What do you wish for 2019 Christmas?

Ungenipa na dollar mia ningefurahi zaidi.

Hilo ni jambo dogo sana, huyu hapa (chini) atalitatua na kuzidi... Mtumie PM namna ya kufanikisha huo muamala.

Kabanga please meet Miss Ntatafuta's needs... hundred dollars.

Matata the K.
 
Wewe haja ya moyo wako ni ipi? Wao wameshazisema na nshawajibu.

Kama yako imeshatimizwa basi ungana nami kutimiza haja za memba wengine wa MMU hapa ambayo itakuwa ndani ya uwezo wako.

Sambaza Upendo, Eneza Amani msimu Huu Wa sikukuu za Krismas na Mwaka Mpya 2020.

Matata the K.
acha tuungane kutimiza haja za memba wengine, yangu itakua ya mwisho
 
Nakuombea afya njema irejee kwako, laah kama kuna matibabu unayapata basi endelea pia jitahidi kuzingatia milo sahihi itayowezesha afya yako kuwa njema.

Happy Festive Season.
Ahsante, mimi ni mzima wa afya sina matibabu nayopata sema hakuna ajuaye kesho yake mara leo mzima ghfla kesho tu nikapatwa na maradhi.
 
Tatizo anamiliki wanawake wawili na pesa ya kutosha hana, hawezi kukaba magoli yote kwa wakati mmoja amani anaipataje


Aahahahahaa ndo inabidi spate akili ya kutafuta hela zaidi ili awe na wote na apate mahaba kutoka kote kuwili....

Mahaba shata shata shurti ayagharamie... Apambane tuu na hayo mahaba yatakjwa sehemu ya furaha yake.
 
My wish..!!
To be with my S..

S wherever you are, please meet yna's wishes...

Am praying wherever S is to feel the need to be with you on this festive season.
 
Thanks for your time, nimesoma huku nafurahi, your a good writer by the way

Oooh thanks for sharing something beautiful to me

Before i say anything please listen

All i want this Christmas from Maria Carey

I Will save this comment and i Will go through tonight
Aahahahahhaaaa KA.... Am happy that you have a Christmas package already....
Hope you'll share it with others before you ask for more...

Well as you ask...

I am Kasinde Matata Mwanakatoto (this Si pure real me) Kasinde being my real first name.

I am also known as Kasie Matata, Kasie Mahaba, Kasie Motoo, Kasie popo mla ujana, Kasie kigagula, ajuza, kibibi kizee chenye mavurugu ya ujana, mpenda mziki na kucheka au kutabasamu, K' Matata, K' Mahaba, Kasie Mapenzi, Chotara wa Kinyanwezi, mengine nikikumbuka ntakwambia.

Kasie is an old Granny who lives alone works hard whole year serve for the leaves and holidays, spends like she dies tomorrow, but always keen with income vs expenditure, she has the Mahaba Star yaani nyota ya mahaba nimezaliwa nayo na muda wote niko na mahaba na manyege nyege (sorry to say this but this is how I am) if at all you wish to know Kasie.
She smiles all the time, hate arrogance, violence and all sort of a kind though she is naughty and mchokozi, she grabs happiness all the time whenever she is to the way that when sorrow comes will be overlapped by happiness... It's not easy when you think but I was horny that way.

She is a self doing, independent, work hard and lazy at the same time and can't tell one her needs only and only if she finds you are her inner. Though even when she tells, does not mean one to solve or give a helping hand (begging or asking for help),a bit complicated....

Do I need to say more or I've already say all....

Kasie Matata.

And who is Kawe Alumni...!!????
 
I like your spirit Homie, hapo tuko pamoja bin bega kwa bega.

Mahaba robo tatu kwako vile wewe ni binamu yangu.... Ila shemeji yako Babu Asprin asisikie eehehehehe
asante sana homie, ila huyo mzee kuwa nae makini sana ana mke na michepuko ya kutosha humu.
 
Ahsante, mimi ni mzima wa afya sina matibabu nayopata sema hakuna ajuaye kesho yake mara leo mzima ghfla kesho tu nikapatwa na maradhi.
ooh hapo nimekuelewa kuwa kwa msimu wote huu wa sikukuu za Krismas na Mwaka Mpya una wish uwe na afya njema....

Great that's my wish too kuwa mzima mwenye afya telee.
 
Thanks for your time, nimesoma huku nafurahi, your a good writer by the way

Oooh thanks for sharing something beautiful to me

Before i say anything please listen

All i want this Christmas from Maria Carey

I Will save this comment and i Will go through tonight

Woow, if it's a dedication to me thank you so much am praying for your wish to come right to your door, its only one wish by the way you don't need more...

I see that you were happy to the way you forget to answer my question....

All I want for Christmas is ..........
 
asante sana homie, ila huyo mzee kuwa nae makini sana ana mke na michepuko ya kutosha humu.


Looh hapo ndo huwa simuelewi huyu Babu anatumia kizizi gani kutufumba macho...

Natambua sana kuwa humu ana mke na michepuko kibao ila sibanduki kwenye malabuku zake, nisaidie basi kunitoa kwake maana najiona nshafeli Homie...

You know we are cousins, don't let your cousin end up in polygamy relationship please....
 
Back
Top Bottom