wewe mipango ya dunia unaionaje.. Hali itakuaje miaka 100 ijayo kutokana na mipango hii?
kwa upande wa dunia kwa ujumla ndugu yangu napenda nikuambie hali itakuwa mbaya kwa sababu zifuatazo
1. Binadamu hatupendani na siku zinavyozidi kwenda makundi yenye uhasama yanaongezeka na watu wanauana kama wanyama
2. Magonjwa nayo hayako nyuma yanatumaliza kama mavuno bila shaka wewe mwenyewe unaelewa ni kwa kiasi gani magonjwa yanavyotufaidi na haionekani dalili ya tatzo hili kupungua bali linaongeza kasi
3. Kunamaendeleo mengi ya kisayansi ambayo yanachangia sana kuharibu dunia yetu na hili linaongezeka kila kukicha bila shaka hili linaeleweka
Hayo ndo machache ambayo nikajaribu kupiga picha ya miaka mia kwa dunia yetu yatakuwa yametuweka mabaya kuliko sasa, labda yatokee mabadiliko katika hayo