Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 21,247
- 36,301
- Thread starter
- #121
Miss Natafuta anahitaji nini yeye, niambie
Kabanga watu kama nyie ndo mnaotakiwa full kueneza upendo bila maswali mengi.
Hapo Miss lazima afurahie sikukuu za Xmas na Mwaka Mpya.
Miss Natafuta, njoo your wish is about to be granted...