What do you wish for 2019 Christmas?

What do you wish for 2019 Christmas?

Kasie, Acha kuhararisha sherehe za kishetani na Mungu jua,maana Christmas ni conspiracy theory zilizoanzishwa na wayahudi ko kuweni makini na tunapoelekea sawa ndugu zangu nawapenda sana.
 
Kasie,

Nakuhitaji wewe tu na najua huwezi kukataa maana nimekuomba wewe mwenyewe!! Nakutaka wewe, hili lipo ndani ya uwezo wako, wasemaje sweetie kipenzi mwenye kipengo cha huba kiletayo mahaba yanayojaza kibaba kwa mpenzi nisiye ruba?

Kenzy, ombi lako limepokelewa, nalifanyia mchakato ili iwe fair mwisho wa siku tutaona njia ipi ni sahihi, LIFO au FIFO, au ichezeshwe draw na jina litaloibuka basi itakuwa fairly date with Matata the K.
 
@Kasie utimize haja za mioyo yao na wao wapate kusheherekea vyema.

Wewe haja ya moyo wako ni ipi? Wao wameshazisema na nshawajibu.

Kama yako imeshatimizwa basi ungana nami kutimiza haja za memba wengine wa MMU hapa ambayo itakuwa ndani ya uwezo wako.

Sambaza Upendo, Eneza Amani msimu Huu Wa sikukuu za Krismas na Mwaka Mpya 2020.

Matata the K.
 
Ameen. Ila first in first out. Huyo jamaa atakuwepo tuu endapo Kasie atakubali 3some


Aahahahaa naona umeniwahi ukishauri FIFO itumike... Okay acha tuone hadi mwisho njia sahihi itayotumika.

Naah, kwa umri wangu sipendelei mambo ya three four or groupsome.. I prefer one to one session... So let's wait and see.

Cheers.
 
Captain now yupo anajimwambafy na main dish, lets have a chit chat here and there Matata Kasie, u dont know whats waiting for u K.

Cc Kasie

Aahahahhaaaa polee, Captain alishindwa kuvumilia jana akachukua kilongalonga akafanya yake. Kanirudishia asubuhi hii baada ya stafutahi... Bad of us we didn't go to church.....

Matata the K.
 
Acha kuhararisha sherehe za kishetani na Mungu jua,maana Christmas ni conspiracy theory zilizoanzishwa na wayahudi ko kuweni makini na tunapoelekea sawa ndugu zangu nawapenda sana.

Okay sawa baba.

Usiku mwema if that's what you wish for this festive season.
 
Aahahahaa naona umeniwahi ukishauri FIFO itumike... Okay acha tuone hadi mwisho njia sahihi itayotumika.

Naah, kwa umri wangu sipendelei mambo ya three four or groupsome.. I prefer one to one session... So let's wait and see.

Cheers.
K Matata, fungua pm japo nikusabahi dunia hiyo ya privacy mama angu

Cc Kasie
 
Aahahahhaaaa polee, Captain alishindwa kuvumilia jana akachukua kilongalonga akafanya yake. Kanirudishia asubuhi hii baada ya stafutahi... Bad of us we didn't go to church.....

Matata the K.
Mwambie apunguze wivu, vya kuchangia ndio hunoga.

Cc Kasie
 
Mostly missing that feeling of being a young bro to my elder sisters and brothers ....

I wish to go back home just to get away from these smiling opportunists for a while ..

Ooh, well you have a task to do on that...

Whatever the distance you have with your siblings you have to check your savings, and credits to facilitate to and fro your home where you'll meet your elder siblings.

Am praying the day you meet them share the tight hugs and chick kisses smiles big laughs and if possible set a table can be heavy breakfast or lunch or dinner. Make a sibling reunion and have your younghood stories and laugh and laugh and laugh.... Don't forget to have hi5 and take photos.

The memory you'll have will give you a positive energy to work more harder and target high for 2020.

I'll be happy if you make it and I'll share a smile with your loved ones when you all smile. I always smile and I thank God for this.

Take your note book, you have 30 days to go to the date, hata sort to.e but still you can do something.
And heey, if cost overcome wishes, remember others technology, use it to have a same time smile and laughs and chat with your siblings though you'll miss the touch. It'll be better than nothing.

All the best Eyce.

Matata the K.
 
Back
Top Bottom