What do you wish for 2019 Christmas?

Tatizo anamiliki wanawake wawili na pesa ya kutosha hana, hawezi kukaba magoli yote kwa wakati mmoja amani anaipataje
Ha ha ha ha nataka uwe wa tatu,angalau tusherehekee pamoja hili tukio muhimu la dunia,location yetu iwe katika miji miwili tu Arusha na Kilimanjaro;hakuna kulala kazi ni moja tu
 
Yameingizwa mambo humo ndani ambayo hata hayana uhusiano na kuzaliwa Kristo...

Na sasa hivi umekuwa ni msimu wa activities za kujinufaisha binafsi

Nakuelewa watuu, well in religious way every one due to his or her beliefs will celebrate the Christmas. But the Christmas spirit does not end up in kuzaliwa Kwa kristo, it's the end of the year too... Plus being holiday, children are on leave, time to visit friends and relatives hence the festive season... I think that's where celebrations and being overrated come from as even non Christian celebrate the season and not kuzaliwa kwa kristo.

I hope sijachanganya madawa watuu na sijakwaza imani ya mtu, hapa sikuongelea tukio la kiimani bali hali ya msimu wa sikukuu ukijumlisha na mwaka mpya wiki moja baadae watu wengi wanakuwa likizo...
Hivyo kila mmoja kwa mapenzi na hitaji lake ashiriki upendo na kusambaza amani kwa mwenzie kwa kadiri alivyobarikiwa..

Happy Festive Season Sukarii.
 
Woow, I really feel the blessings you just gave me...and a smile quickly dress my face while I was reading your quote....

Am happy that I have touch your heart and left a memory in your mind I hope and a smile too....

You are welcomed, I feel grateful to share the good thoughts here which touches people's lives for those who'll mean it.

Have a happy Sunday best.

Cheers.
Thanks 😊😊😊

Every heart needs another to feel the completion and as mother Theresa said "We can not all do great things but we can all do small things with great love" ..

No matter how liitle we may seem but that little we can give may mean a whole world to someone in need..

you are doing your part perfectly and i love that

same to you lovely one 😊😊
 
Umeielezea kama ambavyo nilimaanisha Kasinde...

Ukituliza kupuliza msuba huwa unamwaga madini sana
Nakuelewa watuu, well in religious way every one due to his or her beliefs will celebrate the Christmas. But the Christmas spirit does not end up in kuzaliwa Kwa kristo, it's the end of the year too... Plus being holiday, children are on leave, time to visit friends and relatives hence the festive season... I think that's where celebrations and being overrated come from as even non Christian celebrate the season and not kuzaliwa kwa kristo.

I hope sijachanganya madawa watuu na sijakwaza imani ya mtu, hapa sikuongelea tukio la kiimani bali hali ya msimu wa sikukuu ukijumlisha na mwaka mpya wiki moja baadae watu wengi wanakuwa likizo...
Hivyo kila mmoja kwa mapenzi na hitaji lake ashiriki upendo na kusambaza amani kwa mwenzie kwa kadiri alivyobarikiwa..

Happy Festive Season Sukarii.
 
Thanks 😊😊😊

Every heart needs another to feel the completion and as mother Theresa said "We can not all do great things but we can all do small things with great love" ..

No matter how liitle we may seem but that little we can give may mean a whole world to someone in need..

you are doing your part perfectly and i love that

same to you lovely one 😊😊

Thank you Eyce...

I feel grateful for your words...

A tost to you and a teddy bear hug.
 
Utavunja ndoa yako kwa upumbavu wako, sifia mchepuko ukifikiri mwenzio akiondoka uyo mwanamke anaweza lea mtoto wako:mad::mad::mad: hapa nimesimama km dada mkuu no argument
Yupo kwa ajili ya kampani tu...na si kwa ajili ya familia
 
Umeielezea kama ambavyo nilimaanisha Kasinde...

Ukituliza kupuliza msuba huwa unamwaga madini sana

Aahahahhahahaaaa in whispering voice.... faaaarrrkkkkyuuuuuuuu

Msuba nimeacha kwa kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kikiisha in mid January naendeleza kulipuliza to another cycle aahahahaa.
 
Yupo kwa ajili ya kampani tu...na si kwa ajili ya familia
Izo kampani ndo zinavuruga kuliko kawaida, ngoja akupumbaze akili ukampenda ukahisi atamzidi yule mlokula naye kiapo mbele ya halaiki utakuja kulia apa hahahhaaaaa
 
Back
Top Bottom