozi wote wa seriakltoka vyama vyote walifika eneo hilo na kupiga kampeni zao.( wananchi waliokua pale kipindi hiko ndio waliovunjiwa nyumba zao je wakati wa uchaguzi serikal haikujua kua sisi ni wavamiki kama inavyodai na wanavyodai wanaofuata mkumbo bila kujua undani wake?)
3. Serikal ya korea ilikuja kutembelea kijij hiko na kukuta kuna idad kubwa ya wanakijiji na wanafamilia zao, ikaiomba serikal kuthamini miradi ya kijamii kama shule.. Serikal kuona idad ya watu ni wengi na umuhim wa shule ni mkubwa ikawaruhusu wakorea hao kujenga shule.. Shule imejengwa na imekwisha.. Wananchi wamefukuzwa na kuvunjiwa makazi yao. Wakorea wanahoj shule hiyo kwanini mukaturuhusu kujenga? Kama si uzandiki na ujuha inaingia akilini leo kuwaita wananchi wako wakimbizi?
4. Tumenda wilayani wakapuuzia madai yetu.. Tumeenda ikulu tukaambiwa nendeni serikal ya mkoa. Serikal ya mkoa inasema nenden wilayan . Wilayan ndio watendaj wakuu wa vunjavunja hiyo..
Mpaka sasa wanchi wengi wamegeuza shule ya wakorea ndio makazi.

Nawahusia wanao dandia suala hili na kuanza kuropoka kua sisi ni wavamizi.. Watambue kua leo kwangu kesho kwao.. Haki ipo kwa wenye pesa..

"maisha safar ndefu gizan"..

Kama sisi niwavamizi

Poleni, tuache tabia ya kupuuza mambo, kisa katajwa mbunge wa CHADEMA; nafikiri jukwaa hili lingetumika pia kuwakukumbusha wabunge wajibu wao na si kuhamasisha kuingia IKULU tu.
 
naomba nikuunge mkono kwa hoja ya kutaka msimamo wa mbunge kwa zoezi hili la madale.

1. Kuna taratibu mbaya zilitumika kwenye zoezi zima, kama uharibifu wa mali nakasangwe b mbunge ana ulazima wakutoa kauli; kinyume chake tunamuweka kwenye kapu moja na hao majambazi.

2. Kuna wizi wa kijambazi uliofanywa nakasangwe a ambayo haikuwepo kwenye bomoa bomoa. Polisi hao hao waliofanya ujambazi huo ndio wapelelezi, pamoja na kutajana hakuna kinachoendelea. Mimi nilitegemea mbunge ayajue yote haya na asaidie hata kutufariji tu.

Atakuja kuomba kura kwa mikono ya nyuma na mbele. Mitanzania ndivyo tulivyo

kilichotokea madale kimeniuma cos nimehangaika sana kutafta pesa hiyo na kabla ya kununua nimepita sehem husika na kiwanja changu tra wamedai kodi ya jengo nimewapatia.. Leo mbunge naleta kunya... Na baadhi ya waandishi a habar pia.?
Ok no way out..
Lakin yote maisha.. Kaeni mkijua.. Hakuna kiongozi hata mmoja ale ktk serikal n yupo ktk kusimamia haki za raia.. Akiwa anaonekana yupo macho kufuatilia ujue anachake/fungu lake.. Otherwise.. Usinga na ububwi.
Wajue kua kosa si kuzaliwa maskini. Kosa kufa maskini..
 
Kabla ya kununua ulifanya haya/search/fill out questionare/on sight verification/sio unakurupuka na mbunge.
 
Halima mdee ni kamanda mwanamke machachari bungeni hasa kwa uwezo wake wa kujenga hoja na kutetea hoja mbali mbali kwa ujasiri. Lkn kwa wote wanaotakia mema upinzani kuendelea ili uweze kuchukua viti vingi zaidi vya ubunge hatimaye kushika dola watakubaliana na mimi katika kukosoa utendaji mbovu wa viongozi wa upinzan ili wajirekebishe mapema kabla mambo hayajaharibika. Udhaifu wa mdee katika kukiangamiza chama jimbo la kawe ni kama ifuatavyo.

i) Kakumbatia kikundi kidogo cha viongozi wa jimbo ambao wamekumbwa na kashfa kuiba pesa za chama ambayo ilijidhihirisha wazi baada ya Dr slaa kufanya dhiara ya kushtukiza na kubaini kuwa hakuna taarifa ya mapato na matumizi ktk jimbo na kuagiza warudishe pesa zote wallizochukua ndani ya wiki mbili jambo mpaka leo halijatekelezwa.

ii) Pili Halima mdee ni mmoja ya wabunge wanoongoza majimbo makubwa Tanzania lakini ofisi ya chama chake ngazi ya jimbo haileweki kama ni ofisi au banda la fundi viatu huwezi amini hakuna bendera ya chama , hakuna vikao ngazi ya jimbo akiwa kama haulizi na hana muda wa kufuatilia....

iii) Moja ya ahadi zake katika kampeni ilikuwa ni kurudi kwa wananchi kila baada muda kupita ili kuelekeza mafanikio na kutoa dira kwa wananchi kwa mambo ambayo bado hayatekelezeka. Hilo halifanyiki na kumekuwa gumzo kubwa kwa wananchi waliomchagua wakimfananisha na mbunge wa ccm aliyepita rita mlaki wakimtofautisha na jambo moja tu kuwa Halima anazungumza bungen wakat rita halikuwa hazungumzi. Pia wananchi wa jimbo la kawe wamekuwa wakisifu utendaji kazi mnyika mbunge ubungo jirani na kawe kwa umahiri wake kujenga chama na kuwatumikia wananchi wake.

iv) Halima amekuwa na uongozi wa kimakundi jambo ambalo anawavuruga. Kwa Halima hawajui hata viongozi wake wa kata na hana muda hata kujua matawi chama na hata eneo analotoka makongo hakuna ofisi ya chama na hana mpango.

Natambua majukumu ya mbunge ni mengi lakini chama chenye maono ya kushika dola kinaweka mtaji mkubwa katika kupata wanchama na kukiimarisha chama pamoja na kutekeleza ahdi kwa wananchi. Leo jimbo la kawe halina muongozo wa kichama hali iliyopelekea wanachama kujikusanya na kuomba uwepo wa mbunge wao ili kujadili hatima ya chama chao katika jimbo mbunge hakuweza kuonekana bali alichofanya ni kutuma meseji za vijembe kuwa hilo ni kundi dogo limetumwa na ccm ili kumuharibia jimbo lake.

Pia chama kinatakiwa kuchukua hatua haraka pale ambapo wanaona kuna suala linaloua chama linatokana na uzembe wa viongozi kwani swala la kawe makao makuu wanalijua lakini hakuna hatua za haraka zinazochukuliwa bali kuna dana dana kuonesha hali ya kuogopana. Hali kama hii pia itachangia kuua chama. Mdee anatakiwa kuacha kufanya kazi kimakundi , kuongea bungen pekee haitoshi vinginevyo ccm wanajipanga na wamepania ni vizuri kuchukua taadhari mapema 2015 is very near.
 
Yupo katesh huko anahangaika wakati jimboni mwake hali mbaya.Akiwa mjini yeye ni kushinda saluni
 
nendeni KINONDONI STUDIO MTAMKUTA PALE SALOON, yupo muda wote.
 
Kama ni kweli inabidi ajitizame na kujirekebisha.... Adui yako hawezi kukupa mbinu za kumdhuru mwenyewe!! Umeongea point ya msingi Jfmwaipopo na kweli unaitakia mema Chadema
 
Unataki watu waamini kuwa unaitakia mema CDM,kwa kuanika hapa unadhani umemsaidia?umechukua hatua gani kumwandikia malalamiko haya?umeshindwa pia kufikisha malalamiko yako kwa uongozi wa juu wa cdm?acha kutumika kijana!
 
Kuficha maovu ndo kumeiponza ccm tatizo vijana wa chadema hampendi kuambiwa ukweli eti kwenye chama
 
Dah!Ila kama wafuasi wa Chadema ndo wa stahili hii ambao hatutaki kuambiwa ukweli au ushauri ni hatari.Lets think green and analyse things critically.Haiwezekani tupende kusifiwa tu,hii inaweza ikatugharimu sana mbeleni.Tuwe na political tolerance!!!!
 
Viongozi wa juu wamefikishiwa malalamiko lkn kuna dana dana katika kulitatua hili wanatupiana mpira kati ya makao na viongozi wa mkoa. Tusirijibu swala hili kishabiki kama kweli una mapenzi na chadema litafakari ili tuangalie jinsi ya kusaidia maovu yasitukumbe na kutuaribia taswira ya chama vinginevyo kutakuwa hakuna tofaut na ccm na kupoteza iman kwa wananchi ambaao imani kubwa ya kuondokana na umasikin wameelekeza kwa cdn
 
Kama mnacheza draft vile.. Mnahama tu.. Mkitoka jimbo la Ubungo mnaenda jimbo la Kawe..! Kuna Kinondoni.. Ilala.. Temeke.. Segerea.. Ukonga na Kigamboni.. Mbona haya hamuyaguci..? Au ndo mnahalalisha usemi wa mti wenye matunda ndio ciku zote unatupiwa mawe..?

Yaani majimbo ya magamba hata hawayesemi hata kidogo, ila kila siku utasikia Mnyika maji yakakuondoa Ubungo. Kama kila baada ya miaka mitano maji yangekuwa yanapatikana basi Mnyika asingekuwa na kazi hapo Ubungo waliomtangulia wangeshamaliza kila kitu.

Tuache majungu jamani.
 
Back
Top Bottom